UKIMWI, Pombe, Kitimoto na Urbanization ni Threat to National Security

Fatma-Zehra

Senior Member
Oct 18, 2020
192
1,061
Shikamoo mama Samia. Nimeona uko serious sana na report ya CAG. I love you. Nchi hii imejaa notable crooks. Please deal with them.

Nenda kwenye public institutions and do something. Halmashauri nyingi ni wezi but hali ni worse kwenye public institutions. Unfortunately your CAG doesnt audit all of them as he does kwa halmashauri. Let me give you a tip.

CAG officers pia wanahongwa na hizi public institutions. CIAs wanawaogopa CEOs. The problem starts here. If you appoint a CEO today, give him/her a year. You're likely to produce a billionaire. A public institution is very sweet. Whether it's ngorongoro or university of Dar or IFM. Start there and you will be suprised. Hii ni mada ya siku nyingine. Today, I am suggesting something else.

1. Kuna possibility kubwa ukimwi Tanzania umejaa. Sisi tulio ndani ya ndoa I think it's no longer a secret. Husbands don't care. They compete on the number of sidechicks. Wives have become "civilized harlots". I repeat, ni ndoa chache ambazo kuna uaminifu. Secondary kids and university community members understand this. Most of them are positive. They sleep with husbands. Makazini na biashara sex has become a "public good". If you talk to doctors, wagonjwa ambao hawajaanza dawa na walioanza dawa ni wengi sana. People don't care. We don't at all. Kwahiyo tunatembea na ukimwi kwenye miili yetu. Siyo sheikh wala pastor wala bishop aliye salama. I don't want to talk about politicians. They are in bad conditions. Covid imetuamsha. Wagonjwa wengi wa ukimwi wameondoka. Wengi wataondoka ghalfa kwa sababu ya dawa zinaficha mengi. I thought kijijini hawana ukimwi. Lo!wanakufa sana. Tusipokuwa makini taifa letu litakosa viongozi was Leo na kesho ambao ni smart. This is a future threat on our national security.

2. Pombe inanyweka sana. Our baby brothers and sisters who spend their lives in liquor are in danger of ruining their future. Husbands have misdirected our families. Pombe inaingiza tax revenues but is a source of underlying health conditions ambazo slowly they kill our briliiant leaders bila kujua. Wataisha kwa magonjwa. Where shall we get smart leaders? Sadly, smart politicians afya zao wengi zimeharibiwa na alcohol. They are dying. Youth are perishing.

3. Kitimoto. Talk to doctors na watakueleza kuwa cancer na magonjwa ya moyo mengi yanakuwa driven na hiki kitu. Mwenzi wangu hatumii pombe wala kitimoto. Probably atasogeza siku na kupunguza magonjwa. Smart people wakiisha, we will be led by an automatic option. Hii ni threat to our future.

4. Urbanization. So far ule uzalishaji wa kijijiji haupo tena. Young boys have moved to town kwenye bodaboda. Miundombinu are in bad shape. We don't produce. We are in town to sell industrial juice na kubet. This is a timed bomb for our national security. We need to bring them back to village through friendly environment.
 

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
6,523
23,218
Hapo kwenye kitimoto nahisi umesema sababu imani yako hairuhusu kutumia.

Nenda vijijini mbeya, kilimanjaro etc.. kitimoto imeliwa miaka zaid 1000 iliyopita...ila bado kuna mababu na mabibi kibao hawajui hata kansa ni kitu gani,? Hata uko majuu kitimoto wanaiita pork ni nyama pendwa ya wazungu

Madaktari bingwa kibao wa magonjwa ya moyo wanaagizaga kitimoto.. wengine wanalipia boda iletwe mpaka kazini kwao muhimbili kama wakiwa zamu ili wajinome
 

Ed Kawiche

JF-Expert Member
May 28, 2020
2,097
3,461
Hapo kwenye kitimoto nahisi umesema sababu imani yako hairuhusu kutumia.

Nenda vijijini mbeya, kilimanjaro etc.. kitimoto imeliwa miaka zaid 1000 iliyopita...ila bado kuna mababu na mabibi kibao hawajui hata kansa ni kitu gani,? Hata uko majuu kitimoto wanaiita pork ni nyama pendwa ya wazungu
hakika... hilo halina ubishi
 

Utopologist

JF-Expert Member
Feb 17, 2021
912
2,365
Nakubaliana na wewe 100/100 kuhusu urbanization

Lakini kuzuia na kudhibiti uhamiaji wa kiholela kutoka vijijini kwenda mijini serikali lazima ifanye kilimo kuwa attractive sector kwa vijana.

Vijana wakija mijini wanaishia kuwa walanguzi au wahalifu, wanakuwa hawapo tena katika sekta ya uzalishaji, mf. Kilimo na hili linadumaza ukuaji wa uchumi kwa kiasi kikubwa.
 

Freyzem

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
9,418
23,072
Babu na bibi zangu wamekuwa walaji wa kitimoto miaka nenda rudi na kushushia na safari, now wapo above 80 na wengine 90's
 

Similar Discussions

30 Reactions
Reply
Top Bottom