habari zenyu bhana.......dhumuni la uzi huu ni kuomba wadau wote tupeane nondo za jinsi ya kutumia ai kiuchumi na ai gani zinafaa ambazo zinaweza kutumika kama side hustle/kipato cha ziada au ajira binafsi. karibuni
Wananchi mkoani Mwanza waendelea kunufaika na huduma mbalimbali zinazotolewa kupitia Kliniki ya Ardhi, ikiwemo elimu, ushauri na utatuzi wa changamoto zinazohusu masuala ya ardhi.
Kliniki hiyo inaendeshwa katika mikoa yote Tanzania Bara ambapo ilianza Septemba 22 na itahitimishwa Oktoba 03...
Mradi wa umeme wenye thamani ya Sh bilioni 8.4 unaotekelezwa na TANESCO katika Jibondo, Mafia – Pwani, umefikia asilimia 82 ya utekelezaji. Mradi huo unatarajiwa kuwafikishia umeme wananchi zaidi ya 3,000 na kuchochea shughuli za uvuvi, biashara pamoja na uchakataji wa mazao ya baharini, huku...
WANAFUNZI 150 WA KITANZANIA KUNUFAIKA NA FURSA YA ELIMU YA JUU ALGERIA
Tanzania imepata nafasi 150 za ufadhili wa masomo ya elimu ya juu nchini Algeria kwa mwaka 2026, zikilenga wanafunzi waliofanya vizuri zaidi katika masomo ya sayansi.
Akizungumza na waandishi wa habari Septemba 11 jijini...
Taarifa zinaonesha kuwa zaidi ya ekari 15,000 za ardhi ya misitu ziko katika mchakato wa kuondolewa hadhi ya misitu (degazettement), hatua inayoweza kufungua njia ya ardhi hiyo kupewa hati miliki.
Maeneo yanayotajwa ni Mount Elgon Forest – ekari 11,483, Turbo Forest – 3,069, Kakamega Forest...
Tanzania inatarajiwa kuingiza zaidi ya Sh bilioni 10 kutokana na mauzo ya biashara ya kaboni baada ya Serikali kuidhinisha miradi minne itakayouza tani milioni 4.2 za kaboni katika soko rasmi la kimataifa la biashara ya Kaboni.
Tani milioni 4.2 za kaboni zilizothibitishwa zina thamani ya zaidi...
Wakati huu ambao vita vinaendelea nchini Iran inayoshambuliwa na Marekani na Israel, kumekuwa na ongezeko la bei za mafuta na huenda ongezeko hilo likaendelea maadam vita bado vinaendelea.
Mara tu mashambulizi yalipoanza mwishoni Februari hadi mapema Machi 2026 bei ya mafuta ilipanda kwa...
Waliokuwa karibu na Hayati Mwalimu Nyerere wanasema Mwalimu Nyerere alikuwa tayari kumsamehe kiongpzi yeyote akifanya makosa mengine, lakini siyo makosa matatu. Ilikuwa ukifanya moja ya makosa haya matatu, hata ungekuwa nani, atakufurusha. Makosa hayo ilikuwa ni:
1. Kupalilia chuki za kidini.
2...
Tanzania Kunufaika na Fursa Lukuki Kupitia Ushirikiano wa Afrika na Singapore
Miongoni mwa maeneo ya ushirikiano ni masoko ya mazao ya kilimo, elimu na mafunzo kwa vijana, nishati jadidifu, na uchumi wa kidijitali
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeshiriki hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Tano...
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
TAKRIBANI watu milioni 1.5 kutoka Mikoa ya Iringa, Njombe, Ruvuma na Lindi wanatarajia kunufaika na mradi wa unaolenga kuboresha matumizi ya endelevu ya ardhi na kukuza uchumi wa ndani (FORLAND) wenye thamani ya Euro milioni 20.
Mradi huo ambao wa miaka minne...
Tanzania imesesema ipo tayari kwa ajili ya Kuwezesha Wananchi kunufaika na fursa za akili unde ikiwemo kuwa na mifumo ,pamoja na miundombinu itakayo linda faragha na usalama wa taarifa binafsi wakati wa matumizi ya akili unde.
Akizungumza kwa niaba ya serikali ya tanzania katika jukwaa la...
Wachimbaji wadogo wa madini ya shaba wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma wametakiwa kujiunga katika vikundi ili waweze kunufaika na fursa mbalimbali zinazotolewa na Mradi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP), unaolenga kuwaendeleza wachimbaji wadogo wa madini ya kimkakati, ikiwemo...
Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imeendelea kutoa kipaumbele kwa maendeleo ya wananchi kwa vitendo, hususan kwa kuwainua kiuchumi kupitia mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya ndani ya halmashauri isiyo na riba.
Mikopo hii imetolewa kwa makundi maalumu ya...
SHINYANGA KUNUFAIKA NA MIRADI YA REA, WAUZIWA KWA RUZUKU MITUNGI 13000
📌Kila wilaya kunufaika na mitungi ya gesi 3,255
📌REA yachochea ushiriki wa wanawake katika shughuli za kiuchumi
📌Mradi kupunguza ukataji wa miti unaosababisha mabadiliko ya tabianchi
Wakala wa Nishati Vijijini (REA)...
Wasaalam wakuu, usiku wa jumamos nilitoka kwenda kuchek gam ya Madrid na Barcelona huku nikiwa natumia Moja baridi Moja moto baada ya game nikawa narudi home wakati nipo njiani ni main load nilikutana na kundi la watu zaidi ya sita (Police jamii) mda huo skuwafaham walinisimamisha na kunihoji...
Tanzania kunufaika na mpango wa maendeleo wa Mattei kwa ushirikiano na UNDP
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo ameshiriki katika mjadala wa ngazi ya juu wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) jijini Roma, Italia ukilenga...
MBUNGE WA JIMBO LA NGARA MH. NDAISABA RUHORO AKONGA MIOYO YA WAKULMA WA KAHAWA
Mbunge wa Jimbo la Ngara Mheshimiwa Ndaisaba George Ruhoro amehudhuria Mkutano Mkuu wa Chama Cha Ushirika Ngara Farmers Cooperative Society 2024-2025.
Akizungumza na Wakulima pamoja na Wanachama wa Ngara Farmers...
Kwenye masuala yanayohusu mikopo, Leverage ni neno linalomaanisha ‘getting more from less’, maana yake unaweza ukawa na shilingi elfu kumi mfukoni mwako halafu ukaitumia hiyo elfu kumi yako kupata elfu kumi na mbili kutoka kwenye taasisi ya fedha kwa njia ya mkopo.
Kunufaika na ‘Leverage’...
Wakulima wa miwa wa bonde la Kilombero wanatarajiwa kunufaika na ubunifu sambamba na teknolojia za kisasa za kilimo zitakazooneshwa kupitia maonesho ya siku ya wakulima wa miwa Kilombero, yatakayofanyika kuanzia tarehe 10 hadi 12 Oktoba 2024.
Maonesho haya ya siku tatu yanaungwa mkono na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.