Dodoma. Zikiwa zimepita siku 496 tangu Job Ndugai ajiuzulu uspika wa Bunge, amesema Waziri Mkuu mstaafu, John Malechela ndiye alimshawishi kuchukua uamuzi huo.
Alitoboa siri hiyo jana katika mazishi ya William Malecela, maarufu ‘Le Mutuz’, mtoto wa Malecela, yaliyofanyika Mvumi, wilayani...
".... Mapema January mwaka jana, mzee wangu Malecela alifika nyumbani kule Kongwa usiku nisivyotarajia na isivyo kawaida. Akataka chai ya rangi huku akinieleza ALIKUJA KAMA KAKA NA ANADHANI KESHO NIJIUZULU USPIKA na mimi nilikubali na AKANITAKA NISIKOSE KUJIUZULU HIYO KESHO ASUBUHI na mimi...
Nina imani na wabunge wazalendo walioko Bungeni ambao hawana hatia juu ya ubadhirifu ulioibuliwa na CAG, hawaungi mkono mafisadi kupewa miezi sita ili hatua kuchukuliwa!
Lakini pia, Karibu 90% ya wananchi hatuungi mkono hoja ya mh Sipika kuyapa miezi sita majambazi ya CCM
Kipindi cha...
Hawa miamba walijuana Kibaha Secondary.
Enzi hizo baba yake Freeman akiwa tycoon mkubwa sana nchini, alikuwa na mahotel Dar, Moshi na Arusha na alikuwa na ukaribu sana na baba wa Taifa mwalimu JK Nyerere.
Job Ndugai alitokea familia fukara kama watanzania wengi ila kichwani zilikwemo.
Kuna...
Spika Mstaafu wa Bunge, Job Ndugai amewataka Watanzania kuacha tabia kutothamini mafanikio au juhudi za watu mbalimbali wanazozionesha katika taifa hasa katika sekta ya biashara, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mgahawa wa Chakula katika Taarafa ya Pandambili Iliyopo njia Kuu ya Kutoka Dodoma...
Mbunge wa Kongwa na Spika wa zamani wa Bunge, Job Ndugai amewataka wananchi kufanya kazi kwa bidii na kujiletea maendeleo badala ya kutumia muda mwingi kulalamika.
Akizungumza wakati wa mkutano wa baraza la madiwani kujadili bajeti ya Wakala wa Barabara Mijini na Vijijini (Tarura), Wilaya ya...
Hizi ni siasa za kushangiliana bila kuulizana maswali, lakini miezi michache iliyopita huyu huyu Samia alichochea kuchukiwa kwa Spika, ambaye ni mbunge alipokosoa tabia ya serikali kukopa. Jana kasema huenda chawa wake watakuvamia ukitumia matusi kumkosoa, mbona Ndugai alipomkosoa alishirikiana...
Hizi shangwe sio za bure,
Mkutano Mkuu wa CCM umekwisha, mengi tumeyaona na mengi tumeyasikia. Sasa tunafahamu ni nani kasema nini na nani anataka nini.
Tumejitoa ufahamu watanzania wote kukubali kuogopa kuiadhibu CCM hata kama inafanya makosa tusiyoyataka. CCM imegeuka Mungumtu, hakuna...
Picha hii hapa chini inaeleza mengi sana (zoom umtazame vema Ndugai).
Ndugai yupo kama hayupo kwenye mkutano mkuu wa CCM (7-8 December 2022). Yaelekea kaburuzwa tu. Hajahudhuria kwa ridhaa yake.
Amejawa na simanzi kubwa. Anaonekana katwezwa, na anatamani ardhi ipasuke aingie mavumbini kuliko...
Muwekezaji wa Kiswidi aliyeshinda tuzo ya Dola za kimarekani milioni 165 ameishawishi Mahakama ya Uholanzi kuishikilia ndege ndege ya Tanzania wakati pingamizi zikiendelea.
Mgogoro huo umetokana na kufutwa mpango wa kuendeleza mashamba ya sukari wilayani Bagamoyo umbao ulikuwa na malengo ya...
Haki ni haki bila kujali maslahi binafsi ya awaye yote. Kwa bahati mbaya tumekuwa wabinafsi tusiotaka kuwa sehemu ya kupigania haki hizo.
Tumekuwa kama wapenzi watazamaji wengine wanapojaribu kuuwasha moto.
Imekuwa fulani kasema hivi, fulani kasema vile. Sisi tumesema nini fulani anaposema la...
Kwa skyrocket hii ya kukopa na misaada naanza kumwelewa Spika Mstaafu Job Ndugai kuwa kuna siku nchi itapigwa mnada.
October 1: Billion 978 Kutoka Abu Dhabi.
October 11: Trillion 4.9 Kutoka Benki ya Dunia.
October 26: Billion 380 Kutoka Umoja wa Ulaya (EU).
October 27: Billion 310 Kutoka Korea...
"Ndugai: Kuna wanaotoa maoni wabunge wapimwe afya ya akili
Spika wa zamani wa Bunge, Job Ndugai amesema kumekuwa na maoni wabunge wapimwe afya ya akili kabla ya kwenda kuomba ridhaa ya kuwawakilisha wananchi bungeni akieleza kuwa jambo hilo ni la kuwaachia wananchi ili kuona kama lina...
Serikali ina kula matapishi mabaya ya uchaguzi mbovu, kununua wabunge na kunyamyasa wapinzani. Lakini bunge nalo linakuwa matapishi ya Ndugai ya hawa Covid 19 ambao wanaharibu heshima ya bunge kiasi kwamba imekuwa the comedy many series.
Ushauri wangu kwa Rais Samia fanya vitu vyako wewe...
Spika Mstaafu wa Bunge la 11, Job Ndugai amejikuta katika aibu kubwa baada ya wanachama wa CCM Wilaya Kongwa katika JUMUIA YA WAZAZI NA UVCCM kuameamua kujiondoa katika mfumo wa ubabe, kupelekeshwa, amri za hapa na pale za nani achaguliwe katika uongozi wa CCM Wilaya Kongwa.
Katika chaguzi...
Aliyekuwa Spika wa Bunge, Job Ndugai anajipanga kumuachia jimbo la Kongwa mkewe Bi. Fatma Mganga ambaye ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma.
Ndugai ameanza kampeni na figisu hizi kwa kupanga safu ya viongozi wa CCM ambapo, amemlazimisha aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya Bwana Abed Mussa...
Mbunge huyu tangu ajiuzulu uspika, amekuwa haonekani Bungeni na kama nitakuwa sahihi, hajaonekana hata mara moja.
Swali langu ni je, katika vikao via Bunge vinavyoendelea hivi, sasa, amehudhuria hata mara moja?
Kama hajahudhuria mpaka leo, hastahili kuvuliwa ubunge?
Kama alikwenda Israel...
Kauli ya aliyekuwa Spika wa Bunge, Job Ndugai ya kuwataka viongozi wa kuchaguliwa kujipima kabla ya kugombea tena nafasi hizo katika chaguzi zijazo ili kuepuka aibu ya kushindwa, imewaibua viongozi wa siasa.
Ndugai, ambaye ni Mbunge wa Kongwa (CCM), alisema yeye hatagombea tena nafasi hiyo...