Chanjo, Lockdown, Uchumi na Mitego ya Kiintelijensia: Tanzania ya 2022

Fatma-Zehra

Senior Member
Oct 18, 2020
192
1,061
Uwezo wangu wa kisiasa, kiuchumi, na ki-intelijensia ni mdogo sana. Naomba niliweke hili wazi mapema. Sisi ndiyo wale tunaouliza lini "Brazil itacheza na Manchester".

Ninachompendea Mama, tofauti na JPM ni tabia yake ya kuwa brief. Hotuba ya Mama usipoiwahi basi utakuta amemaliza. Harudiirudii mambo. Iko well planned. Hata mambo yake yanaonekana kuwa organized. Halafu anafuata ushauri. Leo namuongezea ushauri. Dark blue skirt au non blouse garments ambazo ni dark blue zinampendeza sana. Mama hapotezi muda. Siku JK ameongea bungeni masaa matatu nilisema huyu baba kulikoni? Twende kwenye mada.

1. JPM hakuipa "kiki" Covid. Hii ilitusaidia angalau uchumi haukuanguka kama nchi nyingine. Ukoloni wa sasa wa dunia ni kuharibu uchumi wa dunia ili wenye njaa kama sisi tuumie zaidi halafu tutawaliwe vizuri. Kwa bahati mbaya, uchumi wa dunia umetikisika. Lockdown zimeua a great number of economies. Nchi zilitishwa na kusema ukweli lockdown ikashika kasi. Chanjo zimejitokeza na makampuni yamepiga pesa. Pfizer wanategemea kuingiza dola billion 35 kwa mwaka 2021 alone. Next year ndiyo usiseme. Intelligence entities za wenzetu, katika hili wamefanikiwa sana.

2. Intention ya mama ni nzuri. Anajali watu wake. Hata hivyo, ninahisi kuna mtego wa kiuchumi na kiintelijensia tunauingia bila kufahamu. Kwakuwa hatukuwa na lockdown ambayo ndiyo target kuu na si vaccination, na hili halikuwafurahisha wakubwa, naona wamefurahi sana sisi kuchanja. Naomba niwe wazi. Chanjo ni salama. Siyo kweli kuwa inaua. Ila mtego uliopo ni kwamba kuchukua hatua ya kuchanja ni hatua muhimu kukubaliana na hatua zote za kukabiliana na covid hasa lockdown. Kumbuka kwamba, covid haijaisha. Ndiyo kwanza imeanza. Hata tukichanja watu wote duniani, covid "itakuja" tu. Inaonekana huu ni mradi wa kuua uchumi wa dunia. Katika hili wataalamu watanisaidia.

3. Sasa kama nilivyosema hapo juu, lockdown ni njia ya kupambana na maambukizi hasa yanapokuwa makubwa. Kwa kuwa tumekubaliana na hatua nyingine ikiwemo masking, basi tukumbuke kuwa November 2021 to May 2022 ni kipindi kingine cha covid. Tutakuwa hatujachanja sana. Tutashinikizwa tu-adopt enhanced measures of combating the virus. And this is lockdown. Hatutaweza kukataa maana tulishafanya mambo mengi ikiwamo kujiunga na covax, kuomba msaada wa kiuchumi, pamoja na kuchukua tahadhari zote kama vile masking, physical distancing, and hand washing. Therefore, lazima tutakubaliana na lockdown.

4. Lockdown ni mbaya kuliko covid. Lockdown will kill our economy. Jobs will be lost. There will be a great cry all over the country. Kodi itashuka and ability of government to fund its projects and people will perish miserably. Ultimately, social and political unrest will embrace our living. Hadi hapo, kujinasua tutakuwa tumeshindwa. Msaada tutapewa wenye masharti magumu. Ukitaka kujinasua (kuleta mbwembwe) utanyooshwa kwa vikwazo na silaha nyingine za kiuchumi. Hali hii ni mbaya sana kuliko covid yenyewe. Naomba niwe mkweli. Variants bado zinakuja.

