Fatma-Zehra
Senior Member
- Oct 18, 2020
- 192
- 1,062
Public servants wanalia kila kona. Na ni kweli waliumizwa kwa sababu ya roho ya yule mzee kuamini kila mtu ni mwizi. Samia is good katika hili. I can read her well. You guys will be promoted. Ataongeza tu mishahara.
Poleni sana kwa kuteseka. Ninawahurumia sana ingawa wengi wa watumishi wa umma huwa tukija kwenye ofisi zenu huwa tunatamani tuwafundishe njia rahisi ya kufanya kazi zenu.
Baadhi yenu ni incompetent. Kitu pekee ambacho ninakiita "upuuzi" wa JPM ni kuamua kuja na hiyo miaka minne since last promotion. Hiyo ni kuwaonea na ni roho mbaya.
Unfortunately, my brother Moh'd baada ya kuwa minister amtembea humohumo. May be he inherited "upuuzi" unintentionally. Moh'd please mshauri Mama awaondolee public servants hayo mambo ya four years since last promotion.
Hajapewa salary increment for years halafu promotion tena umrundikie miaka tena?. Ondoeni kabisa huu "upuuzi" na roho ya kwanini ya JPM.