gym

  1. McLaren

    JamiiForums Tanzania Hawa watu wanaoekwenda Gym saa 7 mchana vyanzo vyao vya mapato ni vipi?

    Nimepita kwenye Gym moja hapa mtaani Nimekuta iko open na kuna watu wanafanya mazoezi humo ndani Yaani wakati watu waanatafuta hela hawa jamaa wao wanafanya mazoezi, wanatafuta hela saa ngapi? Wajuzi naomba mnijuze
  2. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Kufafanua Kuondoka Kwangu JF

    Ninaandika haya ku make things clear... Maana kuna watu walidhani labda nimeondoka jf kwa sababu nimekimbia watu!, au nimefanya kitu kibaya na sasa nimekamatika so nina change ID... Kwanza kabisa, uhalisia ambao mtu anaonesha humu na fake ID sio reflection ya maisha ya nje... JF yenyewe...
  3. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Video: Wenye wake zenu wanaoenda gym kuna ushauri wenu huku

    hakika mazoezi ni muhimu kwa afya mma hata madaktar wanatushauri lakini kuna mengi yanazungumzwa juu ya wake za watu na matrainer, tazama video kisha tuambie maoni yako...
  4. youngkato

    JamiiForums Tanzania Gym nyingi hufungwa ndani ya mwaka mmoja, si kwa sababu ya ukosefu wa wateja, bali kwa sababu ya makosa ambayo yangeweza kuepukika

    Yafuatayo ni mambo ya Msingi ya Kuzingatia Ili Kufanikiwa Katika Biashara ya Fitness au Gym Center Sekta ya Fitness na Gym inaendelea kukua kwa kasi kutokana na ongezeko la watu wanaojali afya, mwonekano wa miili yao na mtindo bora wa maisha. Hata hivyo, mafanikio ya Gym Center hayategemei vifaa...
  5. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kumbe Wanawake Wembamba wanaenda gym kutafuta wanaume!

    Imenichukua miaka 10 kujua wanawake wanaenda gym kutafuta wanaume. Yaani gym ni danguro la wazi. Na baadhi ya wanaume(Wachache) wanaenda gym kutafuta wanawake. Mimi siku zote najua gym ni sehemu ya mazoezi. Ama kweli tembea uone. Siwezi ruhusu Mke wangu aende gym.. Labda twende wote.. Ni...
  6. Mhandisi Mzalendo

    JamiiForums Tanzania Gym "guys" je ni njia gani unatumia kupunguza uchovu baada ya mazoezi kupata matokeo?

    Uzi huu ni kwa ajili ya watu wa mazoezi wanaoenda gym au wale wanaofanya mazoezi makali iwe ya kukimbia, mazoezi ya viungo au high intensity interval training (HIIT) au kunyanyua vitu vizito. Je unatumia njia gani kurecover after mazoezi? Especially kama unafanya siku 3 mpaka 5 kwa week? 1...
  7. upupu255

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Gachagua ameingia GYM ndio wamenyane vizuri na Ruto

  8. Twilumba

    JamiiForums Tanzania NHIF na Mikakati ya Uzuiaji wa Magonjwa Yasiyoambukiza Kupitia Mazoezi ya Mwili kwa kuingia mikataba na baadhi ya GYM

    Kwanza Nikiri kuwa mimi ni mnufaika wa Mfuko wa Bima ya Afya NHIF, Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umekuwa nguzo muhimu ya ustawi wa afya nchini, lakini kwa sasa unakabiliwa na changamoto kubwa ya kuongezeka kwa gharama za matibabu ya magonjwa yasiyoambukiza (NCDs) kama shinikizo la damu...
  9. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Nimemkataza mke wangu kwenda kwenye Marathon

    Habari za masiku wana Jamiiforums Wanaume tuwe wakali kwa wake zetu yani hizi marathon kila mwezi kuombana ruhusu kisa kwenda Dodoma, Arusha au mwanza kukimbiakimbia bila sababu. Mambo yanayofanyika uko ni uchafu baada ya marathon kuna kuwa na event sijui party wake za watu wanaliwa mpaka...
  10. kibovu

