Imagine Porsche 911, Ferrari Spyder, Lamborgini Urus, Mercedes Benz AMG G63, Bentley Bentayga na vichenji chenji kina VXR vikicruise mtaani kwa pamoja, mnaenda ChitChat meeting Coco.
Sisi tupo around.
abiria
beibeizamafuta
dar
ford
ford ranger
hela
hii
kukagua
kutumia
maana
mafuta
magari
mali
matajiri
reli
reli ya sgr
sana
serikali
sgr
special
swala
tamaa
trc
tuna
usalama
video
wote
zao
Wakuu leo nimeona huo Mjadala wa nchi kumi zenye bei kubwa zaidi ya mafuta umeibua hoja nyingi, lakini jambo moja lililokosekana ni ulinganisho wa mzigo halisi kwa wananchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Nimekutana na Takwimu mpya za Mei 2026 zinaonyesha kila nchi inatoboka tofauti kulingana na...
Hizi AI mbili, zimekuja na majibu yanayofanana (almost):
Gemini (Google)
ChatGPT
Ingawa ChatGPT anashawishi ongezeko dogo, ila Gemini yeye anaamini itaongezeka tsh 500 kwa kila lita.
Vigezo vyao vimetoka kwenye:
-Bei mpya soko la dunia.
-Exchange rate ya dollar vs tsh.
-Benchmark ya nchi...
Kila asubuhi kabla ya jua kuchomoza, Herry Msese huwa anaendesha daladala yake na kupita mitaa yenye shughuli nyingi ya Dar es Salaam, Tanzania, akiwasafirisha abiria wengi katika barabara yenye msongamano mkubwa.
Hata hivyo, katika wiki za hivi karibuni, mafuta yamekuwa yakimtia wasiwasi...
Akizungumza Aprili 8, 2026 katika hafla ya uapisho wa viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni, Rais Samia ametoa mchanganuo wa bei za mafuta kwa mataifa ya Ulaya na Marekani, akieleza kwa Tanzania ni nafuu na bado kuna uhakika wa Mafuta kwa miezi mitatu.
Soma pia Rais Samia: Naanza...
Serikali kupitia Msemaji Mkuu wake, Gerson Msigwa, imetoa ufafanuzi wa kauli ya Rais Samia aliyotoa mchana wa leo Aprili 8, 2026, kuhusu bei za mafuta;
Soma: Rais Samia: Bei ya mafuta Marekani na Ulaya ni Dola 800 na Euro 400/600 lita 1, Sisi tuko vizuri, tuna uhakika wa miezi 3
UFAFANUZI
Leo...
Akizungumza na Vyombo vy habari leo Aprili 6, 2026 Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokraisa na Maendeleo (CHADEMA), John Heche amesema kuna ma- caretel (Kundi la wafanyabiashara) ambao wanajimilikisha uchumi wa Tanzania, akidai kuna taarifa wanazofuatilia kuwepo kwa kampuni moja yenye ukaribu...
Tangu tarehe 1 Aprili 2026, baada ya EWURA kutangaza kupanda kwa bei ya mafuta nchini, hali imekuwa ngumu kwa wananchi wengi, hasa wafanyakazi wanaotegemea usafiri wa umma kila siku.
Ni ukweli usiopingika kuwa bei ya mafuta imeongezeka. Hata hivyo, baadhi ya watoa huduma wa vyombo vya usafiri...
Mbunge wa Jimbo la Kalenga, Jackson Gidel Kiswaga akizungumza leo Aprili 2, 2026 kwenye Bunge la 13 Mkutano wa 3 kikao cha 3 Dodoma, ameeleza kuwa kulingana na hali ya kukosekana kwa mafuta duniana kufuatia mgoggoro unaondelea mashariki ya kati inabidi watanzania wakubali bei ya mafuta...
Unahisi Hii Hali ya Bei za Mafuta Kupanda Inaweza Kudumu Mpaka Lini? Na nini Kifanyike Ili Kujinasua na Kupanda Kwa Bei Za Mafuta?
