Umbea uliopotea njia: Janet, ni kweli Magufuli alitaka kubadili dini ukamzuia?

Fatma-Zehra

Senior Member
Oct 18, 2020
192
1,062
Mama Pombe shikamoo.

Pole sana na msiba wa Mzee. Let me be honest. Your husband was honest. Nilipenda utawala wake kwa sababu kama mfanyabiashara ulikuwa clean, kupata mafanikio kipindi chake was obvious. Mumeo alikuwa mzalendo sana licha ya "ufyatu fyatu" wake ambao sikuwa naufurahia. Ukweli utabaki kuwa Tanzania lost a great man. Toka tupate uhuru, hatukuwahi kupata President honest kama yule Baba. He knew the direction. He embraced the focus. Alisimama imara. Kama angefika 2025, taifa lingekuwa la tofauti. Hakuna mtu ambaye angejipandishia bei kila inapofika thursday na akabaki salama. We lost a dedicated fighter. Hata hivyo, sijui aliyempiga lissu risasi kipindi cha utawala wake. Ninaendelea kulaani hicho kitendo kilichotaka kuondoa uhai wa Lissu. I love this man. Ni asset kwa taifa licha ya kutofautiana naye mambo kadhaa.

Nije kwako mama. Sikufahamu sana. Ila inaonekana ulikuwa mwanamke, mke wa mtu, na mtanzania wa "kawaida" kabisa ambaye tulikuita first lady. Tofauti na other first ladies, hukuwa na tamaa na wala hukuwa na "tabia za hovyo". Hukuwa na makuu. Ulikuwa mtulivu. Your smile spoke a lot. It will take us several decades before we get another Janet!. Yule baba hakika alipata mke mwema. Hayo tuyaache!

Mwenzangu!!Kuna ka ubuyu nilikapata mwaka jana mapema. Sweet, najua msiba ulishaisha na umeshaanza kuzoea maisha ya upweke na siyo intention yangu kukukumbusha habari za husband. No. Ila haka kaubuyu kanaweza kutusaidia kufahamu mambo mengi. You lost a husband. We lost a CiC. I'm confident that you'll not make a rejoinder in public and in person. Perhaps, through a family member or a colleague, the sound of your response will tingle our ears. Swali;

1. Je ni kweli husband alitaka kubadili dini?Sorry. Sijui tofauti ya dini na dhehebu.
2. Je ni kweli baada ya kutaka kubadili dini ulikuja juu sana?
3. Kwa uelewa wako, viongozi wake wa dini walifahamu his intentions? Na kama walifahamu, unafikiri walimuonaje?Kwa uelewa wako, taarifa zilifika kwa uongozi wa dini/dhehebu lake kitaifa na kimataifa?

Narudia kusema pole sana.

Nafahamu umelala. Pumzika mama. Nimetoka kupata lunch muda si mrefu. I love you. Sijui nikuletee zawadi ya mtandio?. Nampenda President Samia pia. Ningekuwa na uwezo wa kumfikia ningemletea zawadi ya hijab ya silver ili avae na nguo za dark blue. Atapendezaje!
 
Kea jinsi ulivyoandika na majina unayomwita ni kama unajuana nae kiundani sana

Kuhusu dini mimi nilikuwa simuelewi ni dini gani kwani alikuwa anasali makanisa mengi tu na sijui kama yalikuwa ni dhehebu moja au anaamua tu leo asali na kina nani
 
Mkuu umeandika ujinga sana. Swali hili ungeulizia kwa mtu alie hai pengine ingeleta maana, kuliko kuulizia kwa mtu aliekwishakufa. Hii itasaidia nini kwa marehemu, mke wake au ww mwenyewe muulizaji?
 
Back
Top Bottom