Hakuna kiongozi wa wizara ya Elimu (hawa wapya) anayefahamu matatizo ya elimu yetu. Elimu yetu inaweza kufa kabisa. Soon, very soon, Presdent Samia atafanya mabadiliko tena. Kule ardhi mama ameshauriwa vibaya. Lukuvi anaweza kutolewa na ardhi isiyumbe. Ila katibu mkuu wake, yule Mary, hakutakiwa...
Mama Pombe shikamoo.
Pole sana na msiba wa Mzee. Let me be honest. Your husband was honest. Nilipenda utawala wake kwa sababu kama mfanyabiashara ulikuwa clean, kupata mafanikio kipindi chake was obvious. Mumeo alikuwa mzalendo sana licha ya "ufyatu fyatu" wake ambao sikuwa naufurahia. Ukweli...
Shikamoo mama. Pole na majukumu. Bado ninaamini kuwa wewe una utu. Endelea kuwa na utu na siyo ulegevu. Majizi ni mengi kuliko idadi za pikipiki zilizoko mkoa wa Katavi. I love you. Naomba nikupe ushauri.
Data zinaonyesha mambo yafuatayo:
1. Mwaka 2022 yawezekana kukawa na njaa Kali sana...
Kaka Janu shikamoo.
Naomba leo nikupe ukweli ambao wengi hatuufahamu.
"Wenye nchi yao", baada ya kuona taifa linalegalega, waliamua kumtafuta mwendawazimu mmoja ili alirudishe kwenye reli. Kwa ustadi mkubwa sana walifanikiwa kumchanganya JK kiasi kwamba amekuja kushtuka tayari JPM ni candidate...
Kwanza nianze kwa kumpa mama pole ya uchovu wa safari. Ninamwomba apigane na upandaji wa gharama za maisha hasa bei za vitu mbalimbali. Unfortunately, this's placing a notable stain on her beautiful leadership gown.
Hata hivyo, namshauri mama ampigie simu Venance wanywe nae chai halafu wapige...
Kwa sasa kila kitu kimepanda sana. Hali ya maisha inazidi kuwa mbaya. Baada ya mwaka mmoja, kama hali itaendelea kuwa hivi, uchumi wetu utaanguka.
Hali mbaya ya kiusalama inayochochewa na uchumi ulioanguka kutokana na mfumuko wa bei itakuwa dhahiri.
Serikali na Taasisi zake, kwa bahati mbaya...
Katika vita ya ufisadi, ni lazima tufanye auditing inayohusu ubinafsi hasa kwenye taasisi zetu na mashirika ya umma. Tuanzie pia huko chini kabisa kwenye mitaa. Tutapata picha ya kiwango cha ubinafsi ambayo itatu-alarm kuhusu mwelekeo wetu wa ufisadi siku za usoni.
Unfortunately, kwa sasa...
Kuna minong'ono kuwa mtu yeyote aliyesaidia kwa namna moja ama nyingine kuokoa uhai wa Lissu (Mungu mwenyewe ndiye Mwamuzi wa mwisho) basi "alisulubiwa". Minong'ono inasema baadhi wamerudishwa kama Jose who's our representative in Brussels.
Wengine bado. Namuomba mama awarudishe. Huu uzi...
Kabla sijasahau, let me remind my government that mobile money businesses are dying. Namaanisha vile vibanda. Baada ya hapo naomba nimpe shikamoo mama yetu.
1. Uchaguzi wa mwaka jana ulikuwa wa kishamba na wa kipuuzi sana. Ulituvua nguo. JPM was my hero. Alikuwa mzalendo. Lakini hili alilofanya...
Uwezo wangu wa kisiasa, kiuchumi, na ki-intelijensia ni mdogo sana. Naomba niliweke hili wazi mapema. Sisi ndiyo wale tunaouliza lini "Brazil itacheza na Manchester".
Ninachompendea Mama, tofauti na JPM ni tabia yake ya kuwa brief. Hotuba ya Mama usipoiwahi basi utakuta amemaliza. Harudiirudii...
Kuanzia tarehe 1 July, bei za mafuta, kuanzia petrol, diesel, kerosene zitapanda kwa kiwango kisicho na chembe ya uungwana. Maisha yatapanda.
Mfumuko wa bei utapanda wakati kodi zitashuka maana hali naiona siyo nzuri sana.
Kushuka kwa kodi pamoja na kupanda kwa gharama za maisha italeta...
Public servants wanalia kila kona. Na ni kweli waliumizwa kwa sababu ya roho ya yule mzee kuamini kila mtu ni mwizi. Samia is good katika hili. I can read her well. You guys will be promoted. Ataongeza tu mishahara.
Poleni sana kwa kuteseka. Ninawahurumia sana ingawa wengi wa watumishi wa umma...
Salaam TRA.
Mama took office in late March. Kwa hiyo ni vigumu kumwekea mzigo wa March 2021. Naomba mambo yake yaanze Aprili 2021. Msimchoshe na mambo ya nyuma, yaani kabla ya April 01. Ombi langu kwa TRA, kindly update the nation. Mmekusanya sh ngapi Mwezi Aprili?
Kwa sasa Mzee Mangula abaki kuwa Makamu Mwenyekiti ili kumlinda Samia lakini kwa ajili ya ku-manage dynamics za 2025 na unpredictable CCM yenye visa na "uhuni" wa kila aina. Hata hivyo, chama kinahitaji mtendaji mwenye hekima na asiye fisadi. Mtu ambaye siyo mgeni na ambaye amefanya kazi na...
Mama shikamoo. Nilisahau kukwambia siku moja kuwa makeup ilizidi kidogo wakati wa kuwaapisha mawaziri. Pia, nimependa uvaaji wako. Hata hivyo, achana na nguo zenye maua maua. Embrace plain garments. I love you. Tuendelee.
Nchi hii ililegalega sana kwenye vita dhidi ya ufisadi na ukusanyaji wa...
Shikamoo mama Samia. Nimeona uko serious sana na report ya CAG. I love you. Nchi hii imejaa notable crooks. Please deal with them.
Nenda kwenye public institutions and do something. Halmashauri nyingi ni wezi but hali ni worse kwenye public institutions. Unfortunately your CAG doesnt audit all...
Kama nilichokisikia ni kweli, naipongeza serikali kwa kubuni njia nzuri ya kupambana na ufisadi kwenye sector ya ardhi. Lukuvi anasema ataunganisha namba ya mmiliki ya NIDA na taarifa za kiwanja/viwanja anavyomiliki. Niliwahi kushauri kwenye thread moja iliyohusu kuondoa na ku-descourage...
Let me admit. JPM ana mapungufu ya kutosha. Hata hivyo, bado ni chaguo sahihi kwa vita ya ufisadi. I believe, pesa nyingi zimefichwa "majumbani chini ya magodoro". Ninamuomba achapishe noti mpya haraka iwezekanavyo. Kwenye matumizi ya dola amejitahidi sana.
I advise him to do the same wakati...
My President, hali ni mbaya sana. Inazidi kuwa mbaya kila kukicha. Mgao wa maji ulikuwa mara mbili kwa wiki na awamu zote zilikuwa zinatoa maji kama mkojo (forgive me kwa lugha hii baba yangu).
Kwa sasa ni mara moja kwa wiki on an unknown day, and time. By the way hata yakitoka, you need hours...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.