Nini tufanye kwa sasa?

1. Tuache kuimba nyimbo za covid na kuishobokea maana itatuliza. Sisi tuiache chanjo itumike kama passport tu kwa watu ambao wana matumizi nayo na hawazidi watu laki mbili!!
2. Tuache kuagiza chanjo nyingine kwa pesa zetu.
3. Tuwekeze kwenye kilimo sana ili tuwe na chakula cha kutosha
4. JK is my family friend. However, kwa sasa siyo lazima sana mama kumfanya kuwa mshauri wake.

Muda wa kuingia jikoni umekaribia. Siku njema
 
cariha

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
20,698
41,364
Intelligence yetu huwa inahangaika na wapinzani badala ya kuhangaikia uchumi, wenzetu wame create problem na wakaja na solutions ya tiba ili iuzwe wapigwe hela hyo ndo inaitwa inteligensia ya uchumi
 
cariha

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
20,698
41,364
Hyo number 4 itakua ka miaka ya 1970 na 1980 kwa nchi za Africa kukopeshwa na WB, IMF mikopo yenye masharti magumu ambayo yamefanya nchi nyingi ziwe maskini na hii ya corona ndo haswa hatuchomoki
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
45,436
53,129
Chanjo ni Hiyari ,Covid ipo na inafyeka watu!! Survival of the fittest - Only the strong will survive - Darwin's Theory - Paranaue

haa mym

JF-Expert Member
Jul 7, 2014
4,711
4,350
Mawazo mazuri ila mwisho umeharibu JK ni mwanadiplomasia mzuri na ana ushawishi mkubwa nje na ndani na siasa azaziweza ziwe za kihuni au za haki bado hajachoka tumtumie ukiangalia kipindi hiki tushaamua kwenda sawa na Dunia kama inavyotaka.
Kama hatuwezi kushindana nao tuungane nao tu.
 
shamimuodd

JF-Expert Member
Jan 28, 2019
795
1,119
Uwezo wangu wa kisiasa, kiuchumi, na ki-intelijensia ni mdogo sana. Naomba niliweke hili wazi mapema. Sisi ndiyo wale tunaouliza lini "Brazil itacheza na Manchester".

Ninachompendea Mama, tofauti na JPM ni tabia yake ya kuwa brief. Hotuba ya Mama usipoiwahi basi utakuta amemaliza. Harudiirudii mambo. Iko well planned. Hata mambo yake yanaonekana kuwa organized. Halafu anafuata ushauri. Leo namuongezea ushauri. Dark blue skirt au non blouse garments ambazo ni dark blue zinampendeza sana. Mama hapotezi muda. Siku JK ameongea bungeni masaa matatu nilisema huyu baba kulikoni? Twende kwenye mada.

1. JPM hakuipa "kiki" Covid. Hii ilitusaidia angalau uchumi haukuanguka kama nchi nyingine. Ukoloni wa sasa wa dunia ni kuharibu uchumi wa dunia ili wenye njaa kama sisi tuumie zaidi halafu tutawaliwe vizuri. Kwa bahati mbaya, uchumi wa dunia umetikisika. Lockdown zimeua a great number of economies. Nchi zilitishwa na kusema ukweli lockdown ikashika kasi. Chanjo zimejitokeza na makampuni yamepiga pesa. Pfizer wanategemea kuingiza dola billion 35 kwa mwaka 2021 alone. Next year ndiyo usiseme. Intelligence entities za wenzetu, katika hili wamefanikiwa sana.

2. Intention ya mama ni nzuri. Anajali watu wake. Hata hivyo, ninahisi kuna mtego wa kiuchumi na kiintelijensia tunauingia bila kufahamu. Kwakuwa hatukuwa na lockdown ambayo ndiyo target kuu na si vaccination, na hili halikuwafurahisha wakubwa, naona wamefurahi sana sisi kuchanja. Naomba niwe wazi. Chanjo ni salama. Siyo kweli kuwa inaua. Ila mtego uliopo ni kwamba kuchukua hatua ya kuchanja ni hatua muhimu kukubaliana na hatua zote za kukabiliana na covid hasa lockdown. Kumbuka kwamba, covid haijaisha. Ndiyo kwanza imeanza. Hata tukichanja watu wote duniani, covid "itakuja" tu. Inaonekana huu ni mradi wa kuua uchumi wa dunia. Katika hili wataalamu watanisaidia.

