Search results

  1. Abraham Lincolnn

    Hii ni kitu gani kwenye treni hii ya kisasa?

    Je, hizi ni carrier ( keria) tulizozoea kuziona kwenye mabasi ya zamani kwa ajili ya kubebe mizigo? Au ni kitu gani? Maana sote tunafahamu kwenye treni za kisasa hakuna hivyo vitu juu, huenda ni future technology! Kama ndivyo baai napenda kutoa pongezi kwa hatua hii kubwa! Muonekano wa...
  2. Abraham Lincolnn

    Maoni na malalamiko ya wananchi wa hali ya chini yasipuuzwe

    Awamu iliyopita ilijitahidi sana kuwa karibu na wananchi hususan wale wa tabaka la chini, Kwa kuwasikiliza! Haijalishi hoja anayokuja nayo mwananchi yeyote ukiwa kama kiongozi unapaswa kusikiliza na kuwa humble! Ni vibaya mno kiongozi kukataa kusikiliza sauti ya yule anayemuongoza! Bila...
  3. Abraham Lincolnn

    Kiongozi kujenga tabaka lako dhidi ya wale unaowaongoza ni hatari kwa maendeleo ya taifa

    Unapokuwa kiongozi na ukashindwa kujishusha mpaka chini kwa wale unaowaongoza, kwa kisingizio kwamba wapo viongozi husika katika kila eneo, maana yake unatengeneza picha na unatuma ujumbe kwa wale walioko chini yako kwamba nao wanao watu chini yao hivyo hawapaswi kuwajibika! Mfano kiongozi wa...
  4. Abraham Lincolnn

    Zanzibar: Wadaiwa kuitwa Mgogoni kwa Rais Samia na kupewa msaada wa Tsh. 5,000

    Nimeshangaa sana kiongozi mkubwa kutumia fedha kufanya ushawishi na kampeni wakati huo huo ulikuwa na nafasi ya kubadilisha maisha ya hao wanaopokea fedha hiyo kwa kuandaa mazingira rafiki ili uchumi wao uweze kukua! Fedha hiyo ingetumika kujenga masoko mazuri na miundombinu bora ili kina mama...
  5. Abraham Lincolnn

    Video: Pamoja na lawama kwa bodaboda, kwanini Junction ya mwendokasi Kisutu haijawekwa taa za kuongoza magari mpaka leo licha ya kuwepo ajali nyingi?

    Ajali nyingi sana zimeshatokea eneo hili. Mamlaka hazichukui hatua yoyote. Sehemu yenye junction na yenye pilikapilika kama hii tena inaingiliana na mwendokasi inakosaje taa za kuongozea? Hicho kioo kikubwa kando ya junction mnadhani kinatosha kwa madereva na watumiaji wa barabara hiyo kuona...
  6. Abraham Lincolnn

    Hili la umeme ni ishara tosha kwamba serikali hii ni failure, haipaswi kurudi

    Sasa hivi ukienda kila mahali na kila kona ya nchi, vilio vya umene vimetawala, mbaya zaidi ukiuliza sababu ya mgao wa umeme ni maajabu ya kushangaza kwani hakuna sababu yoyote ya msingi huku uongo na ahadi zilizojaa uongo mtupu zikitaradadi! Wakati huo kiongozi mkuu wa nchi anabadilisha tu...
  7. Abraham Lincolnn

    Kwa haya yanayoendelea, ni dhahiri Rais anapaswa kujiuzulu

    Haya yanayoendelea yanaonyesha udhaifu na kukosa uwezo wa kiuongozi na kimaono kwa kiongozi. Kama kiongozi makini unatakiwa utumie busara na akili nyingi kudadavua mambo.Kabla ya jambo hili kufika bungeni lilipaswa kumalizwa huko huko. Hasara ya kufikisha jambo hili bungeni ambapo kuna chawa...
  8. Abraham Lincolnn

    Ndejembi amewataka watendaji wa Halmashauri kuwa wabunifu ukiwemo wa kutumia rasilimali ya takataka kuwa fursa ya kuzalisha nishati ya gesi

    Naibu Waziri wa TAMISEMI Mh Deogratius Ndejembi amewataka watendaji wa Halmashauri kuwa wabunifu ukiwemo wa kutumia rasilimali ya takataka kuwa fursa ya kuzalisha nishati ya gesi na umeme hatua ambayo licha ya kusaidia kudumisha usafi itaongeza ajira na kuwarahisishia wananchi maisha...
  9. Abraham Lincolnn

    Saili za utumishi kufanyika UDOM ni upendeleo mkubwa, si sawa

    Habari wakuu, Kwa muda sasa hawa sekretariet ya utumishi wa umma imekuwa ikiendeshwa kwa makosa mengi sana ambayo baadhi yamekuwa yakilalamikiwa na hata kuzungumziwa katika vyombo vya uwakilishi na wala hatukuona hatua zikichukuliwa zaidi ya majibu ya "tutalifanyia kazi" Kati ya hayo naomba...
  10. Abraham Lincolnn

