Genge music, or genge, is a genre of hip hop music with additional influences from dancehall music that had its beginnings in Nairobi, Kenya. The name was coined by the producer Clemo and popularized by Kenyan rappers Jua Cali and Nonini who started off at Calif Records, and is commonly sung in Sheng (Swahili slang), Swahili or local dialects. The term genge is a sheng word for "a group or a mass of people".
Naam kwa mtu unayetaka kuishi kiungwana bila makuu,
Yaani mtu usiye na tamaa na anasa.
''Decent kind of life,''
Wazo ni nje ya mji pahala kwenye makazi mapya ya raia.
KImsingi usubuhi unafungua unafanya uswafi unafyagia fyagia then unarusha tumaji kuondoa vumbiy...kama ni tumaji twa upako nayo...
Nahitaji msaada seriously niliweza kua na biashara mahali na ilikua kiasi cha kuweza kuitegemea na kua na ndoto. kwa bahati mbaya wakati wa maandamano mwaka jana niliibiwa kila kitu. Hio hali ilinipelekea kwenye frustration mbaya. Namshukuru Mungu baada ya kukaa sawa kisaikolojia na kukubali...
Tusubiri yajayo. Hawa watu hawaogopi hasira ya wananchi, hawana aibu na wamejaa uovu mwingi kiasi kwamba mioyo yao huenda imegeuka rangi kuwa myeusi.
Sintashangaa baada ya muda fulani kusikia wamemfungulia Dr Nchimbi kesi ya uhaini!
Maafisa wa usalama wamewakamata watu 15 wanaoshukiwa kuwa wanachama wa genge la uhalifu katika operesheni ya pamoja iliyofanyika Kaunti ya Kisumu.
Operesheni hiyo ilifuatia taarifa za kijasusi kwamba kundi la watu waliokuwa na silaha za kijadi lilikuwa likisafiri kuelekea Kisumu kupitia...
Wadau za asubuhi? Naomba kuuliza je ccm na genge lao la watekaji, mauwaji, mafisadi na ma-cartels ya mafuta wanamuogopa Heche zaid ya nyuki Kwa nhegele? Maana Heche akitoa moja tu hilo genge lote utaliona linapuyanga hovyohovyo kama chizi aliyesahau njia.
Wachimba Dawa FC ni timu hodari kwa kujisaidia haja kubwa kwenye viwanja vya watu.
Tarehe 12 August, 2026 ndiyo ile siku ambayo rekodi ya timu kufungwa mabao double digit itaandikwa.
Najua humu kuna wachambuzi uchwara wa mpira, ila swali langu ni kwamba je wataingiza timu?
Kiongozi mmoja ambaye sasa ni hayati, ambaye alikuwa na nafasi kubwa wakati wa utawala wa Nyerere, ambaye ndiye aliongoza timu ya kukamilisha muungano wa Tanganyika na Zanzibar, miaka michache kabla ya kufa kwake, alisema kuwa kinachoitwa muungano wa Tanganyika na Zanzibar, haukuwa muungano...
Maana yake Kuna Ombwe kubwa linatengenezeka .
Sina Uhakika Tena Kama Askari Barabarani wanaweza Kuyasimamisha Magari yenye hizi namba.
Hawawezi kwa sababu Vichwani mwao na wao wanaamini ni ya Akina Abduli.
Kiasi kwamba huu uwazi , Umetengeneza Mazingira Mazuri kwa WATU WABAYA .
Leo hiii...
Umoja wa Afrika (AU) umetangaza kumteua Rais mstaafu wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, kuwa Mwakilishi Maalum wa AU kwa Ukanda wa Pembe ya Afrika na Bahari ya Shamu.
Mwenyekiti wa Tume ya AU, Mahmoud Ali Youssouf, amesema Kikwete ataongoza juhudi za kushughulikia changamoto za kisiasa, amani...
TANROADS na kwa TARURA na Jiji ukienda katika mataifa yote, Dar kwa mfano, kuna zile kampuni za kukamata rwong parking, zile kampuni sijui kama mmeshawahi kujua wanachopata wao na mnachopata nyie, lile ni genge la rushwa, ni kubwa sana, vibaka na watu ambao hawahusiani ndio wanaendeleza hizo...
Mahakama ina kanuni, taratibu na miongozo katika kuendesha kesi. Na katika taratibu hizo, mawakili wote huhesabika kama ni maafisa wa mahakama wanaotakiwa kuwa mfano katika kuzingatia na kuheshimu taratibu zote za mahakama.
Leo mawakili wa Serikali kwenye kesi bandia dhidi ya Lisu, wakili wa...
Huo ndiyo ukweli ndiyo maana funga funga ya wakina Lissu inaendelea, utekaji usio na tija unaendelea, rushwa inaendelea, undugu kwenye uongozi unaendelea , upendeleaji wa vijana wa Kizanzibari unaendea, mikataba bila ufuatiliaji ya kifisadi inaendea, mauaji ya vijana mpaka leo hakuna mwenye...
Rais ni mfanya kazi za ndani wa muda na sio mmiliki wa nchi hii, samia na genge lake wanajaribu kutaka kuiteka nchi kwa mauwaji na utekaji wa raia.
Lazima ujiulize kwanini wanateka na kuuwa watu na kukamata watu hovyo hovyo. Hatutaki kumilikiwa sisi ni watu huru.
vyama vya siasa sijui watu...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imetangaza kuwatafuta washtakiwa Alex Msama Mwita na Benny Mwita Sammoh wanaokabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi ikiwemo kuongoza genge la uhalifu, kughushi, kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu pamoja na utakatishaji fedha kupitia shauri...
Aweso hii Gaza ya Kusini anzia pale Over Mataa mlipoweka wanajeshi wa Uganda wale shuka mpaka Mbuzi Online Suka mlipoua boda akiwa na abiria ingia na hiyo njia hapo vuka uwanja mbele dukani mlipoua mtu akiwa dukani nenda mbele kidogo pandisha kimlima hayo maeneo mnafungua maji masaa 6 tena muda...
Unaweza usione uzito wa kauli hii leo.
Tuendelee kiwaamini hawa wavaa kaundasuti, wavunja tofali wa vichwa (badala ya akili) na wazee wa shuruti bila sheria kwamba watakulinda.
Dawa ya jeuri ni kusudi....
Baada ya Maduro, kituo kinachofuata ni......
Usiseme sijakutonya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.