Ubinafsi wa viongozi wetu Unaanzia Mbali: Kwenye website ya Sekretarieti ya Ajira kuna picha 12 na picha 8 zinamuonyesha Katibu wa Sekretarieti

Fatma-Zehra

Senior Member
Oct 18, 2020
192
1,062
Katika vita ya ufisadi, ni lazima tufanye auditing inayohusu ubinafsi hasa kwenye taasisi zetu na mashirika ya umma. Tuanzie pia huko chini kabisa kwenye mitaa. Tutapata picha ya kiwango cha ubinafsi ambayo itatu-alarm kuhusu mwelekeo wetu wa ufisadi siku za usoni.

Unfortunately, kwa sasa, tuna-deal na matokeo ya ufisadi wakati ni tabia ambayo inatakiwa kuwa addressed as early as possible.

Nimeamua kutoa mfano mdogo sana leo wa website ya Sekretarieti ya ajira. Website yetu hii ina picha 12. Kati ya hizo CEO ameonekana 8 times tena akiwa anapiga pushups na kushika viuno.

Huu ni ubinafsi. We need to combat the root cause of this problem before it advances unexpectedly. Karibuni lunch. Wanaume msije.
 
Mkuu hujaingia kwenye "Gallery" ziko picha za matukio mbali mbali..
ajira.PNG
 
Katika vita ya ufisadi, ni lazima tufanye auditing inayohusu ubinafsi hasa kwenye taasisi zetu na mashirika ya umma. Tuanzie pia huko chini kabisa kwenye mitaa. Tutapata picha ya kiwango cha ubinafsi ambayo itatu-alarm kuhusu mwelekeo wetu wa ufisadi siku za usoni.

Unfortunately, kwa sasa, tuna-deal na matokeo ya ufisadi wakati ni tabia ambayo inatakiwa kuwa addressed as early as possible.

Nimeamua kutoa mfano mdogo sana leo wa website ya Sekretarieti ya ajira. Website yetu hii ina picha 12. Kati ya hizo CEO ameonekana 8 times tena akiwa anapiga pushups na kushika viuno.

Huu ni ubinafsi. We need to combat the root cause of this problem before it advances unexpectedly. Karibuni lunch. Wanaume msije.
Chips kuku na urojo wanaume hatuli.
CCM ndiyo chanzo kikubwa cha ubinafsi, kimehodhi kika kitu kikidhani kinaweza kuijenga Tanzania peke yake! Matokeo ni kiwango tulichopo sasa kilitakiwa tuwe tumekifikia mwaka 1980 yaani miaka 20 baada ya Uhuru. Ubinafsi wa CCM umewafanya watumie muda na raslimali za taifa kuijenga CCM badala ya kuwajumuisha wananchi wote kuijenga Tanzania matokeo tunaokoteza okoteza tuvitu tusivyofaa kuwa mfano wa maendeleo.

CCM oyeeee.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom