National Interest: Viongozi na Watendaji wa Tume ya Uchaguzi Wajiuzulu au Waondolewe

Fatma-Zehra

Senior Member
Oct 18, 2020
192
1,061
Kabla sijasahau, let me remind my government that mobile money businesses are dying. Namaanisha vile vibanda. Baada ya hapo naomba nimpe shikamoo mama yetu.

1. Uchaguzi wa mwaka jana ulikuwa wa kishamba na wa kipuuzi sana. Ulituvua nguo. JPM was my hero. Alikuwa mzalendo. Lakini hili alilofanya kwenye uchaguzi hata kindergarten wouldn't pursue that course. Nchi ilichafuka sana na kuchekesha. International community ilitudharau. Tumekosa mengi. Siyo CCM wala opposition waliofurahi. Kama Intel community yetu ndiyo ilipanga haya, basi taifa letu linaweza kuanguka muda wowote. We're not safe. Mama yangu is likely not to be safe too.

2. Ili kuanza upya, for the sake of national security, economic growth and sustainability, and in order to forge a virgin democratic beginning, mwenyekiti wa Tume pamoja na watendaji wakuu na makamishina wote wajiuzulu au waondolewe mara moja. Hii haijalishi kama mama ametokana na the same election or not. She's now the CiC.

3. Akishamalizana na watendaji wa Tume, mama arudi kwa wakurugenzi. Well, namna uteuzi wa mwaka huu ulivyofanywa, I believe na shosti wangu Ummy, ni kielelezo cha ujinga wa hali ya juu wa taifa. Tusipoangalia, kwa mwendo huu tutaanguka so very soon. I strongly believe that mama hausiki na huu utoto utoto uliofanywa na TAMISEMI. Ni utoto utoto kwenye economic development ngazi ya wilaya. Tunahitaji CEOs wa halmashauri zetu wanaofahamu kuunganisha both long term and short term development agenda kwenye dira ya taifa ya uchumi na usalama wa nchi. Ile siyo ajira. Ni macho ya taifa. Kuna pesa za nchi kwenye halmashauri. Tusipende kuchezacheza na mambo nyeti kama haya. Arudie zoezi taratibu na wakurugenzi wote walioleta aibu ya uchaguzi mwaka jana wasirudi. Mama asiogope. She's the president and CiC. Pia, na yeye atakufa na atawaacha wajukuu hata kama amechanja.
 
Rhz4567

JF-Expert Member
Mar 16, 2018
4,038
5,001
watendaji wa tume ya uchaguzi wanastahili kufungo cha maisha gerezani kwa mchakato mbovu wa uchafuzi na kupika matokeo ya uchafuzi.
 
Bengal

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
11,283
11,962
Kabla sijasahau, let me remind my government that mobile money businesses are dying. Namaanisha vile vibanda. Baada ya hapo naomba nimpe shikamoo mama yetu.

1. Uchaguzi wa mwaka jana ulikuwa wa kishamba na wa kipuuzi sana. Ulituvua nguo. JPM was my hero. Alikuwa mzalendo. Lakini hili alilofanya kwenye uchaguzi hata kindergarten wouldn't pursue that course. Nchi ilichafuka sana na kuchekesha. International community ilitudharau. Tumekosa mengi. Siyo CCM wala opposition waliofurahi. Kama Intel community yetu ndiyo ilipanga haya, basi taifa letu linaweza kuanguka muda wowote. We're not safe. Mama yangu is likely not to be safe too.

2. Ili kuanza upya, for the sake of national security, economic growth and sustainability, and in order to forge a virgin democratic beginning, mwenyekiti wa Tume pamoja na watendaji wakuu na makamishina wote wajiuzulu au waondolewe mara moja. Hii haijalishi kama mama ametokana na the same election or not. She's now the CiC.

3. Akishamalizana na watendaji wa Tume, mama arudi kwa wakurugenzi. Well, namna uteuzi wa mwaka huu ulivyofanywa, I believe na shosti wangu Ummy, ni kielelezo cha ujinga wa hali ya juu wa taifa. Tusipoangalia, kwa mwendo huu tutaanguka so very soon. I strongly believe that mama hausiki na huu utoto utoto uliofanywa na TAMISEMI. Ni utoto utoto kwenye economic development ngazi ya wilaya. Tunahitaji CEOs wa halmashauri zetu wanaofahamu kuunganisha both long term and short term development agenda kwenye dira ya taifa ya uchumi na usalama wa nchi. Ile siyo ajira. Ni macho ya taifa. Kuna pesa za nchi kwenye halmashauri. Tusipende kuchezacheza na mambo nyeti kama haya. Arudie zoezi taratibu na wakurugenzi wote walioleta aibu ya uchaguzi mwaka jana wasirudi. Mama asiogope. She's the president and CiC. Pia, na yeye atakufa na atawaacha wajukuu hata kama amechanja.
Lakini ni kumbushe jambo kidogo tu hapa, kwa Wana kijani sio national interest kwao ni chama kijani interest mbere kuliko national interest.
 
HORSE POWER

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
1,914
1,248
Upo sahihi lakini muamuzi huenda asiwe yeye.Tufikiri mbali zaidi.Nina shaka ya uwepo wa nguvu kubwa nje ya mfumo. I mean parallel govvernment.
 
2 Reactions
Reply
Top Bottom