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanaoenda GYM

    Wakuuu habari za weekend. Ndugu zangu kumekuwa na mawazo potofu wanawake wote WANAOENDA gym wanaliwa. Wakuuu sikatai wanaoliwa wapo hapo ni asilimia 0.01 na wanaliwa na trainer kwa utafiti wangu .Mimi ni mtu wa mazoezi naelewa. Wakuuu nitoe angalizo msicheze na Dem anaenda gym anaweza...
  11. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Mwanamitindo Chelsea Robinson aliamua kufanyiwa upasuaji wa kuongeza makalioLakini mambo hayakwenda kama alivyotarajia

    Mwanamitindo na influencer mmoja maarufu Chelsea Robinson aliamua kufanyiwa upasuaji wa kuongeza makalio (bum implants). Lengo lake lilikuwa kupata umbo la kuvutia zaidi ambalo lingeendana na maisha yake ya mitandaoni, na kuvutia followers wengi. Lakini mambo hayakwenda kama alivyotarajia…...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta gym nzuri temeke au tandika yenye vifaa vingi mchanganyiko wanaume na wanawake

    Mwenye anajua jamani anaweza nisaidia namba ya simu au kunielekeza
  13. Mhaya

    JamiiForums Tanzania GYM nzuri Msata au Chalinze inapatikana wapi?

    Habarini wanajamiiforums... Naomba kuuliza ni wapi kuna gym nzuri mitaa ya Msata au Chalinze
  14. Mributz

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Portable gym

    Weight set ya 50kg ndani yake kuna ; ● Plate zake ● Fimbo/Bar ● Dumbbells ● Box lake la kubebea/kuhifadhia. Bei 360k 0718909429 Arusha tz
  15. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kwanini mabaunsa wengi ndiyo wamekuwa mashoga?

    Ukipita Kinondoni, Sinza, Tabata na viwanja mbalimbali utagundua kwamba mashoga sasa ndiyo hao wavulana wanaoshinda gym wakibeba vyuma na kujenga miili. Hali hii sina uhakika, ila nadhani inachochewa na madawa wanayomeza vijana kwa ajili ya kututumua misuli. Huenda hizo food supplements zina...
  16. Gai da seboga

    JamiiForums Tanzania Kama una Mtaji Njoo ufungue Gym Mkata Wilaya ya Handeni

    Wasalam mabibi na mababu, Kama mnavvojua wilaya ya handeni - Mkata kwa sasa ni sehemu inayokuwa kwa kasi sana. Kuwepo kwa Ofisi za Halmashauri Mkata, Hospital kubwa ya wilaya, Lakini yote kwa yote ni mji uliokuwa na muingiliano na watu tofauti tofauti kama vile watumishi wa umma, wafanya...
  17. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Aggrey TZ ndani ya gym -video

    Mwamba kaanza upya. Atakua sawa insha'Allah
  18. Gerald1

    JamiiForums Tanzania ME NI TRAINER NAITAJ MTU MTU WA KUWEKEZA KATKA GYM ME NIWE TREINER WAKE

    NAITWA GERALD NAPATKANA TABATA, NA NI TRAINER WA AEROBICS , YOGA NA WORKOUT KIUJUMLA NAJAMA UKIWA UNAITAJ ANZA IYO BIASHARA NA HUJUI PAKUANZIA ME NIPO TUTAFANYA BEGA KWA BEGA MBAKA ITAPOFANIKIWA NITAANZA KUTRAINER.+255788317776
  19. GemMaster II

    JamiiForums Tanzania Jamiiforums GYM (mazoezi ) thread

    Wakuu mambo vipi....Binafsi sio mkufunzi(gym trainer) ila napenda sana mazoezi na ninayajua mazoezi kuliko hata hawa wanaojiita ma-trainer,nimeanza kupenda mzoezi ya gym nikiwa form 3 (2013) so unaweza kuona nina experience ya miaka 11. Mazoezi pia yanaambatana na aina ya vyakula tunavyokula...
  20. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Exercise bike / baiskeli ya mazoezi inauzwa laki 2. Wapenda gym na wenye wazee wa mazoez karibuni

    Habari. Nauza baiskeli ya mazoez. Baiskeli ni used sio brand new. Haina tatizo lolote Bei laki 2 tu. ( fixed price)
Back
Top Bottom