muone

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chizi Maarifa

    Mnaona hii? Sasa endeleeni kunyonya papuchi muone kitakachowapata

    Kuna wanawake wana papuchi za moto. Mpaka zinaunguza vifungashio. Angalia mwenyewe. Ama utasema ni nini? Tindikali? Ndo linatokea huko. Unaona chupi ilivyoungua? Sasa wewe kwa ubwege wako unapiga deki kumfurahisha. Mfurahishe. Sisi tunaendelea kutumia tu kifaa mahsusi. Unajua miaka flani...
  2. The Burning Spear

    CCM Wanajua kuigiza zaidi ya bongo movie, muone huyu

    Check haya maigizo..MTU anatafuta kula 2025. Hatuwezi kuendelea Hadi yesu anarudi.
  3. Moronight walker

    Mwanamke mwenye mtoto/watoto, unapotafuta mume tafuta ambaye atakubaliana na hali yako

    Habari za j2 wana JF. Naitaji kuzumza hili kidogo kwa single mothers, Unapokuwa unatafuta mume wa kuingia nae kwenye ndoa tafuta ambaye atakubaliana na hali yako kwa sababu wewe unamtoto tayari. Sasa akikataa mtoto wako unataka aende wapi? Kuna ndugu yetu mmoja ni single mother mwaka huu...
  4. mtwa mkulu

    Hakuna kama mama kwenye mageuzi ya shirika la umeme

    Hivi Kile kitendo cha Januari makamba kusaini mkataba wa matrilioni ya fweza kwaajili ya kukarabati miundombinu ya umeme ni mimi peke angu ninae kikumbuka? Hakika kiwango hiki cha fweza ni kingi sana. Mama anaupiga mwingi sana. Hakuna kama mama kwenye mageuzi ya shirika la umeme. Hakika mama...
  5. N

    Job Ndugai alisema itauzwa. Tusibiri kinachofuata baada ya bandari na Loliondo

    Spika aliyelazimishwa kustaafu kwa kusema ukweli au kutabiri yajayo akalazimishwa kustaafu chini ya mtutu wa Bunduki. Haya bandari tushauza. Ngoja tukauze na shamba letu la Bagamoyo
  6. peno hasegawa

    Video: Makonda akitoa watu mapepo

    Msitoe lugha chafu tafadhali.
  7. Chizi Maarifa

    Huyu Mchezaji Hafai, na Ataenda Motoni kwa Dhambi hii. Subirini tu muone

    Clatous Chotas Chama. Jamani huyu mchezaji ni muongo, ni muongo sijapata kuona. Muongo sana. Na uongo ni dhambi ambayo katika amri kumi ipo. Usiseme Uongo. . Chama anaweza kukudanganya kuwa anaenda mbele kumbe haendi. Anarudi nyuma. Anaweza kukudanganya kuwa anapiga kumbe hapigi. Anaweza...
  8. maroon7

    TANROADS njooni muone aibu

    Sitii neno. Hawa ni majirani zetu tu hapo Kenya na Uganda (Entebbe Kampala express way picha ya chini). Nikifkiria kinachoendelea pale Mbezi mwisho napata hasira sana.
  9. The Sheriff

    Epuka kujitibu mwenyewe kwa taarifa za mtandaoni. Muone mtaalam wa afya kila unapopata dalili mbaya za kiafya

    (Picha: The Sheriff) Umewahi kupata dalili ya afya ambayo haijawahi kutokea hapo awali na ukaanza kujiuliza ni nini kinachoweza kuwa tatizo? Of course, huenda jibu lako ni kama langu pia, "Kabisa!" Sasa basi, inapotokea hivi hatua ya kwanza inayopaswa kufanyika ni kuwasiliana na mtoa huduma wa...
  10. T

    Mnaofikiri kumnanga Hayati Magufuli ndio kula yenu basi subirini muone yatakayotokea

    Hayati Magufuli Mungu amlaze mahali pema peponi. Amekufa na siri nzito za Taifa hili na ameacha cheche za mapinduzi ndani ya watanzania na cheche hizi hazito waacha watu salama wanao dhani kifo cha Hayati Magufuli ni fursa kwao. Hili ni kama ndoto Magufuli atafufuka na atakapo fufuka kila mtu...
  11. mathsjery

    Developers na Wadau wengine, njooni muone.

    Mnalionaje hili? kuna mtu alimfata Developer akamwambia kuwa ana idea waitengenezee software, Developer akamwuliza tafiti uliyofanya iko wapi? MDAU AKABAKI ANANG'AANG'AAA MACHO TU BAADA YA MUDA AKAMJIBU ETI, BASI ACHA TU NITATAFUTA DEVELOPER MWINGINE WEWE UNA MAMBO MENGI. Sasa mtu kama huyu...
  12. Matendo Andrew

    Ifike mahali Trafiki muone aibu

    Mimi najua serikali haijawahi kulala lakini mbona kuna mambo ya msingi sana hua yanazembewa lakini hili la jamaa hawa kukaa sa kumi na moja alfajir eti kuvizia anaepita na taa nyekund, aaaah sio kweli aisee. Basi hata faini moja hapo hawatoagi aisee ni kuzunguka mbuyu kwakwenda mbele Vingunguti...
Back
Top Bottom