mabeyo

Venance Salvatory Mabeyo is a Tanzanian chief of defense forces (Mkuu wa majeshi).

View More On Wikipedia.org
  1. Dr Matola PhD

    CDF Mabeyo amepasua masikio yetu, pata madini ya Askofu Bagoza

    CDF MABEYO AMEPASUA MASIKIO YETU Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Venance Mabeyo, amesema maneno yanayopasua ngoma za masikio yetu. Amefanya mahojiano na “kutoa siri” za kilichotokea miaka 3 iliyopita wakati hayati Rais JPM anaaga dunia. Nimesita kumpongeza na nimesita kumlaumu. Nimewahi...
  2. GLOBALIST

    Uchambuzi wangu Meseji ya CDF Mabeyo kuhusu kifo cha Hayati Magufuli

    Nimeona maandiko kadhaa yenye kumsifu aliyekuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Salvatory Mabeyo baada ya mahojiano yake ya video na Daily News Digital kuhusu namna alivyo-play role yake katika dakika za majeruhi za uhai wa Rais wa Awamu ya Tano, Dkt. John Pombe Magufuli...
  3. Bams

    CDF Mstaafu Mabeyo ametaka kufikisha ujumbe. Je, wananchi tumeuelewa ujumbe?

    Ni miaka 3 imepita tangu Rais Magufuli afariki. Ni jambo la kawaida, hasa siku ya maziko au wakati wa kutangaza kifo, kutolewa taarifa za kina za mazingira ya kifo cha marehemu, na kama pengine marehemu alitoa kauli yoyote. Haikuwa hivyo kwa Hayati Magufuli. Wengi walipenda na walikuwa na...
  4. Nigrastratatract nerve

    mahojiano ya mabeyo 2025 march 17 yatahitimisha safari ya malkia

    Haya mambo yako kimkakati Sana unaweza kukuta CDF bado ni Mabeyo, na IGP bado bado ni Siro, na DGISS bado ni Diwani Athumani walitoka kimkakati kwenye Macho ya nje lkn kiutendaji bado ni wao, 2025 utashangaa nahodha msaidizi anawekwa pembeni kupisha nahodha mwenye ujuzi baada ya nahodha msaidizi...
  5. Nigrastratatract nerve

    Mahojiano ya Mabeyo 2024 march 17 ndio yatahitimisha safari ya Malkia

    Haya mambo yako kimkakati Sana unaweza kukuta CDF bado ni Mabeyo, na IGP bado bado ni Siro, na DGISS bado ni Diwani Athumani walitoka kimkakati kwenye Macho ya nje lkn kiutendaji bado ni wao, 2025 utashangaa nahodha msaidizi anawekwa pembeni kupisha nahodha mwenye ujuzi baada ya nahodha msaidizi...
  6. stakehigh

    Kutokana na maelezo ya CDF Mabeyo

    Habari za mda huu wapwa, kwa mliobahatika kuangalia video ya cdf mabeyo anaelezea dakika za mwisho za magufuli kuna sehem alisema kwamba "Magufuli alimwita na kumwambia mm siwezi kupona niitieni kadinali pengo" swali langu ni, Mtu anakua anapitia hali gan mpaka anasema maneno kama haya, kwa...
  7. G Sam

    CDF mstaafu Mabeyo amelikoroga, Makamu wa Rais ndiye alitakiwa kuwa mtu wa kwanza kila hatua kujua afya ya Rais

    1. Aliyestahili kumpatia taarifa Makamo wa Rais juu ya kifo cha Rais Magufuli ni daktari wa Rais. 2. CDF Mabeyo alikuwa mkuu wa majeshi ndiyo, yeye pamoja na viongozi wengine wa vyombo vya usalama walitakiwa pia kupatiwa taarifa na Makamo wa Rais (Baada ya yeye kuwa mtu wa kwanza kabisa...
  8. Ashampoo burning

    KAMA MABEYO ANGEKUWA NA TAMAA MAMA SAMIA LEO ASINGEKUWA IKULU

    Nimetoka kuangalia interview ya mstaafu mabeyo nimeona jinsi alivyolihandle swala la kifo cha magufuli kibusara na utulivu wa hali ya juu Inaoneka kuna mengi sana yaliendelea chini baada ya kifo cha rais magufuli ila ni busara zaidi mabeyo zilitumika na tamaa aliwekaa...
  9. V

    Simulizi za Kamanda Mabeyo kifo cha JPM na mfumo dume: Mkewe hakuwepo, hakuletwa, hakuambiwa mmeo anakata roho huku....

