nokwenumuya
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 810
- 2,851
Tumaini Kweka aliteuliwa kuwa Naibu DPP na Mama Samia mwaka jana. Muda mfupi baadae tukamsikia yuko Arusha na akatoa tuhuma lukuki zinazomkabili Sabaya hata kabla hajapandishwa mahakamani.
Baada ya kupanishwa mahakamani kuna tuhuma ambazo Kweka alizitoa ambazo hazikuwa kwenye hati ya mashitaka.
Tumaini Kweka kama Naibu DPP ofisi zake ziko Dodoma. Na kila Mkoa una Afisa mwendesha mashitaka kama ilivyo katika kila Wilaya.
Lakini katika hizi kesi za Sabaya hata iliyofungukiwa Moshi juzi, katoka Dodoma kwenda kuisimamia japo kama Wakili wake alivyoeleza haijafuata utaratibu wa kisheria.
Maswali ni mengi ya kujiuliza maslahi binafsi aliyo nayo huyu Kweka na kesi za Sabaya hadi atumie Rasilimali za serikali na kuacha ofisi yake kwenda kufanya majukumu yanayopaswa kufanywa na waendesha mashitaka wa mikoa na wilaya.
Pia wengi wanaomlalamikia Sabaya ni wachaga akina Mbowe na magenge yao mengine ambayo Sabaya alishugulika nayo ya watu wanaosambaza pesa bandia, madawa ya kulevya na wezi wa magari. Ambao wengi tunajua makao yao ni jimbo la Hai.
Na yeye pia ni mchaga wa Hai. Je hakuna mkakati wa hawa watu wa pamoja kama kumuumiza sababu aliumiza biashara zao haramu?
Sidhani kama Sabaya pekee ndio alifanya makosa, mbona wengine hawafanywi hivyo?
Mwisho nimsihi Ndugu Tumaini Kweka kuwa kila pando analopanda atalivuna. Naamini anatumika na wachaga wenzie. Lakini ajue kuwa kila analofanya mwanadamu atatoa hesabu mbele za Mungu.