kienyeji

  1. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Kama Yesu anaponya Sasa mbona mnajazana hospitalini na kwa waganga wa kienyeji? Mtachanganyikiwa Hadi muombe msamaha Babu na Bibi zenu waliotangulia

    Kama Yesu anaponya Sasa mbona mnajazana hospitalini na kwa waganga wa kienyeji? Mtachanganyikiwa Hadi muombe msamaha Babu na Bibi zenu waliotangulia.
  2. Bei rahisi Electronicks

    JamiiForums Tanzania Njia gani mnafanya kuku wa kienyeji wazoee haraka

    Njia gani mnatumia kuwafanya kuku wageni wa kienyeji wazoe haraka ata ukiwafungulia bandani waludi jioni.
  3. thaddeus

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa ng'ombe wa kienyeji kibiashara.....

    Habari Ninafikiria kuhusu kufanya mradi wa ufugaji wa mbuzi, kondoo na ng'ombe wa kienyeji katika shmba kuliko likae idle. Wazo nililonalo ni kuanza na mbuzi jike 15 wa kienyeji na dume moja chorata (Malya Blended kutoka TALIRI) pia kondoo jike 10 na dume mmoja. Kwa upande wa ng'ombe...
  4. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Wakuu kuna dawa gani ya kienyeji ya koo linalouma? Hospitalini napewa tu brufen na anti-biotics ila wapi

    Wakuu kuna dawa gani ya kienyeji ya koo linalouma? Hospitalini napewa tu brufen na anti-biotics ila wapi Karibuni
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Waganga wa kienyeji jihadharini

    Nilikuwa mmoja wenu nikafika level za juu.. Haikuwa rahisi nilikwepa mitego mingi na kuzishinda changamoto nyingi Kuna jambo jipya kiasi linajiinua kwa kasi ya ajabu.. Mnahusishwa na mauaji yanayoendelea nchini.. Je mnahusika kweli? Je mnageuzwa mbuzi wa kafara? Mauaji ya Katibuni 1. Yule...
  6. Etwege

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti kubwa kati ya mganga wa kienyeji na mchawi ila jamii imepotoshwa

    Kuna tofauti kubwa kati ya mganga wa kienyeji na mchawi ila jamii imepotoshwa na sasa haina uwezo wa kuwatofautisha tena na sasa inaishia kuwaweka kaput moja!! 1. Mganga wa kienyeji ni daktari wa asili ambae ametumika kuitibu na kuikinga jamii dhidi ya mabalaa mbalimbali kwa maelfu ya miaka...
  7. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Jinsi Nilivyomtapeli Mganga wa Kienyeji: Simulizi ya "Mjanja Aliyekutana na Mwerevu"

    Watu wengi husema mganga wa kienyeji ni mtu wa kuogopwa. Wanasema ana macho yanayoona mbali na majini yanayompa taarifa za kila anayemtembelea. Lakini siku hiyo, niliamua kuthibitisha kuwa hata "nguvu za giza" hupigwa na giza la njaa na tamaa. Mtego wa Kisaikolojia Mganga huyu, ( jina kapuni")...
  8. zachariano alexido

    JamiiForums Tanzania Usimuwekee dawa ya kienyeji kwa siri mtu bila kuijua zaidi hiyo dawa, ndo chanzo cha yule dada kumuua mumewe

    Baada ya kuingia mitamboni kusaka habari kuhusu yule bwana alie zikwa na mkewe nyuma ya nyumba. Walikua wanatatizo la kuto pata mtoto kwa muda mrefu. Huyo dada inawezekana alimuwekea dawa ya KIENYEJI MUMEWE kwa kesi hiyo ili wapate mtoto. Inawezekana huyo dada hakujua kama hiyo dawa ni sumu...
  9. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania ndiyo nchi rahisi zaidi duniani kwa mgeni kuishi kienyeji bila vibali na asichukuliwe hatua yoyote?