    Pongezi viongozi wa dini kwa kukemea ushoga, Ndoa za jinsia moja

    Nilipohudhuria ibada kuanzia Alhamisi Kuu, Ijumaa Kuu mpaka Jumapili ya Pasaka nimeona jinsi viongozi wetu wa dini walivyojipanga katika kukemea maovu haya. Siku ya Ijumaa kuu, Askofu alitumia muda mwingi kukemea tabia za ushoga na ndoa za jinsia moja (sikuelewa kwanini alitilia mkazo sana), Pia...
  11. Abraham Lincolnn

    Rais alipaswa kujiuzulu baada ya report ya CAG

    Baada ya report ya CAG kuweka wazi wizi na madudu yanayoendelea huko serikalini, Kiongozi makini na mzalendo alipaswa kukaa pembeni kupisha uchunguzi. Lakini tujiulize, Kiongozi aliyeteleza kwa kuzungumza hadharani, iwe kwa ukweli au kwa uongo kwamba "kuna siku nchi itapigwa mnada kwa madeni"...
  12. Abraham Lincolnn

    Miaka miwili ya Rais Samia, Hakuna jambo la maana linaloonekana!

    Ni miaka miwili sasa imetimia tangu kiongozi wa awamu ya sita kuingia madarakani, Lakini utafiti unaonyesha na hata unapojaribu kuuliza, Je, kuna jambo lolote la msingi na la maana unaloweza kupoint out kwamba jambo hili limegusa maisha ya watanzania wa hali zote? Je, kuna nia ya dhati na...
  13. Abraham Lincolnn

    Hizi gharama za kusambaza mabango zinatoka wapi na yana faida gani kwa Watanzania?

    Nimejiuliza maswali haya nimekosa majibu, Hivyo nimekuja kwenu wadau mnisaidie. Ukipita maeneo mengi hususan mijini utakuta mabango yenye picha za kusifu mf. "Ametekeleza maono" "Ameimarisha huduma za umeme" n.k, Je, mabango haya yanagharamikiwa na chama au serikali? Je, yanafaida gani kwa...
  14. Abraham Lincolnn

    USHAURI: Rais Samia aondoke madarakani kwa heshima kuliko Wananchi/Bunge kumwondoa

    Upi mtazamo wako kwa yale yanayoendelea hapa nchini? Je, endapo itamlazimu kiongozi wa serikali kuondoka ipi itakuwa njia sahihi? Ndani ya miaka hii miwili watanzania wameshuhudia na kupitia katika kipindi kigumu pengine kuwahi kutokea Tanzania. Ni kipindi ambacho huenda kinyozi wa saluni...
  15. Abraham Lincolnn

    Bei ya maharage Kenya ni 2861 Tsh/Kg huku Tz ni 4,200Tsh/Kg lakini wakenya wapo Barabarani huku watanzania tukipongezana miaka 2

    Ama kweli, ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni. Huu ndiyo uhalisia wa hali zilivyo katika nchi hizi mbili. Ukiachilia mbali swala la mfumuko wa bei, nina uhakika endapo haya yanayotokea katika shirika la TANESCO na kutesa wananchi kwa migao ya umeme kila kona lingetokea kwa majirani zetu...
  16. Abraham Lincolnn

    Tuendelee kuenzi na kukumbuka falsafa za shujaa wetu Hayati Magufuli

    Nipende kuchukua fursa hii kuwatakia nyote heri ya siku ya Magufuli. Tuendelee kuwa wazalendo, Tuchape kazi kwa maendeleo na manufaa ya taifa letu huku daima tukimtanguliza Mungu. Tuendelee kuenzi na kukumbuka falsafa za shujaa wetu huku daima tukiendelea kupinga Ufisadi, Rushwa, Uzembe...
  17. Abraham Lincolnn

    Miaka Miwili ya giza, uchawa, unafiki na mateso kwa Watanzania

    Ndani ya miaka hii miwili watanzania wameshuhudia na kupitia katika kipindi kigumu pengine kuwahi kutokea Tanzania. Ni kipindi ambacho huenda kinyozi wa saluni amefunga ofisi yake si chini ya mara 5 kwa wiki, Ni kipindi ambacho tumeshuhudia kuibuka watu wanaoitwa chawa! Ni kipindi ambacho kimeua...
  18. Abraham Lincolnn

    Wananchi watakula hayo maridhiano?

    Kiongozi wa nchi anapohangaika kufurahisha magenge na wanasiasa kwa lengo la kujinasibu kisiasa na kusahau majukumu na kazi ya kiongozi wa nchi ni yapi, si dalili njema kwa maendeleo na ukuaji wa uchumi kwa taifa lolote. Unapohangaika kufurahisha vikundi vya watu ni wazi kwamba kamwe...
  19. Abraham Lincolnn

    Siasa za kufurahishana Wanasiasa na kuwasahau wananchi

    Salam wakuu, Bila kupoteza muda huu ndiyo uhalisia wa hali ya siasa nchini kwa sasa.Wanasiasa wako busy kufurahishana na kulambishana asali huku wakipongezana kwa kauli ya "MARIDHIANO" huku wakisahau wananchi wanagongwa 800k wanapounganisha umeme, wanasahau wananchi wengi wanataabika kwa huduma...
Back
Top Bottom