Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake, nakupa saa 72

nokwenumuya

JF-Expert Member
Jun 29, 2019
810
2,851
Kwa leo sitaandika mengi.

Najua tambo zako za sasa kuwa katika Serikali hii ya sasa mnaweza fanya lolote na hakuna wa kuwafanya kitu.

Najua ulivyojigeuza Serikali na kutaifisha mali na pesa za kijana huyo na ukaahidi utapiga nae hesabu na kumrejeshea kinachozidi na hujafanya hivyo toka June 14, 2022.

Hata kama mnasema Serikali ya sasa inawabeba basi iheshimuni japo kidogo kwa kutoifedhehesha.

Kumbuka kama ilitokea Serikali ikawafanya kuwa na adabu basi siku hazigandi.

Kumbuka kaka yenu mkubwa alikuwa akifanyia wanadamu wenzie ukatili lakini alimwagiwa tindikali na haohao mnaowaona wanyonge, na sasa anaishi kama panya maana haonekani in Public.

Najua mambo yote kampuni yenu inayofanya hapo kariakoo, hivyo masaa 72 yakipita bila kutafuta suluhu na kumpa huyo kijana Haki yake basi nitaaanika kila kitu hapa hadharani.

Naamini nikishaanika itakuwa aibu kwako na kampuni yako, hata kama Serikali ya sasa haitawachukulia hatua basi dunia itakuwa imejua mnayofanya gizani.

Vilevile mtapoteza heshima mliyonayo kama Silent Ocean kwa watu wasiowajua.

Na taarifa zenu tutamkabidhi Mwenyekiti wa Tume ya Haki Jinai, hata akipelekewa na asichukue hatua kwa kampuni yenu zitakuwa zimeingia kwenye record za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mengi nitaandika baada ya hayo masaa 72 kama utaendelea kuufanya moyo wako mgumu. Naamini juhudi zote za kidiplomasia zimekwishafanyika na umepuuza eti kwa kutamba hivi sasa serikali ni ya kwenu.

Tunakubali na kujua hayo yote brother, ila nikueleze huo unafiki wenu wa kujidai watu wema mbele za wanadamu huku mkiwatendea Watanzania hiyana basi una mwisho wake.
 
Chuki zako binafsi tu na matajiri. Kama una ushahidi kwanini usiende mahakamani? huna mali anayoweza kuingangania salaa wala nini. Mwache stese hata nyie masikini wakati wa JPM mulijiona kama ma alst born wa Rais mukajipiga kifua na kujiita wanyonge na wazalendo
ndio shida unapokuwa kwenye jukwaa na wake za watu, wewe rainbow acha kutetea ujinga maana huujui, au ndio wewe Salaah? nikueleze tu hakuna yaliyojificha ambayo hayatawekwa wazi hapa.
 
sasa mbona unamtishia nyau,,, kama njia zote zimeshindikana kwanini usiweke hicho unachoita uchafu hapa? unafikir salaa atasoma haapa? au unafikiri anatishika na wewe? Wachafu hawachafuki boss
 
Chuki zako binafsi tu na matajiri. Kama una ushahidi kwanini usiende mahakamani? huna mali anayoweza kuingangania salaa wala nini. Mwache stese hata nyie masikini wakati wa JPM mulijiona kama ma alst born wa Rais mukajipiga kifua na kujiita wanyonge na wazalendo
Sasa apeleke mahakamani vipi wakati ushaambiwa serikali ipo mfukoni mwa Salaah, haki ataipata hapa hapa, huko mahakamani wote wameshanunuliwa. Arudishe mali za watu au alipuliwe, ni masaa 72 tu kapewa
 
Kwa leo sitaandika mengi.

Najua tambo zako za sasa kuwa katika Serikali hii ya sasa mnaweza fanya lolote na hakuna wa kuwafanya kitu.

Najua ulivyojigeuza Serikali na kutaifisha mali na pesa za kijana huyo na ukaahidi utapiga nae hesabu na kumrejeshea kinachozidi na hujafanya hivyo toka June 14, 2022.

Hata kama mnasema Serikali ya sasa inawabeba basi iheshimuni japo kidogo kwa kutoifedhehesha.

Kumbuka kama ilitokea Serikali ikawafanya kuwa na adabu basi siku hazigandi.

Kumbuka kaka yenu mkubwa alikuwa akifanyia wanadamu wenzie ukatili lakini alimwagiwa tindikali na haohao mnaowaona wanyonge, na sasa anaishi kama panya maana haonekani in Public.

Najua mambo yote kampuni yenu inayofanya hapo kariakoo, hivyo masaa 72 yakipita bila kutafuta suluhu na kumpa huyo kijana Haki yake basi nitaaanika kila kitu hapa hadharani.

Naamini nikishaanika itakuwa aibu kwako na kampuni yako, hata kama Serikali ya sasa haitawachukulia hatua basi dunia itakuwa imejua mnayofanya gizani.

Vilevile mtapoteza heshima mliyonayo kama Silent Ocean kwa watu wasiowajua.

Na taarifa zenu tutamkabidhi Mwenyekiti wa Tume ya Haki Jinai, hata akipelekewa na asichukue hatua kwa kampuni yenu zitakuwa zimeingia kwenye record za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mengi nitaandika baada ya hayo masaa 72 kama utaendelea kuufanya moyo wako mgumu. Naamini juhudi zote za kidiplomasia zimekwishafanyika na umepuuza eti kwa kutamba hivi sasa serikali ni ya kwenu.

Tunakubali na kujua hayo yote brother, ila nikueleze huo unafiki wenu wa kujidai watu wema mbele za wanadamu huku mkiwatendea Watanzania hiyana basi una mwisho wake.
Tuombe ukombozi mwingine
 
Sasa apeleke mahakamani vipi wakati ushaambiwa serikali ipo mfukoni mwa Salaah, haki ataipata hapa hapa, huko mahakamani wote wameshanunuliwa. Arudishe mali za watu au alipuliwe, ni masaa 72 tu kapewa
ni sahihi, huyo kijana alienda kushitaki Central Polisi, maafisa wa polisi wakamuambia hata sisi tuna familia na tumepigiwa simu nyingi sana kuhusu hii kesi hivyo hatuwezi fungua mashitaka na kuharibu kazi zetu. wakamsihi tu aende kutafuta namna ya kumalizana nae wao hawana uwezo huo.
 
kumbe unajua ana tuhuma hata wewe? kwa hiyo unajua ni mhalifu? sasa kama unajua ni mhalifu unasemaje namchukia?
Ndio maana nimekuambia mchafu hachafuki. Tuhuma sio uhalifu, tuhuma ni tetesi tu.

Nchi hii hakuna mafanyabiashara ambaye hana Tuhuma hata huyo ndugu yako aliyefilisiwa kama ukitaka kuwa muwazi tuambie ukweli kwann ilifikia hapo lazima walidhulumiana
 
Back
Top Bottom