Search results

  1. N

    KERO BRELA huduma zao mbovu hadi uwahonge pesa ndio wanakamilisha kazi yako

    Ndugu zangu watanzania, sisi wajasiriamali tunaojaribu kufuata sheria na kuwa complied na sheria za Nchi tunapitia mengi sana. Wakati wa JPM ulikuwa ukifanya returns BRELA au mabadiliko yoyote kwenye kampuni yako ulikuwa unapata huduma kwa haraka sana. Nina miezi mitatu nimefile BRELA returns...
  2. N

    Nafasi ya kazi ya Meneja Chama Kikuu cha Ushirika Kyela (KYECU)

    Ndugu wapambanaji wenzangu, hii hapa fursa ya ajira, hii nafasi ni nzuri sana kwa muhitaji wa ajira. changamkia.
  3. N

    DOKEZO Morogoro: Mahashrey na wafanyabiashara wa ufuta wanavyoshirikiana na wafanyakazi wasio waaminifu kuhujumu mfumo wa stakabadhi ghalani

    Mkoa wa Morogoro ni mmoja wa Mkoa wenye uzalishaji mkubwa wa mazao yakiwemo mazao ya ufuta. Ni takribani miaka mitatu sasa Wizara ya Kilimo, Wizara ya Fedha na Mipango, na Wizara ya Viwanda na Biashara zimekuwa zikitoa maagizo kuwa Ufuta wa Morogoro uuzwe kupitia Stakabadhi za Ghala Ili Mkulima...
  4. N

    Job Ndugai alisema itauzwa. Tusibiri kinachofuata baada ya bandari na Loliondo

    Spika aliyelazimishwa kustaafu kwa kusema ukweli au kutabiri yajayo akalazimishwa kustaafu chini ya mtutu wa Bunduki. Haya bandari tushauza. Ngoja tukauze na shamba letu la Bagamoyo
  5. N

    Zanzibar kuendelea kunufaika na karafuu ya Morogoro, wakatazwa isiuzwe kwa ushindani, Waziri wa Kilimo, viwanda SMZ yuko Morogoro leo

    Juhudi za Mkoa wa Morogoro kuwakwamua wakulima wa karafuu kupata mnunuzi mwenye bei nzuri zimegonga mwamba baada ya kulazimishwa kuwa lazima karafuu inayozalishwa Morogoro basi iuzwe kwa SMZ ili wao wauze nje kwa bei kubwa zaidi. Kwa wasiojua, Morogoro vijijini wanazalisha karafuu nyingi kuliko...
  6. N

    Huwezi kufanya sherehe ya harusi kwa mke wa kurithi kama hukuhusika na kifo cha kaka yako

    Katika jamii mbalimbali za Africa na hata kwenye biblia ilikuwa ni sehemu ya tamaduni kwa mdogo mtu kurithi mke wa kaka yake pindi kaka yake anapotokea kufariki dunia. Lakini katika kutimiza mila hizo hakukuwa na harusi, sherehe, shamrashamra, kukusanya watu, kuvipa vyombo vya habari pesa ili...
  7. N

    Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

    Utangulizi wa kunukuu maelezo ya Muhanga aliyetusaidia kujua undani wa hizi operations za kampuni ya Silent Ocean Nchini, zikiongozwa na CEO wake, Saalah Mohammed, mdogo wake na GSM. Hapo nikapokea simu kutoka kwa Salah (C.E.O) au Simba wa Bahari akinitaka ndani ya wiki moja niwe nimetimiza...
  8. N

    Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake, nakupa saa 72

    Kwa leo sitaandika mengi. Najua tambo zako za sasa kuwa katika Serikali hii ya sasa mnaweza fanya lolote na hakuna wa kuwafanya kitu. Najua ulivyojigeuza Serikali na kutaifisha mali na pesa za kijana huyo na ukaahidi utapiga nae hesabu na kumrejeshea kinachozidi na hujafanya hivyo toka June...
  9. N

    Cowiti anusurika kuuawa Tarime na genge la wauaji, wadhurumati, wafanya magendo wakishirikiana na baadhi ya maafisa, asota mahabusu

    Mnamo Tarehe 30 Desember 2022, Majira ya saa 6 usiku, maofisa wa Jeshi la Polisi na Usalama wa Taifa walifika katika Hotel ya PKM Tarime Mjini na kumkamata Ndugu Lameck Cowiti. Operation ambayo ilionekana ya siri maana walimdaka nje ya uzio kabla hajaingia hotelini. Alikuwa akitokea katika...
  10. N

    Vijana kufanya maandamano kumuunga mkono Rais Samia kuelekea 2025

    Vijana wanne kwa kila wilaya wameandaliwa kufanya maandamano Mkoani Dodoma baada ya mkutano mkuu wa uchaguzi wa UVCCM. Maandamano hayo yatakuwa ya kuonyesha vijana wanamuunga mkono Mama Samia awe mgombea pekee wa CCM Mwaka 2025. Pia vijana hao watatoa tamko kali sana kwa wanaompinga Mama Samia...
  11. N

    Kyela: Ubadhirifu na ufisadi chama cha ushirika KYECU

    UBADHIRIFU CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA KYELA (KYECU), NA UVUNJAJI NA UKIUKAJI WA MIONGOZO YA VYAMA VYA USHIRIKA Mimi ni mdau na Mkulima wa Kakao katika Wilaya yetu Kyela, Mkoani Mbeya. Kutokana na ushiriki wangu katika kilimo hadi mauzo, kuna mambo kadha wa kadha ambayo yanatukwanza kama wana...
  12. N

    Anne Makinda kusema 93% wamehesabiwa umetambuaje? Ulikuwa na idadi kabla ya sensa?