3. Sasa kama nilivyosema hapo juu, lockdown ni njia ya kupambana na maambukizi hasa yanapokuwa makubwa. Kwa kuwa tumekubaliana na hatua nyingine ikiwemo masking, basi tukumbuke kuwa November 2021 to May 2022 ni kipindi kingine cha covid. Tutakuwa hatujachanja sana. Tutashinikizwa tu-adopt enhanced measures of combating the virus. And this is lockdown. Hatutaweza kukataa maana tulishafanya mambo mengi ikiwamo kujiunga na covax, kuomba msaada wa kiuchumi, pamoja na kuchukua tahadhari zote kama vile masking, physical distancing, and hand washing. Therefore, lazima tutakubaliana na lockdown.

4. Lockdown ni mbaya kuliko covid. Lockdown will kill our economy. Jobs will be lost. There will be a great cry all over the country. Kodi itashuka and ability of government to fund its projects and people will perish miserably. Ultimately, social and political unrest will embrace our living. Hadi hapo, kujinasua tutakuwa tumeshindwa. Msaada tutapewa wenye masharti magumu. Ukitaka kujinasua (kuleta mbwembwe) utanyooshwa kwa vikwazo na silaha nyingine za kiuchumi. Hali hii ni mbaya sana kuliko covid yenyewe. Naomba niwe mkweli. Variants bado zinakuja.

Nini tufanye kwa sasa?

1. Tuache kuimba nyimbo za covid na kuishobokea maana itatuliza. Sisi tuiache chanjo itumike kama passport tu kwa watu ambao wana matumizi nayo na hawazidi watu laki mbili!!
2. Tuache kuagiza chanjo nyingine kwa pesa zetu.
3. Tuwekeze kwenye kilimo sana ili tuwe na chakula cha kutosha
4. JK is my family friend. However, kwa sasa siyo lazima sana mama kumfanya kuwa mshauri wake.

Muda wa kuingia jikoni umekaribia. Siku njema
Ni kweli, unajua Mwl Mwakasege alionya way back wakati Dkt Magufuli hajafa kuwa kuna dhiki kubwa yaja, mi nilijisemea moyoni haiwezekani maana sisi ni taifa linalomtegemea Mungu na rais wetu haishi kutamka Mungu aliponye taifa kila kukicha, ila sasa uelekeo ndiyo huo maana Mama yetu anaonekana kuwapigia magoti (ingawa inaweza kuwa ni technic ya kujinyenyekesha huku akiwa na moja kichwani) hao wazungu. Kikubwa maslahi ya watanzania yawekwe mbele kwanza. Chanjo is Ok ila kuweka lockdown big NO. Pia wafanye monitoring ya hari ya juu kuhusu kuletewa covid ya kupandikiza ili kujustfy lockdown na chanjo. Hakika akicheza vibaya Mama watu wataingia mtaani kumlilia Dkt Magufuli, nadhani salamu za kumuaga anazikumbuka vizuri, wafuasi wake wanyonge ni wengi mno!
 
mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
16,966
28,515

Ufunuo wa Yohana 13​

Mnyama kutoka Baharini​

13 Kisha niliona mnyama mwenye pembe kumi na vichwa saba akipanda kutoka baharini. Kila pembe yake ilikuwa na taji. Alikuwa na kumkufuru Mungu lililoandikwa kwenye kila kichwa.
2 Mnyama huyu alionekana kama chui, miguu yake ilikuwa kama ya dubu. Mdomo wake ulikuwa kama wa simba. Joka akampa huyo mnyama uweza wake wote, kiti chake cha enzi na mamlaka kuu.

