kusahau

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Kama Watanzania wote tungekuwa na akili timamu, tungeweka kando tofauti zetu za kisiasa na kuwapigania kwa nguvu zote Lissu, Dr. Nchimbi na Pole Pole

    Hakuna Mtanzania asiyeona kwamba sasa nchi yetu Tanzania imeingizwa kwa ndani sana na utawala wa kikatili na kifisadi uliojikita kwenye kujifanya mabwana kati ya raia ambao wanapaswa kuwa watwana. Polisi wametusaliti na kuwa wauaji na watekaji wetu, wakijiunga na TISS katika udhalimu huu...
  2. Ibun balo

    JamiiForums Tanzania Siri za Kistaarabu za Kujenga na Kulinda Heshima ya Ndoa: Nguvu ya Kusamehe na Kusahau

    Habari za wakati huu ndugu zangu wana-jukwaa. Katika mada iliyopita, tulijadili misingi ya kistaarabu ya kutatua migogoro na umuhimu wa kuzuia maneno ya dharau. Leo tunaongezea nguzo nyingine muhimu sana ambayo ndiyo nguzo kuu inayoshikilia ustawi na maisha marefu ya ndoa yoyote iliyofanikiwa...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hali hii ya Tundu Lisu kusahau baadhi ya mambo muhimu akiwa kizimbani jana na kuiomba mahakama muda kuyasema leo, inatoa picha gani na kuashiria nini?

    Je, ni inashiria ya uchovu, kiwewe, hofu au ni hali ya kawaida kwa mwanadamu kisayansi? Vipi siku ya mwisho ya final submission yake kizimbani, akisahau kuieleza mahakama jambo muhimu zaidi pengine la kumuokoa na kitanzi, na kisha akalikumbuka akiwa nje ya mahakama, labda akiwa anasubiria...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wengi huangalia bei ya gari na kusahau gharama za Interior, Tairi na Rim. Tenga bajeti ya ziada mapema ili usije ukahangaika baada ya kununua gari

    Wengi huangalia bei ya gari na kusahau gharama zinazoweza kuja baada ya kulinunua. Unaponunua gari, ni muhimu kutenga bajeti ya ziada (Buffer Amount) kwa ajili ya kuboresha au kubadilisha baadhi ya vitu muhimu kama Tairi, Rim na Interior. Tairi na Rim Kwa hali ya barabara zetu zilizojaa...
  5. Lighton

    JamiiForums Tanzania Kusamehe ni Rahisi lakini kusahau ngumu

    Wakuu Habari za mchana huu Binafsi niseme, mimi kwa upande wangu kusamehe siyo shida na huwa inachukua muda kufungua moyo, inategemea na ukubwa kosa lenyewe. Naweza kudondosha visa viwili muhimu......... 1. Kisa cha kwanza; Kipindi nipo primary niliwahi kushuhudia matendo ya chuki ya baadhi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ni surprise gani uliwahi kufanyiwa na mpenzi wako mpaka leo huwezi kusahau

    Kuna binti kakutana na Surprise ambayo naamini hawezi kusahau kamwe, alikuwa na mpenzi wake ambaye walikuwa na miaka 4 anakwenda mpaka kwa kwao na jamaa akiamini kwa hatua waliyofikia yeye ni mke bado kuthibitishwa tu. Kama kawaida siku moja alikwenda kwa mpenzi wake akalala mpaka asubuhi...
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Walishatugundua tuna tabia ya kusahau na kunyamaza ndio maana ukiona unatishwa wanakuleza neno watasahau.

    Ni kwamba mfumo wa serikali ya CCM ulishajua kuwa hawa hata tukiwafanyia lolote baya wana wasahau tu na kunyamaza. Ndio maana leo wanafanya lolote watakalo wanajua kesho mtawafanya lolote sababu mtasahau.
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kuna presha nyingi ambazo jamii huziona kwa Wasichana na kusahau Wavulana wanabeba mizigo mizito moyoni

    PRESHA WAVULANA WENGI WANAPAMBANA KIMYA KIMYA. Kuna presha nyingi ambazo jamii huziona kwa wasichana… lakini mara nyingi husahau kwamba hata wavulana wanabeba mizigo mizito moyoni. Tofauti ni kwamba wavulana wengi wamefundishwa kuficha maumivu yao. Wamefundishwa: “vumilia.” “kuwa mwanaume.”...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mswaada wa Bunge la Marekani kuhusu Tanzania unalenga pia kuwataja wanaohusika na ukandamizaji wa demokrasia bila kusahau waliogiza na kuekelez mauji

    Hii ni sehemu ya 5 ya Mswaada husika. Jisomee:
  10. T

    JamiiForums Tanzania Utatuzi changamoto za ajira portal nk kama kusahau password, kusahau email nk

    personally kama una changamoto tuwasiliane kupitia 0792715343
  11. M

    JamiiForums Tanzania Bila uwajibikaji wa kweli, hizi ripoti ni kelele tu. Huu si wakati wa kusoma ripoti ya CAG na kusahau

