Kubadilisha noti kutamsaidia sana Magufuli kwa sasa katika vita dhidi ya ufisadi

Fatma-Zehra

Senior Member
Oct 18, 2020
192
1,061
Let me admit. JPM ana mapungufu ya kutosha. Hata hivyo, bado ni chaguo sahihi kwa vita ya ufisadi. I believe, pesa nyingi zimefichwa "majumbani chini ya magodoro". Ninamuomba achapishe noti mpya haraka iwezekanavyo. Kwenye matumizi ya dola amejitahidi sana.

I advise him to do the same wakati wa kubadilisha old bank notes. Muda mfupi pia utumike wakati wa kubadilisha noti. Mengine namuachia mwenyewe maana he's the president and top decision maker in TZ
 
MaxMase

JF-Expert Member
Mar 4, 2008
862
796
Let me admit. JPM ana mapungufu ya kutosha. Hata hivyo, bado ni chaguo sahihi kwa vita ya ufisadi. I believe, pesa nyingi zimefichwa "majumbani chini ya magodoro". Ninamuomba achapishe noti mpya haraka iwezekanavyo. Kwenye matumizi ya dola amejitahidi sana. I advise him to do the same wakati wa kubadilisha old bank notes. Muda mfupi pia utumike wakati wa kubadilisha noti. Mengine namuachia mwenyewe maana he's the president and top decision maker in TZ
Una badilisha note kwa sababu gani!? Unajua athari ya kubadilisha pesa zako kila wakati au unaandika tu upupu
 
mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,423
11,349

Mataga bwana!!
 
Bulesi

Platinum Member
May 14, 2008
12,617
11,303
Una badilisha note kwa sababu gani!? Unajua athari ya kubadilisha pesa zako kila wakati au unaandika tu upupu

Kwa taarifa yako hakuna mtu mwenye pesa nyingi anaweka kibubu chake na noti za bongo!!! Kama wanavibubu basi wana akili kuwa na noti za nchi ambazo hazibadilishi badilishi pesa zao!!! Kwahiyo watu wana vibubu vya DOLLAR na STERLING! Jiwe amechelewa pesa ilishapelekwa DUBAI na MAURITIUS waliobakia nazo ni hao wajinga matajili uchwara wa ccm kama JA PIPO ambao ni matajiri lakini ni financially illiterate.
 
713

Senior Member
Apr 1, 2018
189
318
Kwa haya uliyoa yaandika inatosha kuitwa mjinga badala ya mpumbavu nafikiri JamiiForums inabidi iwe na IQ test kabla ya ku join hii ni forum ya kimataifa na watu wakubwa wanapita huku kuangalia ukiandika kitu toa na sababu Za msingi sio kuhisi watu wameficha hela hata wakificha ni zao kwani zako au zaserikali miliki zako na wewe ufiche
 
Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,954
18,597
Tanzani kubadilisha note haiwezi saidia sababu kuna urahisi wa kufanya money Landry. Hasa mipakani kuke pesa zinabadilishwa. Bank pia unaweza badilisha pesa na usihojiwe.
 
LESIRIAMU

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
8,115
12,518
Let me admit. JPM ana mapungufu ya kutosha. Hata hivyo, bado ni chaguo sahihi kwa vita ya ufisadi. I believe, pesa nyingi zimefichwa "majumbani chini ya magodoro". Ninamuomba achapishe noti mpya haraka iwezekanavyo. Kwenye matumizi ya dola amejitahidi sana. I advise him to do the same wakati wa kubadilisha old bank notes. Muda mfupi pia utumike wakati wa kubadilisha noti. Mengine namuachia mwenyewe maana he's the president and top decision maker in TZ
Hivi kwa akili yako, mtu ana weka noti ya Tanzania ndani? Hao labda waswaga ng'ombe. Watu wanao jua thamani ya hela huzibadilisha kuwa pesa mzee.. Yaani dolari.. Ndio wana weka ndani. Lbda mwambie aongee na Biden abadilishe dola
 
Akilinjema

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
8,874
8,494
Kwa hiyo ulivyoona umepigika pesa imeadimika kupita kiasi akili yako imekutuma kuwa huenda watu wamezifungia mahala?

Pole mwaya !

Halafu nachelea kusema una vi elements vya husuda kali sana ambavyo usipojitambua na kuikataa hiyo hali madhara yake hutaweza kuyaepuka maishani mwako.

Tafadhali zaidi jinsi ya kufanya kazi na kupata kupato halali bila kuonea wivu wengine!
 
