Hivi tulishindwa tu kununua Madafu ya kutosha Nje ya Ikulu hadi kuruhusu Wauza Madafu na Baiskeli zao Mbovu na Kongwe waingie nazo Ikulu kienyeji?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,694
109,128
Mnaacha kutumia muda wenu mwingi kufikiria kwa Akili Kubwa jinsi ya kutatua Changamoto lukuki zinazowakabili Watanzania na Taifa la Tanzania nyie Kutwa mpo katika kutengeneza Maigizo ya Kipumbavu na Kishamba (kama mlivyo) ili tu muonekane Mnapenda na kujali kila Mtu, Wanyenyekevu na mno Huruma na Hambagui Mtu.

Mtatumia mno Nguvu ili mkubalike ila Ukweli utabaki palepale kuwa HAMPENDWI hata kama tumenunua Mafuta ya Mzaituni kutoka Israeli ili kuyapaka kila Siku, kila Jumamosi kuombewa na Tapeli wa Tanganyika Packers Kawe (kwa Kuitwa Feri) na tunatumia Waganga Wakubwa (kutoka nchi Tatu za Afrika) ili kuzing'arisha Nyota zetu ambazo pamoja na juhudi zote hizi bado hazijang'aa na ndiyo Kwanza tu Kuchukiwa, Kutoaminika na Kudharaulika nao kunazidi huku Wanafiki wakiendelea Kudanganya ili wale Fedha zako zisizo na Kazi.

Tunakumbushana tu kuwa Yanga SC itacheza na Mamelodi Sundowns FC na Simba SC itacheza na Al Ahly FC ambapo kwa Lugha nyepesi tunasema kuwa Warembo wamejipeleka wenyewe Maghettoni mwa Wanamume wa Kizulu na wa Kiarabu Kudadadeki.
 
Mnaacha kutumia muda wenu mwingi kufikiria kwa Akili Kubwa jinsi ya kutatua Changamoto lukuki zinazowakabili Watanzania na Taifa la Tanzania nyie Kutwa mpo katika kutengeneza Maigizo ya Kipumbavu na Kishamba ( kama mlivyo ) ili tu muonekane Mnapenda na kujali kila Mtu, Wanyenyekevu na mno Huruma na Hambagui Mtu.

Mtatumia mno Nguvu ili mkubalike ila Ukweli utabaki palepale kuwa HAMPENDWI hata kama tumenunua Mafuta ya Mzaituni kutoka Israeli ili kuyapaka kila Siku, kila Jumamosi kuombewa na Tapeli wa Tanganyika Packers Kawe ( kwa Kuitwa Feri ) na tunatumia Waganga Wakubwa ( kutoka nchi Tatu za Afrika ) ili kuzing'arisha Nyota zetu ambazo pamoja na juhudi zote hizi bado hazijang'aa na ndiyo Kwanza tu Kuchukiwa, Kutoaminika na Kudharaulika nao kunazidi huku Wanafiki wakiendelea Kudanganya ili wale Fedha zako zisizo na Kazi.

Hapo mwisho sasa,warembo
 
Ikulu ni Mali ya Watanzania wakiwemo wauza madafu bila kujalisha Hali zao za maisha 🤪😀

Waliokodishiwa Baiskeli zao wamelipwa pakubwa sana Jana au hizo Baiskeli Huwa ziko stoo? 😆😆😆😆.

Mwisho kama hizo ndio kiki za kutafuta kupendwa nadhani washauri wake ni mbumbumbu wa mwisho.

Kuna moves zinatakiwa kufanya Ili ku draw attention ila sio hizo za kienyeji kienyeji.mfano hiyo Futari ingeandaliwa Kwa watu maskini hata Uwanjani inge make sense kuliko kuwaandalia hao wenye uwezo ambao kimsingi sio wahitaji.
 
Yaan wauza madafu waingie ikulu hawa jamaa sijui wanatuonaje.
Daah watu weusi mna roho mbaya sana na dharau za ajabu muuza Madafu nae si raia ana haki kama mtu mwingine...ninyi ndio mkipata visent kidogo tu mnachagua mpaka ndugu wa kuja kuwasalimia huo ni Umasikini unakua kwenye damu hautoki hata uwe tajiri kiasi gani...
 
Mnaacha kutumia muda wenu mwingi kufikiria kwa Akili Kubwa jinsi ya kutatua Changamoto lukuki zinazowakabili Watanzania na Taifa la Tanzania nyie Kutwa mpo katika kutengeneza Maigizo ya Kipumbavu na Kishamba (kama mlivyo) ili tu muonekane Mnapenda na kujali kila Mtu, Wanyenyekevu na mno Huruma na Hambagui Mtu.

Mtatumia mno Nguvu ili mkubalike ila Ukweli utabaki palepale kuwa HAMPENDWI hata kama tumenunua Mafuta ya Mzaituni kutoka Israeli ili kuyapaka kila Siku, kila Jumamosi kuombewa na Tapeli wa Tanganyika Packers Kawe (kwa Kuitwa Feri) na tunatumia Waganga Wakubwa (kutoka nchi Tatu za Afrika) ili kuzing'arisha Nyota zetu ambazo pamoja na juhudi zote hizi bado hazijang'aa na ndiyo Kwanza tu Kuchukiwa, Kutoaminika na Kudharaulika nao kunazidi huku Wanafiki wakiendelea Kudanganya ili wale Fedha zako zisizo na Kazi.

Tunakumbushana tu kuwa Yanga SC itacheza na Mamelodi Sundowns FC na Simba SC itacheza na Al Ahly FC ambapo kwa Lugha nyepesi tunasema kuwa Warembo wamejipeleka wenyewe Maghettoni mwa Wanamume wa Kizulu na wa Kiarabu Kudadadeki.
Umetumia fani ya mazungumzo ya Shaaban Robert.Sijaelewa chochote
Naondoka
 
sijapenda,
unadrive,
tena wanafunzi halafu unaandika uzi 🐒
 
Mbona kituko kama ndivyo.
 
Hakuna wauza madafu hapo, hao wote ni vijana wa TISS na sinema zao kama zile alizokuwa anafanya magufuli kwenye vijiwe vya kahawa
Hayati Magufuli mnamuonea kwa wafuatiliaji wa Mambo na wenye Uweledi wa kutunza na kuwa na Kumbukumbu tunajua kuwa mwanzilishi Mwandamizi wa huu Upuuzi wa haya Maigizo ya Kitoto, Kishamba na Kipumbavu ni Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete.
 
Lazima watetee kambi yao,,, ila itapigwa kiberiti tu
 
Back
Top Bottom