    Nimefuatilia sana mienendo ya nchi yetu na nikagundua jambo la kusikitisha: Tanzania imekuwa kama 'shamba la bibi'. Yaani ni nchi pekee ambayo mgeni anaweza kuingia kama mtalii, akapanga nyumba, akafungua kijibiashara au kuanza kazi za 'consultancy', na akaishi miaka mitano bila kuguswa na...
  10. alsam

    JamiiForums Tanzania Kuku wakubwa wa kienyeji

    Habarini wadau Je kuku wakubwa km jogoo au koounaweza kumpa change zote na kweli ikawa tiba ama kinga kwa Magonjwa. Maana nina mpango wa kununua makoo mengi ili niwafanye kwa ajili ya kuuza mayai tu tray moja ni 15K. Sasa nimepiga hesabu naona kunua makoo ni rahisi kwa mazingira niliopo...
  11. Frank Mazagazaga

    JamiiForums Tanzania Ndani ya Incubator za home made (kienyeji) Kuna Siri Ambayo Huamua Mafanikio au Hasara

    Kwa mfugaji mmoja mdogo, kifaa kimoja kilimuokoa kati ya hasara nakuleta matumaini. Andiko hili linahusu kitu ambacho wafugaji wengi hukipuuza mwanzoni — udhibiti sahihi wa joto na unyevunyevu. Kitu kinachoonekana cha kawaida, lakini madhara yake ni makubwa sana. Kuna mfugaji mmoja, alikuwa...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Kilo 1 ya Nyama ya kuku Chotara au Kienyeji Buchani ni bei gani?

    Naomba kwa wazoefu wa mikoa ya Dar, Morogoro, Dodoma, Iringa, Mbeya mnipe uzoefu wenu. Wafugaji wengi wa kuku wanauza kuku kwa mazoea sana, mnunuzi anakuja anamshika anamtikisa kidogo hivi anakadiria uzito alafu mnaanza kubishana bei. Ila naona huu ni wizi wa hali ya juu. Naomba nipate uzoefu...
  13. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Balozi Polepole & MC Pilipili wamepotezwa kama 'Kuku wa Kienyeji'

    Hawa jamaa kufumba na kufumba hatutawasikia tena maishani. Hakika hizo ndio Shoti. Jichanganye upasuliwe
  14. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Ni nani anasema kwenda kwa mganga wa kienyeji ni dhambi !? Huo ni upotoshaji

    Kuna mafundisho ktk dini zetu hizi haswa walokole wanawapoteza watu , sioni kama kuna tatizo kwa mtu ambaye ana matatizo ya kiafya kwenda kutafuta tiba kwa waganga wa kienyeji hakuna ubaya wowote wala dhambi. Tiba za kienyeji ni uumbaji wa Mungu kuwasaidia watu kuondokana na maradhi mbali...
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ipi sababu ya ongezeko la vijana kuvamia pombe kali za kienyeji kwa kwa wingi mnoo?

    Kuna wakati tuliona wazee ndio wanaozifata hizi pombe za kienyeji Utaita gongo, chang'aa , etc Ukata? Ulevi usio na mipaka? Trend? Msongo? What happened?
  16. B

    JamiiForums Tanzania Bucha la nyama ya mbuzi vs bucha la nyama ya kuku wa kienyeji

    Habari wakuu Naomba uzoefu...Niko na mawazo haya mawili bucha la nyama ya mbuzi au bucha la nyama ya kuku wa kienyeji biashara ipi italipa location ni dar
  17. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Wakuu nisaidie tiba ya kienyeji za sikio kuziba , dawa za kizungu zimedoda

    Nasikia presha kwenye sikio, kelele sikioni na pia kama niko majj hivi, hali ya sikio kuwa kama kuba kitu kimeziba. Nisaidieni wakuj
  18. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Kwa wataalaamu wa ufugaji, Banda hili linaweza kuleta tija kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara?

    Kwa kuanza na kuku kumi wa kienyeji Banda hili linaweza kuleta tija kwa ufugaji wa kuku wa kienyeji?
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hali hii ikikutokea jua kwa Mungu hutakiwi na hata kwa Waganga wa Kienyeji pia hutakiwi kwani ni dalili kuwa wote mna Nuksi ya Karne ya Kifamilia

    TABORA: Aliyekuwa Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla ameshindwa katika mchakato wa ndani ya Chama Cha Mapinduzi...
  20. T

    JamiiForums Tanzania UZI MAALUMU KWA WALE TULIOWAHI KWENDA KWA WAGANGA WA KIENYEJI

    Je, wewe ulishawahi kwenda kwa waganga wa jadi?. Tupe baadhi ya visa ulivyokutana navyo huko kwa mganga/waganga wa jadi. Karibuni
Back
Top Bottom