    Saa nane mchana watu watatu wakapokea simu kutoka hospitali: Kamanda CDF, Kamanda IGP na Kamanda DGS wa Usalama. Wakafika haraka wakamkuta kapumzika lakini kakata kauli. Wakwanza wakamuita Profesa Masero kumwongezea nguvu Profesa Janabi. Kabla ya hapo, asubuhi yake, walikuwa wameshatuma...
  10. BARD AI

    Jenerali Mabeyo: Magufuli alijua kuwa hatopona, alisema nirudisheni nyumbani

    Machi 17, mwaka huu Tanzania itaadhimisha miaka mitatu tangu kifo cha Rais John Magufuli. Rais wa Kwanza kufariki Dunia akiwa madarakani katika historia ya Tanzania. Timu ya Daily News Dijital imefanya mazungumzo na aliyekuwa Mkuu wa Majeshi nchini Jenerali Mstaafu Venance Mabeyo ambaye...
  11. Mayor Quimby

    Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

    Katika dunia hii mtu wa mwisho ambae unaweza kuona chozi lake hadharani ni senior army officer na army general ndio kabisa awezi kuonyesha weakness hiyo hadharani. Sasa cha kushangaza Mabeyo pamoja na kujitahidi kutabasamu ila chozi lilimshinda nguvu kwa sekunde kadhaa ameonekana akibubijikwa...
  12. GENTAMYCINE

    Nawakumbusha tu kuwa CDF Mstaafu Gen. Mabeyo ni Kiongpzi wa Jumuiya zote za Kikatoliki Tanzania

    Na aliteuliwa na Pontiff ( Pope ) Mwenyewe kutokea kule kule kwa Wenye dunia yao Vatican ambao Wanaogopwa mno na Marekani na Israel. Endeleeni tu Kujichanganya sawa?
  13. Tlaatlaah

    Jenerali(Rt) Venance Mabeyo anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

    hii ni kwa uchache sana kwa sasa, Ni raia mwema wa Tanzania, mzalendo na muadilifu alietukuka. Ni Mzoefu katika utumishi wa Uma. Ni mtu mzima aliepikwa vilivyo ktk utumishi na kwahivyo hekima, busara na uzoefu wake ni wa mfano. Ana nia na uthubutu mwema usio na shaka kwenye kila jambo...
  14. B

    Video: Mkuu wa Majeshi Mstaafu Tanzania, Jenerali Mabeyo aonekana akiwa na Papa Francis

    CDF mstaafu General Venance Mabeyo ameonekana ktk video clip iliyosambaa mitandaoni toka juzi aliwa Kanisa la Mt Petro akishiriki shuguli kadhaa za Kikanisa Nchini Vatican. Pamoja naye anaonekana na baadhi ya Maaskofu kutoka Tanzania na masister Haijafahamika zaidi ni shughuli gani lakini...
  15. The Burning Spear

    CDF mstaafu Mabeyo kukutana na Papa Francis

    Sijui Magufuli watu kama hawa aliwapataje. Ambapo kwa sasa kama vile hawapo. === Maaskofu wa Kanisa Katoliki Nchini wapo Vatican kukutana na Kiongozi Mkuu wa Kanisa hilo kama sehemu ya ratiba za kawaida za Maaskofu kukutana na Papa kila baada ya miaka michache. Baadhi ya picha kutoka Vatican...
  16. Teko Modise

    Namuona Kamishna Salum Hamduni mbali zaidi

    Kwa kazi nzuri na ya kutukuka huko Takukuru, Kamishna wa Polisi, Salum Hamduni namuona akifika mbali sana katika vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Kuna sauti ndani yangu inanambia, CP Hamduni atapanda juu zaidi siku si nyingi toka sasa. Kwahyo wale waliobakia, ambao taasisi zao hazijaguswa...
  17. M

    Simon Sirro amefanya kosa gani mpaka akaondolewa u-IGP kabla ya kustaafu kama Venance Mabeyo?

    Ilikuwa imebaki mwaka mmoja tu Simon Sirro atimize miaka 60 na yeye kustaafu kwa heshima. Ametibua nini? Mpaka akag'olewa? Pia, soma=> Kamishna Camillus Wambura ateuliwa kuwa IGP Mpya. Sirro apewa Ubalozi Zimbabwe, Kingai ateuliwa kuwa DCI
  18. saidoo25

    Jenerali Mabeyo: Moyo wangu ni Tanzania

    "Mimi nimestaafu lakini moyo wangu ni Tanzania, na mimi nawashauri Watanzania kuipenda Tanzania. Ukiipenda Tanzania, utaitumikia Tanzania, na ndio itapata maendeleo." - Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Venance Mabeyo, katika hafla ya kuagwa rasmi jeshini. CC: swahilitimes
  19. mwanamwana

    UTEUZI: Rais Samia amteua Jenerali Venance Mabeyo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro

    UTEUZI Rais Samia Suluhu amemteua Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali Venance Mabeyo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA). Uteuzi huo ni kuanzia Juni 30, 2022.
  20. S

    The dark side of general Mabeyo

    Lots of praises and congrats have been waved to general Mabeyo since the public was notified for his retirement till today. Yes he deserves some, but not as much as it is exaggerated by praise singers. The main verse of their praise song to gen. Mabeyo is that he protected and defended the...
Back
Top Bottom