butiama

Butiama is a town in northern Tanzania and the birthplace of Julius Nyerere, the first president of Tanzania. Butiama is administrative centre of Butiama District, and lies within the Mara Region; it is also the local residential area of the Wazanaki tribe which is believed to be the smallest tribe in the region. The Mwalimu Nyerere Museum Centre is located in the town.
Several things have been named Butiama because of its significance to Tanzanian history, including the ferry MV Butiama that operates between Mwanza and Ukerewe.
According to the 2002 Tanzania National Census, the population of Butiama was 15,383.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Waajiliwa Afya Butiama tunadai Hela ya Kujikimu. Hatujapewa tangu mwezi wa Nane 2025 mpaka sasa

    Hellow habari za Majukumu... Naomba mtusaidie kupaza Sauti sisi waajiliwa wapya wa kada ya AFYA katika halmashauri ya wilaya Butiama Hatujapewa Hela ya Kujikimu tangu tumepata Ajira mwaka Jana mwezi wa Nane 2025 Mpaka Sasa. Tulifatilia kwa Katibu wa Halmashauri hii Yeye kila tukimtafuta...
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI ya SAMIA kama hamtashughulika na Majizi yaliyopo Halimashauri ya BUTIAMA , Hospitali Mpya ya Wilaya ya BUTIAMA Haitokaa Kumalizika Ujenzi

    Mimi ni Chadema Damudamu, na kama ambavyo Chama Changu hakiitambui Serikali hii ilotokana Uchaguzi Haramu !! Kuna Wakati kama Mtanzania Unaumia na kutoa Machozi !!. Ukamilashaji wa Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya BUTIAMA , Sulihisho sio Kubadilisha Ma DMO , Ma DMO mtabadili sana na Kila...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Ghati Chomete ashiriki mazishi ya marehemu Sunzy Mwita Chambiri wilayani Butiama, mkoani Mara

    MHE. GHATI CHOMETE ASHIRIKI MAZISHI YA MAREHEMU SUNZY MWITA CHAMBIRI WILAYANI BUTIAMA, MKOANI MARA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania Chomete Leo tarehe 10 Machi, 2026 ameungana na mamia ya waombolezaji waliojitokeza kushiriki Mazishi ya Marehemu Sunzy Mwita Chambiri...
  4. Kelela

    JamiiForums Tanzania Ipi ruti rahisi zaidi ya kufika Butiama kutokea Dar es Salaam

    Habari zenu. Ni ipi ruti rahisi zaidi ya kufika Butiama kwa mwaka huu 2026 kwa kutokea Dar es Salaam. Naomba kujua, Basi za Kupanda. Nauli kiasi gani? Shughuli kuu za kiuchumi za Butiama ni zipi?
  5. Mikhail Tal

    JamiiForums Tanzania Kuna Tetemeko limepita Butiama saa 16:34. Je, ni ardhi ya Baba wa Taifa imechukia?

    Habari ndo hiyo wadau, sasa sijui ndo ishara hizo za kukinukisha.
  6. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mvua yamfurumusha mgombea wa CCM kijijini Butiama

    Ulikuwa ni mkutano wa Kampeni na mgombea ubunge wa CCM alikuwa anakampeni apigiwe kura kuwa mbunge . Baada ya Ngoma nyingi za utamaduni spichi zikaanza. Akafika kada mmoja kuongea. Nimeshasahau alisema nini, lakini alikuwa tu anafungua mkutano anawakaribisha wote. Halafu akaja huyu kada...
  7. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Doyo Hassan Doyo afika Butiama.

    Mgombea urais kwa tiketi ya NLD, National League for Democracy,Bw. Doyo Hassan amefika Butiama leo. Alipokelewa na Madaraka Nyerere na Andrew Nyerere. Ametembelea kaburi,ameonyeshwa residence ya Chief Nyerere Burito.
  8. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia atakuwa Butiama, Septemba 14, 2025

    Nimefika hapa jana nimeona uwanja unatayarishwa kwa shughuli fulani. Nimeuliza kuna nini hapa leo.? Nimeambiwa hapa Leo tunasheherekea Mara Day. Lakini uwanja ni maridadi sana. Nikaambiwa labda neye atafika. Basi naona hawana habari. Lakini nimeambiwa hapa katika mjengo kwamba Rais atafika...
  9. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Safarini naenda Butiama

    Natoka Morogoro naelekea Singida. Pale 100 km kutoka Morogoro imeanguka tanker ya mafuta, imeanguka pale pale kwenye lami. Wanakijiji wanakuja from all sides kuchota mafuta. Nimeona malori mengi yamepaki pembeni. Nimeuliza,"Huyu hapa ameanguka, lakini hawa wengine wana shughuli gani hapa?"...
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wilson Mahera ambwaga Sagini kura za maoni Butiama

    Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia anayeshughulikia Elimu, Wilson Mahera, ameibuka mshindi katika kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Butiama, akimshinda mbunge aliyekuwa akitetea nafasi hiyo, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Katiba na Sheria...
  11. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Video: Wananchi wa Butiama wamzomea Jumanne Sagini wakati anaomba kura za maoni. Hawataki hata kumsikia

    Wakuu, Yaani wananchi hawana mchezo sasa hivi wanaruka na kila mtu. Leo wameruka na Sagini Haijalishi wewe ni Waziri au Mbunge lakini wanaruka na wewe na hapa ni kwenye kura za maoni tu tunasubiri kuona kwenye kampeni itakuwaje.
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sagini akutana na balaa zito Butiama, wajumbe wamkataa!