King klax

JF-Expert Member
Jul 10, 2015
4,137
2,493
Let me admit. JPM ana mapungufu ya kutosha. Hata hivyo, bado ni chaguo sahihi kwa vita ya ufisadi. I believe, pesa nyingi zimefichwa "majumbani chini ya magodoro". Ninamuomba achapishe noti mpya haraka iwezekanavyo. Kwenye matumizi ya dola amejitahidi sana. I advise him to do the same wakati wa kubadilisha old bank notes. Muda mfupi pia utumike wakati wa kubadilisha noti. Mengine namuachia mwenyewe maana he's the president and top decision maker in TZ
Asante kwa ushauri
 
rodrick alexander

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
12,191
14,185
Tigo pesa, m pesa, Airtel money ni kweli watu wameficha pesa siwezi kuweka pesa benki halafu ikawa inakatwa kisa service charges ni afadhali nikae nayo nione inavyotumika
 
Kim Jong Jr

JF-Expert Member
Mar 15, 2014
9,425
16,847
Mataga Hamnaga akili
 
Bon-CN

JF-Expert Member
Oct 14, 2020
1,191
2,494
Let me admit. JPM ana mapungufu ya kutosha. Hata hivyo, bado ni chaguo sahihi kwa vita ya ufisadi. I believe, pesa nyingi zimefichwa "majumbani chini ya magodoro". Ninamuomba achapishe noti mpya haraka iwezekanavyo. Kwenye matumizi ya dola amejitahidi sana. I advise him to do the same wakati wa kubadilisha old bank notes. Muda mfupi pia utumike wakati wa kubadilisha noti. Mengine namuachia mwenyewe maana he's the president and top decision maker in TZ
Kama bado unaamini JPM ndio chaguo sahihi kwa vita dhidi ya ufisadi basi una kila sababu ya kuamini katika solution yako! Nikukumbushe tu huyu Rostam aliyegeuka kuwa Swahibu mkubwa wa JPM, alichokwa hadi na serikali ya kifisadi ya JK! Enzi zile hakuna ufisadi ambao Rostam hakuwahi kuhusishwa nao. Na nikukumbushe tu kwamba JPM hajawahi kumchukulia hatua kiongozi yeyote wa juu Tanzania kwa issue za ufisadi; hata akina Angengenye ambao aliwafuta kazi kwa tuhuma za ufisadi baadae aliwarudisha!

Kwa kifupi, una macho lakini huoni huku ukidanganyika sana na upigaji vita ufisadi kwa mdomo! Mkisikia katumbua fulani, mnapiga vigelegele na kumshangilia kwamba hapendi ufisadi! Ingekuwa kutumbua ndo kupinga vita ufisadi basi crown hiyo angeivaa JK manake alibadilisha sana mawaziri, JPM anasubiri. Wakati ule ilikuwa ukisikia CAG anasoma ripoti basi unasubiri povu la wabunge ambao JK alikuwa anawaachia wapeleke watu kibra, yeye anakuja kumalizia tu!

Sio tu una macho lakini huoni bali pia una masikio lakini husikii!!!
 
mbenge

JF-Expert Member
May 15, 2019
3,327
7,186
Let me admit. JPM ana mapungufu ya kutosha. Hata hivyo, bado ni chaguo sahihi kwa vita ya ufisadi. I believe, pesa nyingi zimefichwa "majumbani chini ya magodoro". Ninamuomba achapishe noti mpya haraka iwezekanavyo. Kwenye matumizi ya dola amejitahidi sana. I advise him to do the same wakati wa kubadilisha old bank notes. Muda mfupi pia utumike wakati wa kubadilisha noti. Mengine namuachia mwenyewe maana he's the president and top decision maker in TZ
Mkuu, uamuzi wa benki kuu katika kutaka kubadilisha ama kuchapisha noti mpya Kwa ajili ya matumizi ya nchi hufanyika kwa kutegemea mazingira maalum ya kiuchumi na mahitaji ya wakati ya sera za kifedha. Kwa hiyo wataalamu waliobobea katika masuala ya fedha na uchumi huwa ndio wanatoa mapendekezo hayo baada ya kufanya tathimini ya kina ili kukwepa kuuathiri uchumi wa nchi.

Ni mchakato ambao unahitaji umakini mkubwa wa kitaalamu. Na hili si jambo la Rai's wa nchi kufanya maamuzi yeye peke yake mwenyewe.
 
Detective J

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
15,419
22,843
Let me admit. JPM ana mapungufu ya kutosha. Hata hivyo, bado ni chaguo sahihi kwa vita ya ufisadi. I believe, pesa nyingi zimefichwa "majumbani chini ya magodoro". Ninamuomba achapishe noti mpya haraka iwezekanavyo. Kwenye matumizi ya dola amejitahidi sana. I advise him to do the same wakati wa kubadilisha old bank notes. Muda mfupi pia utumike wakati wa kubadilisha noti. Mengine namuachia mwenyewe maana he's the president and top decision maker in TZ
Trying kuyumbisha mada nankupeleka watu kwingine ? nice try.. but no body gives a flying shit about kubadilisha noti. Kuna adui mmoja tu ambae dunia zima inapambana nae.
 
7 Reactions
Reply
Top Bottom