elimika

  1. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗬𝗼𝘂𝗧𝘂𝗯𝗲 𝘀𝗮𝘀𝗮 𝗸𝘂𝗹𝗶𝗽𝘄𝗮 𝗶𝗺𝗲𝗸𝘂𝗮 𝗡𝗴𝘂𝗺𝘂 𝗹𝗮𝘇𝗶𝗺𝗮 𝘂𝗷𝗶𝘁𝘂𝗺𝗲 𝗵𝗮𝘀𝘄𝗮

    Wanasema pesa ngumu 😃 hakuna Kuonga Aiseeh!!! YouTube imeongeza kiwango cha watch hours kutoka 4,000 hadi 8,000 kwa creators wapya wanaotaka kufuzu na Kuanza kulipwa kupitia mapato ya matangazo. 📈 Na kwa wale wanaotegemea Shorts Video, kiwango chao pia kimepanda kutoka 10M hadi 20M views...
  2. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗠𝘄𝗶𝘀𝗵𝗼 𝘄𝗮 𝗚𝗼𝗼𝗴𝗹𝗲 𝗔𝘀𝘀𝗶𝘀𝘁𝗮𝗻𝘁 𝗶𝗻𝗮𝗼𝗻𝗱𝗼𝗹𝗲𝘄𝗮 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝘇𝗮 𝗔𝗻𝗱𝗿𝗼𝗶𝗱 😱

    Baada ya miaka karibu 10 ya kuwasaidia mamilioni ya watumiaji duniani, Google Assistant anaondoka rasmi kwenye simu za Android. 🤖 Kuanzia sasa, Google anabadilisha kila kitu kwa kumleta Gemini AI kuwa msaidizi mpya wa simu. Hii ina maana kuwa ukisema "Hey Google", badala ya Google Assistant...
  3. Dr Luu

    JamiiForums Tanzania Dawa Asili & Ushauri wa Afya na Dr Luu

    Habari za wakati huu. Nimeanzisha thread hii ili kutoa elimu ya mtindo wa maisha, kuelezea matibabu ya tiba lishe asili, mitishamba na huduma binafsi unayoweza kupata toka kwangu. Nitakua na mfululizo wa mada mbalimbali zinazohusu afya na mtindo wa maisha. Ndani ya makala hii tutapata faida...
  4. abdurkadir78

    JamiiForums Tanzania Elimika na Epuka madhara yasio ya lazima ya dawa hapa nitatoa ufafanuzi juu ya hili hasa matumizi yasiyo sahihi kwa Antibiotics

    Antibiotics ni dawa zinazotumiwa kutibu maambukizi ya bakteria. Hata hivyo, matumizi holela ya antibiotics yanaweza kuleta madhara mbalimbali ambayo ni muhimu kujua. Hapa kuna baadhi ya madhara hayo: 1. Ukuaji wa Uhimili (Resistance): Matumizi yasiyo sahihi ya antibiotics yanaweza kusababisha...
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Elimika hapa bure

    Kuna miamba huwa inadhani hizi button ni kubonyeza tu. Sasa kaa hapa nikupige shule kidogo. Hivi vyoo vinaitwa Dual flushing buttons au dual-flush toilets kwa lugha janja ya kimombo. Ni vyoo vya kisasa vilivyokuwa modified ili kupunguza matumizi ya maji. Lengo kuu la vyoo vya dual-flush ni...
  6. Blender

    JamiiForums Tanzania Mimi Kuna Kitu Kinanichanganya Sana Kwenye Hii Serikali Yetu

    Mimi Kuna Kitu Kinanichanganya Sana Kwenye Hii Serikali Yetu Wanasema Mimba Na Mtoto Ni mali ya Serikali Lakini Kwanzia Ujauzito Na Mtoto Unahudumia Wewe Sasa Kwanini Kama Mtoto Ni mali ya Serikali Usiwekwe Mfumo Wa Kuwalipa Wazazi Posho Za Malezi Ya Mtoto/ Watoto Wao? Hapo Nachoka Kabisa. Au...
  7. Said Shagembe

    JamiiForums Tanzania Elimika na Elimisha

    Hakikisha unakuwa mwalimu wa mwenzio, toa maarifa tuliyonayo kwa wengine. Namna unavyojiona wewe wa thamani ndivyo hivyo unapaswa kuwathamini wengine. Tuishi kwa upendo tukielimishana na kufahamishana ili tujenge jamii na Taifa lililoimara. Jamii na nchi yetu tutaijenga wenyewe na kama...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Elimika na uburudike kwa misemo inayoandikwa kwenye Malori, Daladala, pikipiki, bajaji, baiskeli

  9. MAKA Jr

    JamiiForums Tanzania SoC02 Sababu saba (07) zinazopelekea mtoto wa Kitanzania ashindwe kupata elimu bora

    Picha. Chanzo: Mwananchi (12/08/2022) UTANGULIZI Nchi masikini na zinazoendelea zina changamoto nyingi kama vile; changamoto za umasikini, utandawazi, na kielimu. Changamoto za upatikanaji wa elimu bora ndio kubwa zaidi. Tanzania kama moja ya nchi zinazoendelea pia ina changamoto kadhaa...
  10. KIMOMWEMOTORS

    JamiiForums Tanzania ELIMIKA: TRA wanaangalia Mwaka au Bei au Model?

    TRA WANAANGALIA BEI YA GARI AU NI MWAKA NA MODEL TU? Na Kimomwe Motors (T) Ltd- Waagizaji Magari Swali hilo muhimu liliulizwa na mmoja wa wadau wetu na majibu yake ni kama ifuatavyo. Kwa ufupi ni kwamba Ushuru wa gari yako utaamuliwa na vitu vyote vitatu yaani Bei ya gari, mwaka na model...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mwongozo: Wizara ya Afya imetahadharisha kuwa COVID19 bado ipo; tunaishije?

    Wakati dunia ikiendelea kupambana kudhibiti mlipuko wa CoronaVirus, Tanzania imetangaza kuendelea kwa shughuli nyingi za kiuchumi na kijamii. Hii inapelekea Watanzania kulazimika kutafta namna ya kuishi na gonjwa hili miongoni mwetu huku tukiendelea kutimiza majukumu. Katika mchakato huu...
  12. bahati93

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya misimamo ya watu wenye akili zaidi ya wastani

    Good Morning people, Kwanza kabla sijafika mbali napenda niweke bayana mambo yafuatayo. Mosi: binadamu tumetofautiana talanta kutokana na katiba ya miili yetu ilivyoumbwa. Hivyo sio jambo jema kukashifu mwingine kutokana na mapungufu ambayo yapo nje ya uwezo wa asili wa miili yao. Waraka huu...
  13. Dr Orb

    JamiiForums Tanzania Je, wewe ni Mkristo au Muislamu? je, kalenda unayoitumia unaijua?

    Historia kuu inayozingatiwa kuhusu hesabu za miaka ni ile yenye mlengwa wa kidini. ambapo historia hiyo inasema miaka 2019 ilianzia mwaka 1 ambapo Yesu kristo alipozaliwa kwa mujibu wa Dionysius Exiguu. Hesabu hii haikuwa na uhakika na ilikuwa kimakadirio tu ya bwana Dionyius. Sababu kuu ya...
Back
Top Bottom