3 Kichwa kimoja cha mnyama kilionekana kama kimejeruhiwa na kuuawa, lakini kidonda cha mauti kilipona. Watu wote ulimwenguni walishangaa, na wote walimfuata mnyama.
4 Watu waliliabudu joka kwa sababu limempa nguvu mnyama, na pia walimwabudu mnyama. Waliuliza, “Nani ana nguvu kama mnyama? Nani anaweza kufanya vita dhidi yake?”

5 Mnyama aliruhusiwa kujigamba na kumtukana Mungu na kutumia nguvu zake kwa miezi arobaini na mbili.
6 Mnyama alifungua kinywa chake ili amtukane Mungu, alitukane jina lake, mahali anapoishi, na wale wote wanaoishi mbinguni.
7 Alipewa uwezo wa kufanya vita na watakatifu wa Mungu na kuwashinda. Alipewa uwezo juu ya kila kabila, asili, lugha na taifa.
8 Kila anayeishi duniani angemwabudu mnyama. Hawa ni watu wote ambao majina yao hayakuandikwa katika kitabu cha uzima cha Mwanakondoo tangu mwanzo wa ulimwengu. Mwanakondoo ndiye yule aliyeuawa.

9 Kila mtu anayesikia mambo haya azingatie hili:

10 Yeyote ambaye ni lazima awe mfungwa,
atakuwa mfungwa.
Yeyote ambaye ni wa kuuawa kwa upanga,
atauawa kwa upanga.
Hii inamaanisha kwamba watakatifu wa Mungu lazima wawe na subira na imani.

Mnyama Kutoka Nchi Kavu​

11 Pia nikaona mnyama mwingine akija kutoka katika nchi. Alikuwa na pembe mbili kama kondoo, lakini anaongea kama joka.
12 Mnyama huyu alisimama mbele ya mnyama wa kwanza na kutumia nguvu ile ile ya mnyama wa kwanza. Alitumia nguvu hii kumfanya kila mtu aishiye duniani amwabudu mnyama wa kwanza. Mnyama wa kwanza ndiye mwenye jeraha la mauti lililopona.
13 Mnyama wa pili alifanya miujiza mikuu. Alitengeneza hata moto ushuke kutoka mbinguni kuja duniani watu wakiangalia.

14 Mnyama huyu wa pili aliwadanganya watu wanaoishi duniani kwa kutumia miujiza ambayo amepewa uwezo wa kuifanya kwa ajili ya mnyama wa kwanza. Aliwaamuru watu kutengeneza sanamu ili kumheshimu mnyama wa kwanza, aliyejeruhiwa kwa upanga lakini hakufa bali akawa hai tena.
15 Mnyama wa pili alipewa uwezo wa kuipa uzima sanamu ya mnyama wa kwanza. Kisha kinyago kiliweza kuongea na kuamuru watu wote ambao hawakukiabudu wauawe.
16 Pia mnyama wa pili aliwaamuru watu wote, wakubwa na wadogo, matajiri na maskini, walio huru au watumwa, wawekewe alama kwenye mikono yao ya kulia au kwenye vipaji vya nyuso zao.

17 Hakuna ambaye angeweza kununua au kuuza bila ya kuwa na alama hii. (Alama hii ni jina la mnyama au namba ya jina lake.)

18 Kila mwenye uelewa anaweza kujua maana ya namba ya mnyama. Hili linahitaji hekima. Namba hii ni namba ya mtu. Nayo ni 666.
EINSTEIN112 ✍✍✍✍

2862140_FB_IMG_1627539257894.jpg
 
Ugumu wangu

JF-Expert Member
May 6, 2021
1,686
3,527
Vita ya kiuchumi ni ngumu Magufuli alishasema,Magu alijitahidi kututoa kwenye umasikini ila ndio hivyo tumeshindwa kumuunga mkono baada ya kupambana na uchumi chadema wanatuletea katiba nchi hii tuna wapinzani wa hovyo.
Mkuu sijawahi ropoka vibaya Jf Ila unataka nitimize sijui kwa Nini yaani😂😂😂
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
12,087
12,664
Uwezo wangu wa kisiasa, kiuchumi, na ki-intelijensia ni mdogo sana. Naomba niliweke hili wazi mapema. Sisi ndiyo wale tunaouliza lini "Brazil itacheza na Manchester".