    Kamishina wa Sensa, Bi. Anne Makinda amesema kuwa asilimia 93 ya kaya Tanzania tayari zimehesabiwa. Sasa swali langu la msingi ni hili, yeye kajuaje kaya zilizohesabiwa ndio hiyo asilimia 93? Je, alikuwa anajua idadi ya kaya zote nchini kabla ya zoezi la sensa kuanza? Kama alikuwa anajua hiyo...
  13. N

    STAMICO watoa gawio. Nao wamekopa?

    Leo STAMICO wametoa gawio la 2.2 B kwa serikali. Juzi Mama yenu alikuwa anaponda Mashirika kuwa yalikuwa yanakopa ili kutoa gawio kwa Serikali. Sasa naona na yeye anaenda mulemule. Kukaa na mnafiki ni hatari kwa afya na maisha yako.
  14. N

    Morogoro: Mkuu wa Mkoa asitisha mfumo wa stakabadhi ghalani ili kuwabeba walanguzi

    Hii ni habari ya kusikitisha kwa Wakulima na hujuma kubwa toka kwa Mkuu wa Mkoa, mtu aliyetegemewa kuwasaidia wananchi sasa amekuwa mkandamizaji kwa wananchi. Kwa takribani mwezi sasa kumekuwa na juhudi toka kwa wafanyabiashara wahindi na madalali wao wa kuzuia mfumo wa stakabadhi ghalani...
  15. N

    Richard Temu, mlanguzi wa kakao Kyela anayepambana kuua Ushirika ili apate bei ya chini toka kwa wakulima moja kwa moja

    Richard Temu, ni mfanyabiashara mlanguzi wa kakao katika Wilaya ya Kyela, ambaye hulangua kwa bei ya chini toka kwa Wakulima na kuziuza kwa mfumo uliowekwa na Serikali wa Stakabadhi ghalani. Akishazipeleka pia hutumiwa na kampuni za wahindi kupeleka bid yao katika mnada ili waweze kununua na...
  16. N

    Kwanini Tumaini Kweka afanya majukumu ya Mwendesha Mashtaka wa Mkoa na Wilaya katika kesi za Sabaya? Je, ana maslahi binafsi?

    Tumaini Kweka aliteuliwa kuwa Naibu DPP na Mama Samia mwaka jana. Muda mfupi baadae tukamsikia yuko Arusha na akatoa tuhuma lukuki zinazomkabili Sabaya hata kabla hajapandishwa mahakamani. Baada ya kupanishwa mahakamani kuna tuhuma ambazo Kweka alizitoa ambazo hazikuwa kwenye hati ya mashitaka...
  17. N

    Rais kujali uzinduzi wa movie kuliko Siku Muhimu ya Muungano ni aibu kubwa sana

    Leo ni siku muhimu sana katika Taifa Letu. Ni siku ambayo mataifa mawili yaliungana na kuunda Taifa la Tanzania. Cha ajabu Rais huyu tuliyenae kwa sasa hajaona umuhimu yeye na watu wake kuwa apange ratiba zake aweze kuwepo nchini katika siku hii ya leo. Na ni aibu kwa Rais wa nchi kukaa nje...
  18. N

    DVI: Kampuni hewa inayotumia jina la Azam Media na kuchota mabilioni ZBC kinyume cha sheria

    DVI: KAMPUNI HEWA INAYOJIPATIA MABILIONI AZAM MEDIA, IMETUMIA JINA LA AZAM MEDIA NA KUCHOTA MABILIONI ZBC KINYUME CHA SHERIA Ni kampuni ya mfukoni iliyosajiri jina DUBAI, UAE. Inamilikiwa na Mfaransa Gael Lancrenon. Hana Nyaraka halali wala ofisi Dubai, anatumia anuani ya Kampuni ya Ushauri wa...
  19. N

    Tuhuma za ufisadi zinazodaiwa kumpelekea Dkt. Ryoba kubwaga manyanga

    BAADHI YA TUHUMA ZINAZODAIWA KUMPELEKEA DR. AYUBU RYOBA KUJIUZULU Yeye binafsi hana tuhuma za moja kwa moja, anawajibika kwa matumizi mabaya ya ofisi yaliyofanywa na wasaidizi wake. Wasaidizi hao kwa uchache ni Mkurugenzi wa Manunuzi na Mkuu wa Satellite. Tayari baadhi yao wamekuwa wakihojiwa...
  20. N

    #COVID19 Viongozi wa CHADEMA wanahamasisha chanjo ya Corona ila hatuwaoni wakichanjwa

    Ndugu zangu Watanzania. Wakati Bwana Yesu yuko duniani aliwaeleza wafuasi wake kuwa Mafarisayo wameketi kwenye kiti cha Nabii Musa. Wasikilize maneno yao ila wasienende kwa mfano wa Matendo yao. Leo hii maneno hayo yanatimia kwa Viongozi wa Chadema. Wamekuwa wakihamasisha sana juu ya chanjo...
Back
Top Bottom