    Sagini Jumanne Abdallah amakutana na balaa zito kwa wananchi wa Butiama, baada ya ya baadhi ya wananchi kuonyesha kutomtaka kuendelea kujinadi mbele ya wajumbe Hakika kweli wananchi mwaka huu wanalao jambo kwa viongozi waliwakimbia kuwaletea maendeleo
  13. M

    JamiiForums Tanzania BUTIAMA: Joseph Butiku asema hakukubaliana na Uamuzi wa Hamprey Polepole

    JamiiCheck imefuatilia Taarifa hii na kubaini kuwa inapotosha uhalisia. Soma hapa Msikilize huyu Mzee ambaye Kwa record zake nyingi amejipambanua kwa ukweli na kuwa mtu wa kuaminika, Joseph Butiku ni Mzsee Msemakweli na Uelewa mpana. Msikilize,
  14. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI BUTIAMA: Mzee Butiku asema tangu awali hakukubaliana na Uhuni na Uendawazimu wa Humphrey Polepole

    Mzee Butiku asema, Ngoja nimwite Kwa lugha ya Mtaani Muhuni au Mwendawazimu na pengine si mwenzetu,
  15. B

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Twende Butiama: Vodacom Tanzania na Benki ya Stanbic Tanzania wakabidhi msaada Shule ya Msingi Mkata, Handeni

    Mkuu wa Kanda ya Kaskazini, Vodacom Tanzania PLC, George Venanty (kushoto) akimkabidhi kiti mwendo mmoja wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Mkata ambapo pia walikabidhi matundu ya choo 10, magodoro 40, vitanda 20 na viti mwendo 47 kwa shule hiyo ikiwa ni sehemu ya shughuli zinazofanywa katika...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Butiama: Mbunge Sagini achinja ng'ombe 500 kutoka uturuki na kugawia wananchi sikukuu ya ‘Eid al-Adha’

    Wakuu Wananchi wa Wilaya ya Butiama mkoani Mara wamejikuta wakinusuru fedha zao kwaajili ya bajeti ya kitoweo cha sherehe ya sikukuu ya kuchinja ‘Eid al-Adha’ baada ya Mbunge wa Jimbo la Butiama Jumanne Sagini kuchinja Ng’ombe zaidi 500 na kuwagawia. Tukio hilo limetokea mapema leo Juni 7...
  17. Marco Polo

    JamiiForums Tanzania Safari ya kutoka Dar kwenda Butiama Kwa usafiri wa basi

    Nina safari hivi karibuni kwenda mkoa wa Mara Butiama naomba kujua yafuatayo: -Je mabasi yanaondoka asbhi saa 12 au muda wowote? - Safari kutoka Dar mpaka Butiama inachukua masaa mangapi mpaka kufika? - Sehemu ya kufikia inayoridhisha nikiwa hapo Butiama.
  18. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa CWT wilaya ya Butiama utazamwe na TAKUKURU

    Kuna tetesi kuwa mchakato wa uchaguzi wa CWT katika wilaya hiyo umegubikwa na visa vingi vinavyokiuka taratibu za uchaguzi. Mojawapo ya visa hivyo ni pamoja na usambaji wa fomu kwa wagombea ngazi ya matawi unaoambatana na kupewa kiasi fulani cha pesa. Tunaiomba TAKUKURU imulike uchaguzi huo...
  19. Yongpalmuel

    JamiiForums Tanzania Aina ya mazao ya kilimo yanayolimwa butiama

    Habarini za saiz!? Kwa mtu anayefahamu kwa wilaya ya butiama ni zao gan la kilimo ambalo linalimwa katika maeneo hayo hasa zao kilimo la biashara !?
  20. Yongpalmuel

    JamiiForums Tanzania Mtu anayeenda kufanya kazi wilaya ya butiama.

    Habari za mchana? Nilikuwa napenda kufahamu kwa ujumla mazingira ya wilaya ya butiama kwa mtu anayeenda kuanza kazi katika wilaya hiyo. Kwenye upande wa mazingira na tamaduni za huko butiama ? Gharama pia za maisha huko butiama zipoje ? Kama nyumba na vyakula. Pia wanajidhughurisha na kilimo...
Back
Top Bottom