Ninachompendea Mama, tofauti na JPM ni tabia yake ya kuwa brief. Hotuba ya Mama usipoiwahi basi utakuta amemaliza. Harudiirudii mambo. Iko well planned. Hata mambo yake yanaonekana kuwa organized. Halafu anafuata ushauri. Leo namuongezea ushauri. Dark blue skirt au non blouse garments ambazo ni dark blue zinampendeza sana. Mama hapotezi muda. Siku JK ameongea bungeni masaa matatu nilisema huyu baba kulikoni? Twende kwenye mada.

1. JPM hakuipa "kiki" Covid. Hii ilitusaidia angalau uchumi haukuanguka kama nchi nyingine. Ukoloni wa sasa wa dunia ni kuharibu uchumi wa dunia ili wenye njaa kama sisi tuumie zaidi halafu tutawaliwe vizuri. Kwa bahati mbaya, uchumi wa dunia umetikisika. Lockdown zimeua a great number of economies. Nchi zilitishwa na kusema ukweli lockdown ikashika kasi. Chanjo zimejitokeza na makampuni yamepiga pesa. Pfizer wanategemea kuingiza dola billion 35 kwa mwaka 2021 alone. Next year ndiyo usiseme. Intelligence entities za wenzetu, katika hili wamefanikiwa sana.

2. Intention ya mama ni nzuri. Anajali watu wake. Hata hivyo, ninahisi kuna mtego wa kiuchumi na kiintelijensia tunauingia bila kufahamu. Kwakuwa hatukuwa na lockdown ambayo ndiyo target kuu na si vaccination, na hili halikuwafurahisha wakubwa, naona wamefurahi sana sisi kuchanja. Naomba niwe wazi. Chanjo ni salama. Siyo kweli kuwa inaua. Ila mtego uliopo ni kwamba kuchukua hatua ya kuchanja ni hatua muhimu kukubaliana na hatua zote za kukabiliana na covid hasa lockdown. Kumbuka kwamba, covid haijaisha. Ndiyo kwanza imeanza. Hata tukichanja watu wote duniani, covid "itakuja" tu. Inaonekana huu ni mradi wa kuua uchumi wa dunia. Katika hili wataalamu watanisaidia.

3. Sasa kama nilivyosema hapo juu, lockdown ni njia ya kupambana na maambukizi hasa yanapokuwa makubwa. Kwa kuwa tumekubaliana na hatua nyingine ikiwemo masking, basi tukumbuke kuwa November 2021 to May 2022 ni kipindi kingine cha covid. Tutakuwa hatujachanja sana. Tutashinikizwa tu-adopt enhanced measures of combating the virus. And this is lockdown. Hatutaweza kukataa maana tulishafanya mambo mengi ikiwamo kujiunga na covax, kuomba msaada wa kiuchumi, pamoja na kuchukua tahadhari zote kama vile masking, physical distancing, and hand washing. Therefore, lazima tutakubaliana na lockdown.

4. Lockdown ni mbaya kuliko covid. Lockdown will kill our economy. Jobs will be lost. There will be a great cry all over the country. Kodi itashuka and ability of government to fund its projects and people will perish miserably. Ultimately, social and political unrest will embrace our living. Hadi hapo, kujinasua tutakuwa tumeshindwa. Msaada tutapewa wenye masharti magumu. Ukitaka kujinasua (kuleta mbwembwe) utanyooshwa kwa vikwazo na silaha nyingine za kiuchumi. Hali hii ni mbaya sana kuliko covid yenyewe. Naomba niwe mkweli. Variants bado zinakuja.

Nini tufanye kwa sasa?

