Mpendwa Rais Magufuli, Dodoma haina maji. Hali ni mbaya!

Fatma-Zehra

Senior Member
Oct 18, 2020
192
1,062
My President, hali ni mbaya sana. Inazidi kuwa mbaya kila kukicha. Mgao wa maji ulikuwa mara mbili kwa wiki na awamu zote zilikuwa zinatoa maji kama mkojo (forgive me kwa lugha hii baba yangu).

Kwa sasa ni mara moja kwa wiki on an unknown day, and time. By the way hata yakitoka, you need hours ili kupata 2 buckets.

Hali ni mbaya zaidi kwa akina mama. Hali ni mbaya sana kwa investors. This is a serious problem. Yawezekana watu wako wanakudanganya.

Please visit in person and act
 
Suala zima la kuhamisha makao makuu ya serikali kwenda Dodoma lilikuwa ni anasa ya kijinga isiyo na msingi wa kiuchumi.

Na haya ndiyo matokeo yake.

Mji mkuu ulikuwepo tayari Dar, mji wenye watu wengi, mji wa biashara.

Lakini waaapi, lazima tujitutumue kuingia gharama zisizo lazima, wakati mambo ya msingi hatujamaliza.

Typical mentality ya kimasikini.
 
Leo imetelekezwa wamehamia Chato kesho karagwe hawana uchungu kabisa na kodi zetu hawa
 
Back
Top Bottom