Nchi ya ajabu: Tunafuta bima ya afya ya watoto tunapitisha wake za vigogo walipwe posho

mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
821
1,343
Hii nchi ya ajabu sana, tupo tayari kuhakikisha vigogo na matajiri wanalindwa kwa namna yoyote huku tukigandamiza familia maskini ziendelee kurudi chini.

Wakati tunahaha namna gani watoto wapate matibabu bure bunge letu linapitisha kulipa wake za vigogo mafao ambayo ni mamilioni ya pesa!!

Kuna saa ukifikiri sana unaweza hisi tuna laana lakini akili za wasomi wetu kuna saa wanakuwa kama wajinga na wasio weza kufikiri.
 
GENERALIZATION...

Hivi idadi ya wake wa hao vigogo iko kiasi gani ?!!!

Acha roho ya husuda....inakuumiza tu nafsi yako

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hii nchi ya ajabu sana, tupo tayari kuhakikisha vigogo na matajiri wanalindwa kwa namna yoyote huku tukigandamiza familia maskini ziendelee kurudi chini.

Wakati tunahaha namna gani watoto wapate matibabu bure bunge letu linapitisha kulipa wake za vigogo mafao ambayo ni mamilioni ya pesa!!

Kuna saa ukifikiri sana unaweza hisi tuna laana lakini akili za wasomi wetu kuna saa wanakuwa kama wajinga na wasio weza kufikiri.
Hii ni point nzuri sana. Baadhi ya wachangiaji katika platforms mbalimbali hawajaigusia hii issue. Ningekuwa mwalimu nasahihisha paper yako ningekupa 'distinction' kuonyesha kuwa wewe ni original thinker na ume'treat' paper with independent judgement. Excellent!
 
Hii nchi ya ajabu sana, tupo tayari kuhakikisha vigogo na matajiri wanalindwa kwa namna yoyote huku tukigandamiza familia maskini ziendelee kurudi chini.

Wakati tunahaha namna gani watoto wapate matibabu bure bunge letu linapitisha kulipa wake za vigogo mafao ambayo ni mamilioni ya pesa!!

Kuna saa ukifikiri sana unaweza hisi tuna laana lakini akili za wasomi wetu kuna saa wanakuwa kama wajinga na wasio weza kufikiri.
Nchi ya wagagagigikoko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ni lazima aendelee kuwa Rais?
20230914_100820.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nchi ya ajabu sana, tupo tayari kuhakikisha vigogo na matajiri wanalindwa kwa namna yoyote huku tukigandamiza familia maskini ziendelee kurudi chini.

Wakati tunahaha namna gani watoto wapate matibabu bure bunge letu linapitisha kulipa wake za vigogo mafao ambayo ni mamilioni ya pesa!!

Kuna saa ukifikiri sana unaweza hisi tuna laana lakini akili za wasomi wetu kuna saa wanakuwa kama wajinga na wasio weza kufikiri.
Hiyo ndio maana ya kuwa na wasomi wajinga.
 
rais,makamu,PM,JM,S,

hawa watu wakistaafu wanalipwa na kulelewa mpaka kufa+ 80% ya mshahara wa rais aliyepo.

kimahesabu hii 80% hain kazi kabisa maana hakuna anachofanya kwa hela yake mfukoni,jumlisha n uzee alio nao.
mama yetu mdogo anapendekeza walipwe na wao,ubunge haumtoshi,huyu hata anawezapendekeza wake za viongozi wastaafu walipwe sawa na rais aliyepo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom