baiskeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro/Arusha hatujapata baiskeli za Mama au tutarajie Pikipiki?

    Mpaka sasa hatujapokea baiskeli pendwa. Pengine tutarajie bodaboda
  2. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Huyu Binti Kwa kusema hivi anaweza kukamatwa?

    Nimejiuliza kama maneno ya huyu Binti yanaweza kumweka matatani hata kukamatwa? Huyu hapa.
  3. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Holder ya simu, Pikipiki na Baiskeli kwa bei poa

    📢 TANGAZO MAALUM! 📢 HOLDER YA SIMU IMARA kwa PIKIPIKI na BAISKELI 🔧 Imetengenezwa kwa vifaa bora na imara 📱 Inafaa kwa simu nyingi – kubwa na ndogo 🛣️ Inashikilia simu vizuri hata kwenye barabara mbovu 🔒 Inakaa salama – hakuna kudondoka wala kutikisika 💰 BEI: TSH 30,000/= 📍 Mahali: Arusha 📞...
  4. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Hii Baiskeli ya rushwa imetolewa ili watu wamchague flani kwenye uchaguzi hii ni rushwa

    Hii Baiskeli ya rushwa imetolewa ili watu wamchague flani kwenye uchaguzi hii ni rushwa. Kama mtu anaweza kutoa rushwa kama hivi ili achaguliwe inamaana yeye ni rushwa rushwa tu kwenye maisha yake anaweza kupokea rushwa pia anaweza kuuza rasilimali za nchi. "Mimi sitaki rushwa na ninapinga kwa...
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Matoleo ya baiskeli Tanganyika

    Zamani ilikuwa ni usafiri mpaka kwa viongozi kulingana na kaliba.. Na baiskeli ilikuwa usafiri wa kutumainiwa Sana Matoleo maarufu ya enzi hizo yalikuwa Rareigh Phoenix.. Hizi walikuja kujenga kiwanda pale Mwenge.. Sass hivi kiwanda cha madawa Haya matoleo zilikuwa baiskeli hasa kwa safari kwa...
  6. Knock life

    JamiiForums Tanzania Katika MAISHA usichukulie kawaida , wenzako wanasukuma Mipira kama hii huku wewe unapewa baiskeli.

    Be smart Nigga , wenzako wanakaa katika mipira Kama hiii then wewe unapewa Baiskeli Jitambue.
  7. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kwanini sisi Mabalozi wa Shina hapa Dar esSalaam hatujapewa baiskeli?

    Naomba ufafanuzi kutoka Ccm kwanini Baiskeli hatujapata sisi watu wa DSM
  8. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM kushangilia kupewa baiskeli ni dalili kuwa watanzania tumetopea kwenye umaskini!

    Ukiona mtu anaona kuwa kupewa baiskeli ni ukombozi wa maisha yake magumu, ujue jamii aliyomo ni maskini sana. Kuna wakati ada ya shilingi 20,000 na 70,000 kwenye shule za kutwa na bweni za Serikali ilipoondolewa na nchi nzima kulipuka kwa furaha, nilishangaa Sana. Leo hii tena CCM nchi nzima...
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wamshukuru Rais Samia Kwa kupewa Baiskeli

    Wananchi wa kata ya Mwanase mkoa wa Shinyanga wamemshukuru Mh Rais Samia kwa kuwapatia Baisketi katika kata hiyo kwa ngazi ya mabalozi huku wakimwahidi kura za kutosha kuelekea uchaguzi mkuu pia wamemwomba Mh Rais, Awaongezee baiskeli hizo, kwa viongozi wa chama kwa ngazi ya wenyeviti na...
  10. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vyuma ( Baiskeli) vya Rais Samia zikiwa mtaani Wapiga kura wanafurahia, ni mwendo wa Mitano tena

    Wakuu, Hapo vipi kwa wananchi, mnadhani hawatoi mitano tena kwa Mama? hali ndo hii sasa uko mtaani
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tazama Malori yakiwa na Baiskeli za Rais Samia kwa ajili ya kuzigawa kwa wapiga Kura

    Wakuu! Imagine miaka 64 ya Uhuru, bado Khanga na Baiskeli ndio chambo katika Uvuvi wa Kisiasa na kutoa Kura kirahisi tu. Uchaguzi unapokaribia mbinu za kisiasa zinaongezeka, zikiwemo zawadi kwa wananchi zinazobeba sura ya rushwa. Hadi mabox yenyewe yameandikwa jina la Samia Suluhu Hassan...
  12. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watanzania msimchague mtu anayewapa kanga, tshirt na baiskeli hawezi kuwa kiongozi bora

    Watanzania msimchague mtu anayewapa kanga, tshirt, fedha na baiskeli hajitambui huyo na hawezi kuwa kiongozi bora . Kuna watu wanataka tu madaraka yani ilimradi tu, ndio maana hawana hoja wala maono ikifika kwenye uchaguzi utawaona wanaanza kugawa fedha, baiskeli na vitu vingine hawa hawatufai...
  13. The Father of All

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kugawa baiskeli siyo rushwa ya uchaguzi?

    Hivi karibuni, rais Samia alitoa baiskeli kibao. Je hii siyo rushwa? Je hii pesa ndiyo inafanya tukope sana? Je rais kaipata wapi tena kihalali pesa hii? Je ananunua nini zaidi ya kura? Je hapa kutakuwa na haki? Je anatufundisha nini? Je anaogopa nini hadi ahonge?
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Wananchi wenye lafudhi ya kisukuma waliopewa baiskeli za CCM wasema Luhaga Mpina hakukosea, aliongea mambo ya msingi

    Wakuu, Wananchi sio wajinga, wanao uelewa wa kuchambua kati ya mbichi na mbivu. Licha kuwa wamepewa baiskeli mpya za CCM lakini bado wanaonekana kusimama na kuamini katika kile kilichosema na Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina mbele ya Rais Samia na kwamba hakukosea kwani alizungumza mambo ya...
  15. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hizi baiskeli zimetoka wapi, na kwanini zigawiwe kwenye kuelekea uchuguzi tu?

    Hizi baiskeli zimetoka wapi, na kwanini zigawiwe kwenye kuelekea uchuguzi tu ? Vipi zilikuwa kwenye bajeti ya nchi ? Hizi siasa tunazotaka kuzifanya sio kabisa na zinatia aibu sana kwa majirani na dunia, sasa mtu kama huyu anayekupa sijui baiskeli sijui kanga hana akili timamu na hawezi kuwa...
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Juni 3: Siku ya Baiskeli Duniani 2025

    Siku ya Baiskeli Duniani huadhimishwa kila mwaka tarehe 3 Juni. Siku hii ilianzishwa rasmi na Umoja wa Mataifa mwaka 2018, kwa kutambua umuhimu wa baiskeli kama chombo cha usafiri, burudani, na afya. Maana na Umuhimu wa Siku ya Baiskeli Duniani: Inaenzi baiskeli kama njia rafiki kwa mazingira –...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Wananchi wengi wa Denmark huendesha baiskeli ili kuepuka foleni na msongamano kwenye mabasi. Watu 9 kati ya 10 wanamiliki baiskeli nchini humo

    Watu wengi nchini Denmark, hasa wanaoishi mijini, wanapenda sana baiskeli zao. Hufanya hivi ili kupata uhuru binafsi ambao unawapa fursa ya kuingia na kutoka kwenye msongamano wa magari mjini. Ukiwa kwenye baiskeli, huhitaji kusubiri kwa muda mrefu. Huhitaji pia kungoja basi lifike au kuingia...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kama Mkurugenzi na dereva wa TANESCO wamekufa, Polisi wamejuaje ajali ilisababishwa na dereva kumkwepa mwendesha baiskeli?

    Siku zote nimesema Polisi wa Tanzania mara nyingi sana wanatoa statement za uongo na za kutunga wao wenyewe kutokana na matakwa yao, ambayo yanaweza kuwa ni ya kisiasa pia. Hii inafanya wasiaminike kabisa kwa lolote wanalowaeleza wananchi, kwa mfano kunapokuwa na taarifa za mauaji ya polisi...
  19. chaja2

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu aina hii ya baiskeli hapa tanzania

    Habari za muda huu watu wangu wa nguvu kabisa Hili ni jukwaa ambalo kwakweli nikitafuta maelezo kuhusu kitu flani lazima nipate. Naomba msaada wa mwenye kujua aina hii ya baiskeli Gharama yake used na mpya, Upatikanaji wake wa spare, Specification zake. Maana nina taka ninunue baiskeli ya...
  20. Dx and Rx

    JamiiForums Tanzania Ni aina gani nzuri ya Baiskeli kwa Ajili ya Mazoezi ili kuimarisha Afya

    Salamu Wakuu, Habari za weekend. Nina plan ya kuanza mazoezi kwa ajili ya kuimarisha Afya, huu mwili naona siuelewi, nahitaji kuuweka sawa hasa kuimarisha misuli ya viungo. Nataka niwe na ka bike cha kimtindo cha kufanyia mazoezi kwa kurid huko barabarani badala ya kufuata bike za gym ambazo...
Back
Top Bottom