Dar es Salaam. Saa chache baada ya kuibuka kwa mjadala katika mitandao ya kijamii juu ya mchele ulioongezwa virutubisho ulioletwa Tanzania kutoka nchini Marekani, Waziri wa Kilimo Hussein Bashe, amefunguka akisema waagizaji hawakupaswa kuleta mchele huo kutoka nje, kwa kuwa Tanzania ina hazina...
Hivi Nchini Tanzania hakuna Wizara ya Viwanda na Biashara , ambayo ndio Mhusika halisi wa Biashara na Viwanda?
Naandika haya kwa Uzoefu, mimi ni Mfanyabiashara na namiliki Kiwanda (siyo cha sukari). Sijawahi kuelekezwa kusaini nyaraka yoyote kwenye Wizara ya kilimo angalau mara chache...
Moja ya tatizo kubwa kwenye kilimo ni mawaziri na viongozi kwa ujumla kutojua chochote kuhusu uhalisia wa kilimo. Hili ni tatizo toka uhuru wetu.
Bashe ni mmoja wa mawaziri aliyejitahidi kuleta ubunifu kwenye kilimo, kafanya kaz nzuri lakini amekosa kujua uhalisia wa kilimo. Ndiyo maana...
Juhudi za Mkoa wa Morogoro kuwakwamua wakulima wa karafuu kupata mnunuzi mwenye bei nzuri zimegonga mwamba baada ya kulazimishwa kuwa lazima karafuu inayozalishwa Morogoro basi iuzwe kwa SMZ ili wao wauze nje kwa bei kubwa zaidi.
Kwa wasiojua, Morogoro vijijini wanazalisha karafuu nyingi kuliko...
Kwanza nakupongeza kwa kazi nzuri unayofanya wizara ya kilimo. Mimi ni kati ya wachache niliyewahi kutoa maoni kuwa Upewe Wizara ya kilimo na Alhamdulilah Mh. Rais akakuona na ukapewa uwaziri kamili.
Kwakuwa nakujua wewe u mtu mchapakazi sana na unaejitoa usiku na mchana bila kuchoka, napenda...
Miaka miwili ya Waziri Bashe imekatika; Kwa tathimini ya kisekta Nani amemwelewa anatupeleka wapi? Je, unaona picha ya nchi kuwa na kilimo kama uti wa mgongo?
Tukimkumbusha kwamba UPO uwezekano akawa anamilikisha ardhi kwa wageni akiamini anainua kilimo tutakuwa tunakosea? Ana uhakika kwamba...
Wazir wa Kilimo ameagiza Mshindo Msolwa na wafanyakazi wengine wanosimamia ghala la kuhifadhi Mbolea wakamatwwe baada ya kubainika wamehifadhi mchanga unaofhaniwa unatumika aidha kama bosheni au kuchakachua Mbolea inayopelekwa Kwa wakulima.
Mifuko zaidi ya 700 imekutwa ndani ya ghala Hilo...
Wakuu nampongeza mh Bashe waziri wa kilimo kwa mengi aliyoyafanya kilimo, isipokuwa Kwa Leo nampongeza kwa msimamo wake wa kutetea wakulima juu kuuza mazao Yao waliyolima kwa gharama zao kuuza kwenye soko lolote Le ye tija kwao ndani na nje ya nchi.
Wakuu, lazima tutambue kwamba kwa sasa kilimo...
Hii ni mojawapo mfanyabiashara wa bara anyang'anywa tenga 30 za ndizi na faini ya shilingi 50,000 kwa kosa la kuingiza ndizi Zanzibar
USSR
====
Alichoandika Askofu Mwamakula katika Ukurasa wake wa Facebook
MJANE WA DAR ES SALAAM ANYANG'ANYWA TENGA 30 ZA NDIZI ZANZIBAR KWA AMRI YA WAZIRI WA...
Imetokea kasumba mbovu ambayo mwisho wa siku ninaiita cheap politics na divide and rule..., Waziri amekuwa akijinasibu mtetezi wa wakulima kwamba hawapangii Bei na kuonyesha kana kwamba walaji ni wanyonyaji ambao wanataka kunyonya jasho la mkulima.
Lakini ukiangalia kwa marefu na mapana hawa...
Sijawahi kufuatilia kwa ukaribu kazi za huyu jamaaa anapotembelea wakulima hadi nilipoona akaunti ya wizara ya kilimo huko Tiktok.
Kiukweli HUSEIN BASHE anafanya kazi nzuro sana ya kuwanyanyua wakulima! Ni vile tu Awamu ya TANO ilivuruga mifumo mingi sana hadi kwenye kilimo na hii inapelekea...
Ndugu mheshimiwa Waziri wa Kilomo Hussein Bashe,Kumekua na utata mkubwa juu ya ushonaji wa gunia za Lumbesa hasa kwa mazao ya vitunguu.
Wakati wa mavuno.Mheshimiwa ulitoa tamko Mkoani Mbeya msimu wa nanenane ukiwa na mheshimiwa number one,juu ya katazo la ushonaji wa magunia makubwa (Lumbesa)...
Mpaka sasa sijajua ni kigezo kipi kilimpa Uwaziri wa kilimo kwa sababu ni moja ya Mawaziri wa hovyo sana wanao shinda kutafuta sifa.
Bashe aliruhusu mahindi yaende sana nje, na kwa sasa cha ajabu Wakulima ndio wabao lia njaaa, na wenye mahindi ni Madalali.
Sehemu kama Arusha gunia ni sh 150...
Rais Lazarus Chakwera amefanya maamuzi hayo kwa Lobin Lowe na Naibu Waziri Madalitso Kambauwa Wirima sababu ikiwa ni usimamizi mbovu na uzembe.
Wizaŕa hiyo inashutumiwa kwa kuchelewesha utekelezaji wa mpango ambapo wakulima wa vijijini wanapatiwa mbolea ya ruzuku na pembejeo za kilimo.
Lowe...
Mkuu
Bei ya debe la mahindi kwenye baadhi ya vijiji nchini ni 25000/= hadi sasa, watu wameshaanza kula kwa kununua unga kwa kilo sh.1700 hadi sasa na hii ni Oktoba hatujui January hali itakuwaje!
Fungeni mipaka hali sio nzuri kabisa, watu wasije kufa njaa, mfuko wa sembe ushafika sh.37000/=...
Mheshimiwa waziri wa kilimo salam,
Mimi ni mkulima wa hali ya chini tu lakini kwakweli kumekuwa na kero kubwa ktk maeneo kadha kwenye vituo vya kupata mbolea kwa bei ya ruzuku.
Mtu unaenda leo kutwa inaisha kwajili ya kuandikisha details halafu siku inayofuata unasimama foleni toka asubuhi...
Mbali na tamko la waziri la waziri wa kilimo Mh. Hussein Bashe kutoa bei elekezi ya mbolea kuwa ifikapo tarehe 15/08/22 maduka yote nchini yanayouza pembejeo za kilimo yawe yameshusha bei ya mbolea na kuuza kwa bei elekezi ya serikali ili kumpatia nafuu mkulima.
Lakini hadi sasa...
CCM YAMUAGIZA WAZIRI WA KILIMO KUMUONDOA MRAJISI VYAMA VYA USHIRIKA TABORA
Ni kutokana na kudaiwa kuwa chanzo cha kukwamisha usajili wa Vyama vya msingi kwa wakulima wa tumbaku
Shaka apigilia msumari wa mwisho...CCM haitokubali kuona mkulima akiendelea kuteseka*
Na Mwandishi Wetu, Tabora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.