USHAURI: TRA ianze kutoa Takwimu za Mapato kila mwezi ili kwendana na kasi ya Rais Samia

Fatma-Zehra

Senior Member
Oct 18, 2020
192
1,061
Salaam TRA.

Mama took office in late March. Kwa hiyo ni vigumu kumwekea mzigo wa March 2021. Naomba mambo yake yaanze Aprili 2021. Msimchoshe na mambo ya nyuma, yaani kabla ya April 01. Ombi langu kwa TRA, kindly update the nation. Mmekusanya sh ngapi Mwezi Aprili?
 

MBEGU YA BINADAMU

JF-Expert Member
Jul 8, 2015
375
313
Mkuu takwimu hizi kamwe hazitatolewa. Kwani katika report ya CAG ulisikia ofc ya makamo wa rais, waziri mkuu na waziri wa fedha zikiongelewa?
 

malang0

JF-Expert Member
Apr 7, 2021
441
518
Wewe mama amesema uchumi umeshuka kutoka 6.9-4.6 kutokana na Corona hivyo makusanyo lazima yapungue au utataka takwimu za uongo kama za mwendazake
 

Ryaro ryaro

JF-Expert Member
Feb 10, 2021
355
1,129
Ili upate nini , kwa mfano ukiambiwamapato yameongzeka,Mosi utajua ukwapuaji/ukusanyaji kodi wa Task force wanguvu wa rafiki yaki Mwedazake.
 

denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
13,015
49,568
Serikali ingetafuta namna ya kujipa challenge, watangaze takwimu bila kuongeza chumvi ili siku wakitangaza kidogo wajiulize wamekosea wapi, kutangaza takwimu public kunaongeza self motivation.
 
3 Reactions
Reply
Top Bottom