1. Tuache kuimba nyimbo za covid na kuishobokea maana itatuliza. Sisi tuiache chanjo itumike kama passport tu kwa watu ambao wana matumizi nayo na hawazidi watu laki mbili!!
2. Tuache kuagiza chanjo nyingine kwa pesa zetu.
3. Tuwekeze kwenye kilimo sana ili tuwe na chakula cha kutosha
4. JK is my family friend. However, kwa sasa siyo lazima sana mama kumfanya kuwa mshauri wake.

Muda wa kuingia jikoni umekaribia. Siku njema
Bandiko zuri.....

Bandiko la kufikirisha.....

Mzalendo Fatma Zehra ametupa cha kufikiri......

Lockdowns siyo?

Lockdowns zinaua uchumi....mifano iko tele....

Mathalani ,kesho in shaa Allah tunapokea NDEGE MPYA....pamoja na uchumi wetu mdogo ila ndege hii ililipiwa fedha awamu ya 5....hakuna nchi INAYONUNUA NDEGE KIPINDI IKIWA LOCKDOWNS.....

Hayati JPM(Rip) atakumbukwa vyema kwa msimamo wake wa kutotuweka ndani ya VIOTA....leo tunaendelea kufaidika na msimamo huo....

USIKIVU WA SERIKALI YA AWAMU YA 6

Serikali yetu sikivu iyachukue mawazo yako ya kutotuweka LOCKDOWNS....

Tubaki na MUENDELEZO WA KUCHANJANA(hapa mh.Rais amefanya jambo bora kwa kujiongeza zaidi).

Thanks for an exquisite remarks....

#KaziIendelee
#JMTMilele
#SiempreJMT
#TujitokezeniKuchanjwa
 
Niza doyi

JF-Expert Member
Dec 10, 2019
2,332
2,865
Mawazo yako ni Kama yangu,sababu hawa jamaa nia ni biashara.Kwa maana hiyo ukikubali tu chanjo,watakuambia tangaza idadi ya wagonjwa.

Kwasababu wanajua ukianza tu kuchanja na ukafanikiwa kuleta hofu kwa watu wako,visa lazima vitaongezeka.
Ndiyo maana wanataka utangaze visa,ili wakuambie visa vimeongezeka fungia watu wako,biashara itafanyika vizuri.

Kina cho sikitisha ni kuwa viongozi wetu badala ya kujifunza kwa majirani zetu waliochanjwa,mpaka leo wanahangaika na lockdown,sisi tunaka tuwe Kama wao.Hapa ndo naona wanajambo lao tusilolijua.

Najua waku chanjwa watakuwa wachache Sana,watalazimika kupika visa kuwafurahisha watoa pesa.
Ushauri wako ukizingatiwa ni wa maana Sana.

Vyinginevyo wajue watu wako kwenye maombi Mungu atawafedhehesha Sana hawa viongozi,watajutia Sana maamuzi yao.Na wengine kwa maamuzi yao ndo mwisho wa hatima zao kisiasa.Muda unayo majibu.
 
Ugumu wangu

JF-Expert Member
May 6, 2021
1,686
3,527

Mnyama kutoka Baharini​

13 Kisha niliona mnyama mwenye pembe kumi na vichwa saba akipanda kutoka baharini. Kila pembe yake ilikuwa na taji. Alikuwa na kumkufuru Mungu lililoandikwa kwenye kila kichwa.
2 Mnyama huyu alionekana kama chui, miguu yake ilikuwa kama ya dubu. Mdomo wake ulikuwa kama wa simba. Joka akampa huyo mnyama uweza wake wote, kiti chake cha enzi na mamlaka kuu.

3 Kichwa kimoja cha mnyama kilionekana kama kimejeruhiwa na kuuawa, lakini kidonda cha mauti kilipona. Watu wote ulimwenguni walishangaa, na wote walimfuata mnyama.
4 Watu waliliabudu joka kwa sababu limempa nguvu mnyama, na pia walimwabudu mnyama. Waliuliza, “Nani ana nguvu kama mnyama? Nani anaweza kufanya vita dhidi yake?”

