Mwenyekiti Samia ambakize Mzee Mangula lakini amteue Dkt. Rehema Nchimbi kuwa Katibu Mkuu

Fatma-Zehra

Senior Member
Oct 18, 2020
192
1,061
Kwa sasa Mzee Mangula abaki kuwa Makamu Mwenyekiti ili kumlinda Samia lakini kwa ajili ya ku-manage dynamics za 2025 na unpredictable CCM yenye visa na "uhuni" wa kila aina. Hata hivyo, chama kinahitaji mtendaji mwenye hekima na asiye fisadi. Mtu ambaye siyo mgeni na ambaye amefanya kazi na awamu nyingi za CCM. Lakini muhimu zaidi awe msomi na ambaye ana experience ndani ya serikali.

Above all, mwenye adabu kwa wakubwa zake lakini anayetoa ushauri kwa maslahi ya taifa. Kwa uwezo wangu mdogo sana kwenye siasa, na kwa sababu lengo langu ni kumsaidia my beautiful mother Samia, nashauri Dr Rehema Nchimbi kuwa katibu mkuu wa CCM. She's now the RC - Singida. Ingawa simfahamu sana, lakini niliwahi kugundua kuwa:

1. Amewahi kuwa mshauri na mwalimu wa viongozi wa CCM during President Mkapa. She did the same during President Kikwete.

2. Kipindi cha President Kikwete, alikuwa mjumbe wa NEC kwa kuchaguliwa na mkutano mkuu.

3. Ni mnyenyekevu sana lakini ni mkali. Nimeambiwa kuwa ni Mkristo.

4. President Jakaya aliwahi kumteua kuwa DC Newala na baadaye akawa RC Dodoma.

5. Amewahi kuwa Professor (I am affected by the western culture, so sorry kama nitakosea) pale University of Dar es Salaam.

6. She graduated (PhD) from University of Capetown.

7. Ni mwanamke anayesikilizwa sana na kuheshimiwa na watu wa aina mbalimbali particularly viongozi wa madhehebu ya kiislam na kikristo karibu yote.

Kwako Samia. Shikamoo.
 

Peramiho yetu

JF-Expert Member
May 25, 2018
4,737
12,898
Dr Rehema nchimbi nadhana n mke wa Dr Emanuel nchimbi (kama syo sahihi nirekrbishwe)

Kwa hali ilivyo s vema akapata hyo nafas
 

Ncha Kali

JF-Expert Member
Sep 19, 2019
12,738
22,614
.....Above all, mwenye adabu kwa wakubwa zake lakini anayetoa ushauri kwa maslahi ya taifa. Kwa uwezo wangu mdogo sana kwenye siasa....

Shikamoo.

Hakuna mwanaCCM anayetoa ushauri kwa maslahi ya Taifa, ni kwa maslahi mapana ya CHAMA.

Vema kwa kukiri kuwa na uwezo mdogo mno kisiasa, huo ni uungwana.... nakupongeza.

Marhaba!
 

Jil

Member
Feb 1, 2021
36
144
Mbona mnangangania sana, akina chimbi sana, hapa Tanzania ni wao tu???? Watu wameanza kuongoza toka utawala wa mkapa bado mnawangagania haohao hamna wengine??? Mm mnaniudhi sana!!
 
3 Reactions
Reply
Top Bottom