Nimefarijika sana kwa kweli, mmejua kutukumbuka, mi mwenyewe ni mlemavu wa masikio, sisiki vizuri, ilinichukua muda sana kuamini mi ni mlemavu nilikataa hatimae nikakubali no way out, nakumbuka dodoma, Arusha, nk kote huko tulipambana sana kupata mikopo ya asilimia tulizo tengewa na serikali...
Aliingia KenGen kwa KCSE certificate bandia, akafanya kazi kwa miaka 15 na kulipwa karibu Sh14.9 milioni. Baadaye, mahakama imebaini kuwa alipata pia cheti cha ulemavu kwa njia ya udanganyifu, kilichomwezesha kupata tax exemptions kwa zaidi ya miaka minne.
Huyo ni David Mogire Nyabuti...
Familia moja ya Kimilili, Bungoma County, inataka majibu baada ya kudai kuwa kipande cha cannula kilivunjika na kubaki ndani ya shingo ya mtoto wao wakati akipokea matibabu katika Kory Family Hospital.
Cannula ni bomba dogo, jembamba na laini linalowekwa kwenye mshipa ili kuruhusu dawa, maji ya...
Habari Wana nzengo
Mimi ni mdau wa maendeleo ya watu wenye ulemavu nimekuwa nikifuatilia vyuo vya watu wenye ulemavu vilivyokuwa chini ya ofisi ya waziri mkuu ambako kwa Sasa vimehamia katika wizara ya elimu sayansi na teknolojia vyuo hivi vipo Singida (sabasaba) Dar es salaam (yombo),Mwanza...
Mnaendelea kuchora mabango ya kuandamana,
mnaposti kwenye mitandao ya kijamii,
mnapanga kukusanyika na kuingia barabarani kwa matumaini ya kusikika.
Lakini jiulizeni kwa kina
je, mmejiandaa kukabiliana na hali halisi inayoweza kujitokeza?
Mnapofika barabarani, mambo hubadilika.
Mnafyatuliwa...
Taasisi ya Tulia Trust chini ya Mkurugenzi wake ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Mbunge wa Jimbo la Uyole Mhe. Dkt. Tulia Ackson imemkabidhi kiti mwendo na mtaji wa shilingi laki tano (Tsh. 500,000/=) Mpoki Abraham anayeishi mtaa wa bombambili kata ya Mwakibete.
Mpoki...
Mshambuliaji wa Young Africans S.C (Yanga SC), Prince Dube, alivyomzawadia pesa Mwananchi baada ya kutua bandarini Machi 2, 2026 akitokea Zanzibar na klabu yake kufuatia mechi ya dabi ya Kariakoo Jumapili ambayo ilimalizika kwa suluhu ya 0-0.
Katika ulimwengu wa leo wa mitandao ya kijamii, mipaka kati ya faragha na maonesho imefutika. Kisa cha binti mmoja maarufu wa mtandaoni, anayeonekana ni slay queen, kimeibua mjadala mzito kuhusu utu, uzazi na maadili ya kizazi cha kidijitali.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, aliamua...
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan yupo tayari kuendelea kufanya mambo makubwa kwa watu wenye ulemavu ili kukuza ustawi wa jamii hiyo kwa kuwawezesha kushiriki katika shughuli mbalimbali za kimaendeleo.
Amesema hayo Oktoba 11, 2025 wakati wa hafla ya kupokea...
Zaidi ya Tsh. Bilioni 82 zimetumika kwa ajili ya mikopo ya asilimia kumi ya Wanawake, watoto na wenye ulemavu
Rais Samia anaingia madarakani mwaka 2021, mikopo
ya 10% iliyotolewa na halmashauri zote nchini ilikuwa ni
Bilioni 22.3 ambayo vikundi vya wanawake walipata 4%,
vijana 4% na watu wenye...
"Ulemavu wa akili katika siasa hujidhihirisha pale ambapo kikundi cha matusi (wanaharakati uchwara) wenye kujifanya werevu kwa kuchonganisha wananchi na mamlaka, wakivuruga mshikamano kwa maslahi binafsi. Hawa si wanaharakati wa mabadiliko, bali ni mawakala wa mgawanyiko na machafuko wanaoishi...
Na Mwandishi Wetu- Dar es Salaam.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga amezindua miradi ya kiuchumi ambayo iko chini ya Shirika lisilo la Kiserikali la Strategic Alternative Learning Technique (SALT), inayohudumiwa na vijana wenye changamoto za...
Jinsi Teknolojia Inavyoboresha Maisha ya Watu Wenye Ulemavu
Katika dunia ya leo ya kidijitali, teknolojia si tu nyenzo ya maendeleo bali pia mkombozi mkubwa kwa watu wenye ulemavu. Iwe ni ulemavu wa kuona, kusikia, kutembea au kujifunza, kuna suluhisho nyingi zinazorahisisha maisha na kuongeza...
MSAADA WA KISAIKOLOJIA UMETOLEWA KWA WATU WENYE ULEMAVU
Watu wenye Ulemavu 821,763 (wanaume 411,321 na wanawake 410,442) walipatiwa huduma za msaada wa kisaikolojia.
Kati ya hao, watu wenye Ualbino 67,502 walipatiwa msaada wa kisaikolojia wakati wa uendeshaji wa kliniki za uchunguzi wa...
Napenda kujua
Naomba kujua favor anzopata mtu mwenye ulemavu kwenye ajira za utumishi ikiwa labda kafeli oral au hata written wanamsaidiaje hapo? Nina ndugu yangu Kaomba Hz kazi za ualimu masomo ya biashara yeye kakatika mkono
Ningependa kujua
Naomba kujua favor anzopata mtu mwenye ulemavu kwenye ajira za utumishi ikiwa labda kafeli oral au hata written wanamsaidiaje hapo? Nina ndugu yangu Kaomba Hz kazi za ualimu masomo ya biashara yeye kakatika mkono
Miaka ya nyuma nikiwa mdogo,nilikuwa na rafiki yangu mlemavu akitumia baiskeli ya matairi matatu.
Kwa maekezi yake yeye na walemavu wengine waluruhusiwa kuingia mpirani bure kuona mechi yoyote ile.
Je ni kwa nini walemavu wa aina nyingine kama viziwi,mabubu,albino,vipofu nk hawakupewa hiyo...
Katika juhudi za kukabiliana na mila potofu, imani zisizo sahihi na ushirikina unaodhuru watu wenye ulemavu, wadau wametoa wito kwa serikali kuhakikisha inakamilisha mchakato wa kuridhia Itifaki ya Haki za Watu Wenye Ulemavu Afrika kabla ya kuvunjwa kwa Bunge la 12, ili kulinda haki za kundi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.