5 Mnyama aliruhusiwa kujigamba na kumtukana Mungu na kutumia nguvu zake kwa miezi arobaini na mbili.
6 Mnyama alifungua kinywa chake ili amtukane Mungu, alitukane jina lake, mahali anapoishi, na wale wote wanaoishi mbinguni.
7 Alipewa uwezo wa kufanya vita na watakatifu wa Mungu na kuwashinda. Alipewa uwezo juu ya kila kabila, asili, lugha na taifa.
8 Kila anayeishi duniani angemwabudu mnyama. Hawa ni watu wote ambao majina yao hayakuandikwa katika kitabu cha uzima cha Mwanakondoo tangu mwanzo wa ulimwengu. Mwanakondoo ndiye yule aliyeuawa.

9 Kila mtu anayesikia mambo haya azingatie hili:

10 Yeyote ambaye ni lazima awe mfungwa,
atakuwa mfungwa.
Yeyote ambaye ni wa kuuawa kwa upanga,
atauawa kwa upanga.
Hii inamaanisha kwamba watakatifu wa Mungu lazima wawe na subira na imani.

Mnyama Kutoka Nchi Kavu​

11 Pia nikaona mnyama mwingine akija kutoka katika nchi. Alikuwa na pembe mbili kama kondoo, lakini anaongea kama joka.
12 Mnyama huyu alisimama mbele ya mnyama wa kwanza na kutumia nguvu ile ile ya mnyama wa kwanza. Alitumia nguvu hii kumfanya kila mtu aishiye duniani amwabudu mnyama wa kwanza. Mnyama wa kwanza ndiye mwenye jeraha la mauti lililopona.
13 Mnyama wa pili alifanya miujiza mikuu. Alitengeneza hata moto ushuke kutoka mbinguni kuja duniani watu wakiangalia.

14 Mnyama huyu wa pili aliwadanganya watu wanaoishi duniani kwa kutumia miujiza ambayo amepewa uwezo wa kuifanya kwa ajili ya mnyama wa kwanza. Aliwaamuru watu kutengeneza sanamu ili kumheshimu mnyama wa kwanza, aliyejeruhiwa kwa upanga lakini hakufa bali akawa hai tena.
15 Mnyama wa pili alipewa uwezo wa kuipa uzima sanamu ya mnyama wa kwanza. Kisha kinyago kiliweza kuongea na kuamuru watu wote ambao hawakukiabudu wauawe.
16 Pia mnyama wa pili aliwaamuru watu wote, wakubwa na wadogo, matajiri na maskini, walio huru au watumwa, wawekewe alama kwenye mikono yao ya kulia au kwenye vipaji vya nyuso zao.

17 Hakuna ambaye angeweza kununua au kuuza bila ya kuwa na alama hii. (Alama hii ni jina la mnyama au namba ya jina lake.)

18 Kila mwenye uelewa anaweza kujua maana ya namba ya mnyama. Hili linahitaji hekima. Namba hii ni namba ya mtu. Nayo ni 666.
EINSTEIN112 ✍✍✍✍

View attachment 1872931
Ni maandalizi tu mtumishi Ila bado sana kumbuka haya yatatokea wakati kanisa limeshanyakuliwa Cha msingi wamchao Bwana wajiandae, Ila kuhusu sita sita sita bado Ila hii Ni training tu
 
Wazee wetu walikuwa wanautafuta UHURU wao na HESHIMA zao za kutoumizwa ,kudharauliwa na kuuwawa na WAVAMIZI WEUPE....

Wakapambana ile WALOWEZI hao waondoke....baadae wakatokea vijana...vijana waliopata masomo huko ulaya....vijana hawa wakawafundisha NJIA ZA KUFIKIA UHURU WAO ....