Kupanda kwa bei za mafuta kunaathiri maisha ya kila siku na uchumi kwa ujumla. Ili kujinasua na hali hii, yafuatayo yanaweza kufanyika:
1. Kujenga viwanda vya...
Huu ni ushauri tu kabla mambo hayajawa mabaya na kuvumbuliwa. Yaani lita moja ya petroli ambayo wiki mbili zilizopita ilikuwa ikiuzwa 3100 leo ni 4000? Bado serikali inaona ni sawa? Endapo hali hiyo itaongezeka nafikiri tutanunua lita moja ya petroli kwa tshs 10000 ndani ya miezi 2 mbele...
Watumiaji wa bidhaa za mafuta Tanzania wataendelea kuugulia maumivu ya ongezeko la bei baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) kutangaza bei kikomo zitakazotumika Machi mwaka huu.
Katika bei hizo, watumiaji wa mafuta ya dizeli wameshuhudia ongezeko la bei zaidi ikilinganishwa na...
Hali ya upatikanaji wa nishati duniani imekuwa ikitabiliwa kuwa hatarini baada ya kuanza mgogoro wa Iran, lakini hatua iliyochukuliwa leo na Saudi Arabia inaweza kuharakisha zaidi hali haliyo, hii ni kufuatia shambulio la ndege zisizo na rubani (drones) lililosababisha kusimama kwa shughuli...
Bei za mafuta ya petroli na dizeli zitakazotumika Oktoba mwaka huu nchini zimeendelea kupungua kwa kiwango tofauti ikilinganishwa na zilizokuwepo mwezi uliotangulia, huku upande wa mafuta ya taa ukiendelea kusalia vilevile.
Bei hizi zinapungua nchini wakati ambao kumekuwa na ongezeko katika...
Bei ya mafuta imeendelea kuongezeka kwa miezi miwili mfululizo huku kwa watumiaji wa petroli wakilazimika kuzama zaidi mfukoni.
Taarifa hiyo imetolewa leo Jumatano Aprili 2, 2025 na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura).
Bei ya mafuta ya petroIi Aprili hii...
KUMB: PPR/2024-11/01
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU BEI KIKOMO ZA BIDHAA ZA MAFUTA YA PETROLI KUANZIA JUMATANO, TAREHE 6 NOVEMBA 2024
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumatano ya tarehe 6...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imetangaza bei za Mafuta kwa Mwezi Oktoba, 2024.
Pia, soma: Bei ya Petroli, Dizeli Oktoba sasa kitonga, sababu za kushuka zatajwa
NISHATI: Bei ya Mafuta imeripotiwa kuendelea kushuka zaidi katika Soko la Dunia karibu miezi 4 mfululizo ambapo hadi kufikia Mei 4, 2024, Bei ilifikia kati ya Dola za Marekani $76.76 (Tsh. Tsh. 200,727) hadi $77.52 (Tsh. 202,714) kwa Pipa.
Hali hiyo imesababisha Nchi Zinazouza Mafuta (OPEC) na...
1. Nani anataka vita mashariki ya kati?
2. Kwa hakika si Houthi, Marekani, wala washirika wake; achilia mbali makapuku wengine sisi "Chole Samvula" huku.
3. Nani asiyezijua athari za vita, achilia mbali mashariki ya kati?
4. Siyo sisi tuliowahi kushauriana kuhamia hata Burundi ikibidi?
5...
Sawa bei zimepanda soko la Dunia na mambo kama hayo ila ni muda wa kuweka ruzuku.
Bora kuvuruga Mpango wa miradi 2 au 1 Tupate pesa ya ruzuku kuliko kuua uchumi mzima Kwa kuachia bei ziendelee kuwa Juu kiasi hiki.
Yaani Lita Moja kufikia elfu 4-6 Mikoani huko Vijijini haikubaliki.Mwaka.juzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.