Walionyanyaswa kwa sababu ya Lissu warudishwe kwenye nafasi zao

Fatma-Zehra

Senior Member
Oct 18, 2020
192
1,061
Kuna minong'ono kuwa mtu yeyote aliyesaidia kwa namna moja ama nyingine kuokoa uhai wa Lissu (Mungu mwenyewe ndiye Mwamuzi wa mwisho) basi "alisulubiwa". Minong'ono inasema baadhi wamerudishwa kama Jose who's our representative in Brussels.

Wengine bado. Namuomba mama awarudishe. Huu uzi unaomba majina ya wengine na nafasi zao. Minong'ono inasema Dr Mpoki wa Afya bado hajarudi. Mpoki is a guru in anaesthesia. Kuna kipindi Kagame alitaka kumuiba. Huo ubalozi ni matumizi mabaya ya resources.

JF mnafahamu mengi. Karibuni.
 

Nawatania

Senior Member
Jul 13, 2021
148
537
Jamaa yangu nimemumiss alikufa kwa presha baada ya kutumbuliwa mwaka 2017, akafuatiwa na mkewe,badae mtoto wake akajinyonga mwaka 2019 kwa kukosa pesa za shule

Kwake ni karibu na home uwa napita naona nyumba imefungwa naogopa sana utawala ule.

Uwa najaribu kuvaa viatu vya ile familia Kama ukuguswa na Magufuli basi wewe sio wa Nchi hii.

Hakika uwa naogopa sana sana kuumiza mtu mimi binafsi haya maisha haya tupendane tu.

Najiuliza tu hawa ambao hawajifunzi yaliyomkuta Magufuli

Magufuli alikuwa sio wa kufa akiwa na miaka ile.
 
5 Reactions
Reply
Top Bottom