Kumbe njia za kufikia UHURU huo zilitoka hukohuko katika MIFUMO YENYE NGUVU YA KIDUNIA....leo hii tunazikataa nguvu hizo kwa kutumia vitabu vitakatifu....🤣🤣

Tuko chini ya UMOJA WA MATAIFA(umeanzishwa na nguvu hizo)

Tuko chini ya UMOJA WA MADOLA(umeanzishwa na nguvu hizo tena wakiwemo walewale walioututawala na tulioudai Uhuru dhidi yao).....

Binafsi NGUVU HIZO sizipingi kwani ZIMETUWEKEA MIFUMO RASMI YA KIELIMU kutoka S/MSINGI ,SEKONDARI MPAKA VYUO....

Waafrika waliosoma wanaitwa MADOKTA NA MAPROFESA(mifumo hiyohiyo)....

Tumekua na kila aina ya chanjo....kwanini TUIKATAE CHANJO HII ya UVIKO na kuifananisha na THE BEAST ?!! 😲😲🤣🤣

#NajiandaaKuchanjwa
#NimeshachanjwaChanjoNyingi
#VitotoVyanguVinaendeleaKuchanjwa
#KaziIendelee
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
12,087
12,664
Mawazo mazuri ila mwisho umeharibu JK ni mwanadiplomasia mzuri na ana ushawishi mkubwa nje na ndani na siasa azaziweza ziwe za kihuni au za haki bado hajachoka tumtumie ukiangalia kipindi hiki tushaamua kwenda sawa na Dunia kama inavyotaka.
Kama hatuwezi kushindana nao tuungane nao tu.
👍👍
 
mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
16,966
28,515
Wazee wetu walikuwa wanautafuta UHURU wao na HESHIMA zao za kutoumizwa ,kudharauliwa na kuuwawa na WAVAMIZI WEUPE....

Wakapambana ile WALOWEZI hao waondoke....baadae wakatokea vijana...vijana waliopata masomo huko ulaya....vijana hawa wakawafundisha NJIA ZA KUFIKIA UHURU WAO ....

Kumbe njia za kufikia UHURU huo zilitoka hukohuko katika MIFUMO YENYE NGUVU YA KIDUNIA....leo hii tunazikataa nguvu hizo kwa kutumia vitabu vitakatifu....🤣🤣

Tuko chini ya UMOJA WA MATAIFA(umeanzishwa na nguvu hizo)

Tuko chini ya UMOJA WA MADOLA(umeanzishwa na nguvu hizo tena wakiwemo walewale walioututawala na tulioudai Uhuru dhidi yao).....

Binafsi NGUVU HIZO sizipingi kwani ZIMETUWEKEA MIFUMO RASMI YA KIELIMU kutoka S/MSINGI ,SEKONDARI MPAKA VYUO....

Waafrika waliosoma wanaitwa MADOKTA NA MAPROFESA(mifumo hiyohiyo)....

Tumekua na kila aina ya chanjo....kwanini TUIKATAE CHANJO HII ya UVIKO na kuifananisha na THE BEAST ?!! 😲😲🤣🤣

#NajiandaaKuchanjwa
#NimeshachanjwaChanjoNyingi
#VitotoVyanguVinaendeleaKuchanjwa
#KaziIendelee

Chanjo ni hiari ya lazima

Itafika mahala huwezi fanya chochote bila hii chanjo

Kama kitambulisho cha uraia vile🙌🙌🙌🙌
 
Sir_Mimi

JF-Expert Member
Jun 21, 2013
7,124
15,258
Nini tufanye kwa sasa?

1. Tuache kuimba nyimbo za covid na kuishobokea maana itatuliza. Sisi tuiache chanjo itumike kama passport tu kwa watu ambao wana matumizi nayo na hawazidi watu laki mbili!!
2. Tuache kuagiza chanjo nyingine kwa pesa zetu.
3. Tuwekeze kwenye kilimo sana ili tuwe na chakula cha kutosha
4. JK is my family friend. However, kwa sasa siyo lazima sana mama kumfanya kuwa mshauri wake.

Muda wa kuingia jikoni umekaribia. Siku njema

Mimi nasimama na hapa,nimekuelewa sana
 
23 Reactions
Reply
Top Bottom