    Ripoti ya CAG si habari mpya ni uthibitisho wa uzembe na ufisadi uliokithiri. Fedha za umma zinapotea, wananchi wanabaki na hospitali zisizo na dawa, shule duni, na miradi hewa. Bila uwajibikaji wa kweli, hizi ripoti ni kelele tu.Huu si wakati wa kusoma ripoti na kusahau.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Sarakasi za Fr. Kitima na Maoni ya watu kwenye Msiba wa Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo

    Raha ya milele umpe Ee Bwana, apumzime kwa amani, Amina! Binafsi nimeona mijadala mbalimbali ikimuhusisha Fr. Kitima na namna alivyowatambulisha watu kanisani na namna alivyomkaribisha Rais kuaga mwili wa Marehemu Pengo. Sehemu kubwa ya mjadala watu wanasema kwamba Fr. Kitima kaonyesha dharau...
  13. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la kusahau (kupoteza kumbukumbu)

    Wakuu nisaidieni, nina tatizo la kusahau haraka haraka vitu ninavyovisoma. Vile ninavyovisikia na kuviona huwa sivisahau. Yaani nikishamaliza kusoma sentensi huwa nasahau hapo hapo. Hadi nirudie kusoma mara mbili hadi mara tatu ndo ninaweza kumbuka/kukariri. Naona tatizo hili linazidi kuwa...
  14. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Watanzania Kamwe tusilogwe tukasahau agenda zetu nyeti kwa propaganda za kijinga za CCM

    GT. Narudia tena kuwaambia kwa sasa CCM wanawaza uchaguzi wa 2030 tu hawana jingine...Mwigulu kaja kama master mind wa kutengeneza upumbavu ili siku zisonge mbele. Tusipokuwa makini mtachezewa hapa propaganda za kipumbavu mara paaa 2030 hii hapa hakuna lolote la maana lililofanyika. Tuna...
  15. passioner255

    JamiiForums Tanzania Kamwe hatuwezi kusahau ndugu zetu wa October 29.

    Kamwe hatuwezi kusahau maumivu tuliyopata terehe 29 wakati wa uchaguzi.maumivu ya kuuawa ndugu zetu kinyama na waTanzania wenzetu wachache ambao ni watawala...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Kusema ukweli nimeshindwa kabisa kusahau yaliyotokea oktoba29 sitasahau mpaka naingia kaburini!

    Nafanya mengi lakini ile siku ya oktoba 29, 2025 imegoma kutoka kichwani, sitasahau kabisa, nimekata tamaa kabisa ya maisha haya chini ya jua uzalendo wangu wa nchi hii uliishia pale! sina imani na yoyote! Waafrika tunaroho mbaya sana, waafrika sio watu wa kawaida kabisa ni kama kuna laana...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Ni kumbukumbu gani Mwaka 2025 unakuachia ambazo unadhani hautaweza kusahau?

    Takriban wiki 6 zimesalia kuumaliza mwaka 2025, bila shaka kuna matukio mengi mazuri na mengine magumu umekutana nayo mwaka huu Kati ya matukio hayo ni yapi unadhani hautaweza kuyasahau kabisa?
  18. F

    JamiiForums Tanzania Watanzania wepesi wa kusahau. Kuna ile kashfa ya Kikwete kununuliwa suti za jamaa wa Dubai, ile scandal iliisha kimya kimya. Mjueni Kikwete vizuri.

    Wakati wa hafla iliyofanyika Kempinski wakati wa utawala wa Kikwete, kuna mwekezaji mmoja kutoka Dubai alitamka kuwa wanamvisha Kikwete na walimpa zawadi ya suti ambazo zilimbamba vizuri. Habari ilipokuwa si siri tena, Kikwete kama kawaida akajitokeza na kudai anasingiziwa na magazeti...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Askofu Kyando: Watanzania wameanza kusahau utu

    Askofu wa Jimbo Katoliki la Njombe, Mhashamu Eusebius Kyando, ametoa wito kwa Watanzania kurejea katika msingi wa kuthamini utu wa binadamu kama nguzo muhimu ya ustawi wa jamii na taifa kwa ujumla. Akizungumza kwenye mahafali ya 25 ya Taasisi ya Mafunzo ya Afya Lugarawa (LUHET) yaliyofanyika...
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Je, uliwahi kusahau kitu chako cha thamani kwenye usafiri wa umma, yaani Daladala, halafu ukakipata tena?

    Mimi binafsi nimewahi kushuhudia mtu akilia kwa uchungu baada ya kusahau pochi yenye kila kitu kadi, hela, vitambulisho kwenye siti ya daladala. Hakujua hata jina la gari, wala namba. Hakujua pa kuanzia. Kwa nini daladala zetu hazina mfumo wowote rasmi wa kutunza vitu vinavyosahaulika? Wakuu...
Back
Top Bottom