Lei, Mei 18 kwenye baadhi ya maeneo kumeonekana migomo na maandamano ya watu wakidai bei ya mafuta imekuwa kubwa sana hivyo wanahitaji uwajibikaji bdi ishuke
Ndugu zangu vita inayoendelea Irani imesababisha upandaji wa bei ya nishati kitu ambacho kimesababisha mfumuko wa bei kwenye bidhaa karibu zote,kwenye uchumi gharama za nishati/mafuta/gas zikipanda lazima bei ya bidhaa ipande.
Kwasasa hali ya maisha kwa upande wa wafanyakazi imekua mbaya zaidi...
Mafuta yakipanda automatically gharama za maisha zitapanda kila kitu kitapanda bei.
Serikali zenye akili zina futa kodi na ushuru kwenye mafuta ili kuzuia bei ya mafuta kupanda na kudhibiti mfumuko wa bei kuzuia kupanda kwa gharama zote za maisha ,na hiyo ndiyo maana ya serikali kwa ajili ya...
Habari zenu wakuu...
Nimekua nikiperuzi websites maarufu kwa mauzo ya magari kutoka Japan yaani SBT na Be Forward...
Naona gari zimekuwa na bei kubwa sana ukicompare na kipindi kifupi kilichopita.
Yaani hizi ndogo mf. Allex, IST, Honda Fit, nk zote zinachezea kuanzia 17M hadi 22M wakati...
Taarifa za kifedha barani Afrika.
Mfumuko wa Bei Washuka, Lakini Hatari Mpya Zaongezeka
🎯Ongezeko la mzozo wa Mashariki ya Kati limesababisha bei ya mafuta duniani kufikia $90 kwa pipa, kiwango cha juu zaidi katika kipindi cha miaka miwili.
Hali hii inatishia kudhoofisha kasi ya kushuka kwa...
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), Kristalina Georgieva, amesema mfumuko wa bei duniani unatarajiwa kushuka hadi asilimia 3.8 mwaka huu na kufikia asilimia 3.4 ifikapo mwaka 2027. Amesema hali hiyo inachangiwa na kupungua kwa mahitaji ya bidhaa pamoja na kushuka kwa bei...
Serikali ni kama imetoa greenlight kwa wafanyabiashara kupandisha bei ya bidhaa mbalimbali kuanzia wiki ijayo. Hata maduka kwa sasa order yoyote hawatoi, wanakuam subiri bei mpya kuanzia Jumatatu.
Watanzania tunalo chizi letu na tumeamua kuishi nalo, nahisi
Kiwango cha mfumuko wa bei nchini Tanzania kwa mwezi wa Agosti kiliongezeka, kikiwa kimesukumwa na kupanda kidogo kwa bei za vyakula na bidhaa zisizo za chakula, na kuakisi mabadiliko ya haraka ya bei kwa bidhaa muhimu katika masoko ya ndani.
Kiwango cha mfumuko wa bei cha jumla kiliongezeka...
Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko, Julai 28, 2025 amewasimamisha viongozi wa chama cha wafanyabiashara wa nyama mkoani Katavi kwa tuhuma za ukiukwaji wa sheria, taratibu na miongozo ya uendeshaji wa biashara, ikiwa ni pamoja na kupandisha bei ya nyama bila kushirikisha mamlaka husika...
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amesema kuwa ukuaji wa Pato la Taifa (GDP) kwa mwaka 2024 umefikia asilimia 5.5, ukilinganishwa na asilimia 5.1 kwa mwaka 2023 na asilimia 5.4 kwa mwaka 2022.
Akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Fedha mwaka 2025/26 Bungeni leo...
Sina mengi ya kusema ila kiukweli Utawala huu watu hawana furaha hawana amani, maisha magumu pesa na maisha mazuri viko kwa wachache na hakuna anaejali.
Mfumuko wa bei uko juu, usafi kwenye mitaa na barabarani, kwenye mitaro , harufu hovyo hovyo kwenye miji mingi nchi haina Serikali za mitaa...
Kadiri tunavyokabidhi nafsi zetu kwa Mungu, ndivyo tunavyojifungua kutoka kwa vifungo vya ubinafsi na kuanza kuona ulimwengu kwa macho ya huruma na upendo. Wakati roho zetu zinapojisalimisha kwa neema ya Mungu, mioyo yetu inajawa na uchungu wa kweli, uchungu unaotokana na kuona mateso na...
Wakuu,
Drama za mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda zinaendelea.
Hivi karibuni amesema kuwa kwa Arusha ni marufuku kwa wafanyabiashara kupandisha bei za bidhaa mkoani Arusha
"Katika mkoa huu ni marufuku Wafanyabishara kupandisha bei ya bidhaa kwa mwezi huu wa ramadhani"
Pesa Ndiyo Chanzo cha Mema Yote!
Unadhani pesa ni chanzo cha uovu? SIVYO. Kutana na Pesa—kabla hajaharibiwa na tamaa na wivu. Aliwasaidia watu kubadilishana thamani kwa thamani, akichochea ustawi, fursa, na uhuru.
Pesa kwanza ni kipimo cha thamani kama vile mizani inapima uzito, rula inapima...
Salaam jamiiforum
Asilimia tisini watanzania wingi tuna vipato vya kawaida haswa ukilinganisha na gharama za maisha na pengine ukubwa wa familia.
Na sababu ni hizi
A) Gari lako huna uwezo wa kujaza full tank mara Kwa mara
B) ujenzi wa nyumba yako ni adoado ,yaani vyumba vinne
Halafu...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe, anaendelea kuonyesha miujiza iliyokuwa kama haiwezekani kufanyika , anaendelea kukosha mioyo ya watanzania, anaendelea kugusa kila eneo. Anaendelea kukuza uchumi wetu kwa kasi ya ndege vita, anaendelea kuonyesha kuwa hajafika hapo...
Baada ya kupita miji na majiji kadha hapa nchini kila nilipojaribu kununua vifaa vya ujenzi nimeshikwa na butwa kuona kalibu kila bidha bei imeongezeka kwa aslimia 30 hadi 50 kwa bei za awali.
Baada ya kuuliza wafanyabiashara wawili watatu nimeambiwa hali hiyo wanajua serikali. Sasa niombe...
Mfano wa hivi karibuni Tanesco walijiamulia tu kupandisha makato ya kila mwezi kutoka 1500 mpkaka 2000 Bila kushirikisha wananchi.
Leo jambo kama lile lile linarudiwa na Azam tv kwa kutangaza kupandisha vifurushi vya TV bila kuwepo sababu yoyote ya msingi ya upandishwaji vifurushi hivyo...
Tatizo la bei ya mafuta kupanda kila siku ukiliangalia kwa undani lina michezo mingi sana ambayo inachochewa na siasa na ukiritimba wa mifumo biashara iliyoko ndani ya koti la mgongano wa kimasilahi kati ya wafanya biashara na wanasiasa
Picha (chanzo ) google
Hapo nyuma wafanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.