kugawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Nkasi DC: Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kipande hawakai chini, hata hivyo tutanunua meza na viti 900 kugawa Shule za Sekondari

    Hoja ya awali ya Mdau ~ Shule ya Sekondari Kipande, Wilayani Nkasi - Rukwa haina madawati, Wanafunzi wanakaa chini Mtakumbuka tarehe 15/07/2026 mtandao wa Kijamii wa JamiiForums ulitoa taarifa kuwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kipande iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa...
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Nini hatima ya Tanganyika baada ya kuuza na kugawa kila kitu

    Tukichambua hoja hii ya kwamba "kuuza kila kitu ni kuuza urithi," tunaingia kwenye kiini cha mjadala wa uzalendo, uchumi, na mustakabali wa Tanganyika .Hapa ngoja nichambue kwa kina kwanini dhana hii ni nzito na ni muhimu kwa mustakabali, uhai na ustawi wa Tanganyika 1. Kupotea kwa Maamuzi...
  3. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi kuwa romantic ni pamoja na kugawa pesa ovyo kwa mashankupe ya mjini?

    Greetings Hivi wakuu, kwa mwanaume kuonekana uko romantic kibongobongo ni pamoja na kugawa pesa hovyo kwa kila shankupe unalokutana nalo hapa mjini? Iko hivi kuna shankupe flani nilikutana nalo mahali kwenye sherehe,usiku ule tukaruka debe, piga tungi sana na kisha tukamalizia kwa kupigana...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ina maaana hawajafanikiwa kujisafisha pamoja kwenda kwa Papa!

    Misaada imekatwa. Ina maaana hawajafanikiwa kujisafisha pamoja kwenda kwa Papa.
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri zetu kugawa namba za Watumishi kwa Micro-finances sio sawa

    Kumekuwepo na tabia ya watu kutoka taasisi za mikopo na baadhi ya benki (ambazo mtumishi sio mteja) kumtafuta mtumishi wa uma na kumuelezea masuala ya mikopo. Maswali ya kujiuliza ni: Je, taarifa za watumishi hawa haswa mawasiliano yao zipo salama? Lakini kama hawa watu wanaweza kujua hadi...
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwanini marais na vyama vyao tawala vinapoelekea kushindwa ufanya maamuzi yanakuja kugawa nchi kuleta ubovu kabisa

    Kipindi cha marehemu Mugabe alipoona utawala unazidi kuwa mgumu kwake alianza kuwafukuza makaburu na kuwakabidhi mshamba yao watu wake ili azidi kubaki madarakani. Katika tawala nyingi mambo haya utokea sana ili mradi wajihokoe kitawala. Je, hapa Tanzania kwa huyu Samia unafikiri nini anacho...
  7. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mabilioni yanayotumika kugawa magari na vifaa kwa Polisi wakati huu, je, Serikali inaboresha na maslahi yao pia?

    Siyo siri moja kati ya majeshi ambayo naweza kukiri imani yake kwa Wananchi wengi ni kama imepungua kwa kiasi kikubwa kutokana na matukio mbalimbali yanayowahusu nchini basi ni Jeshi la Polisi. Polisi wanahusiana na Wananchi moja kwa moja tofauti na majedhi mengine, inawezekana hiyo ikawa...
  8. Rule L

    JamiiForums Tanzania Mada fikirishi. Je CCM kugawa vitu mbalimbali kwa wananchi kipindi hiki cha kampeni ni rushwa ama si rushwa???

    Kwasasa ukitembea mitaani utakutana na vitu vingi sana vyenye nembo ya CCM ambavyo watu wamepewa bure ikiwemo baiskeli na pikipiki ambazo zilitoka muda kidogo. Mimi najiuliza kwanini vitolewe kipindi hiki cha kampeni za uchaguzi mkuu?? Je Takukuru iko wapi na kwanini hawahoji hili...
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Eric Shigongo: Buchosa tulikuwa tunasafiri masaa tisa hadi Mwanza, sina pesa za kugawa mnihukumu kwa matendo yangu

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, amesema kuwa barabara za sasa ni bora zaidi kuliko za miaka iliyopita, ambapo zamani ilichukua hadi saa 9 kusafiri kutoka Buchosa hadi Mwanza Mjini. Shigongo ameongeza kuwa katika kipindi cha miaka mitano ya uongozi wake, mapato ya halmashauri yameongezeka na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Polepole: "Offspring" (mtoto) wa mwanamtandao ambaye ni waziri anazunguka nchi hii kugawa fedha kwa ajili ya uchaguzi wa 2030

    Leo katika mazungumzo yake na wananchi, Polepole ameeleza kuwa wahuni wameanza kuzunguuka nchi hii na kugawa fedha kwa ajili ya uchaguzi wa 2030. Akasema mmoja wa wanaofanya hivyo ni mtoto/offspring wa Mtu mzito sana ndani ya Wanamtandao. Hii ngoma ni hatari sana.
  11. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Wagombea kugawa hela mbona inachukuliwa kawaida wakati NI rushwa ile

    Chama kisikae kimya kukemeea hii michezo wagombea unaambiwa usiku wanapita na kugawa 10000 kwa watu
  12. Genius Man

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU bila upendeleo wanapaswa kumchukulia hatua na Samia kwa kugawa rushwa naona tu rushwa zinahesabiwa kwa wale wa ubunge na udiwani

    TAKUKURU bila upendeleo wanapaswa kumchukulia hatua na Samia kwa kugawa rushwa naona tu rushwa zinahesabiwa kwa wale wa ubunge na udiwani. Walichokifanya hao wa ubunge na udiwani ndio kile kile alichokifanya Samia, kama samia kwake sio rushwa basi hawa wengine nao sio rushwa. lakini kama kwa...
  13. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Kenya-raisi ajielezea alikotoa za kugawa fedha!

    nchini kenya kuna ishu ya raisi kujenga Kanisa ikulu, ila kilichonishangaza kama mtanzagiza ni kwamba raisi Ruto kasema anatumia fedha zake au kwa maana nyingine ameelezea alikozitoa fedha za kujengea Kanisa kwa maana kwenye bajeti haipo, sasa vs tanzagiza raisi kanunua magoli, kagawa fedha...
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini watawala wenye mabavu wanaanza kuleta kugawa watu.

    Kipindi cha adolf alianza kuwatenganisha watu na wayahudi. Kipindi cha idd amin alianza kudili na wasio kabira lake. Kipindi cha mugabe alianza kuwafukuza wakulima wa kizungu. Kipindi cha bashiri sudani alianza kuwatenga wasudani weusi. Je hapa kama uraisi 2025 kaupata mnategemea ile...
  15. E

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Watia nia CCM wabainika kugawa rushwa

    Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga kimesema kuwa jumla ya wagombea tisa wa nafasi za ubunge na udiwani wilayani humo wamebainika kujihusish na vitendo vya kugawa fedha kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM wa wilaya nyakati za usiku, kinyume na maadili ya chama. Katibu wa...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Godfrey Sitta: Katibu wa CCM Meatu amenunuliwa na mfanyabiashara mkubwa, amekua akisumbua kwa kugawa hela mchana na usiku kukigawa Chama

    Kada wa CCM, Godfrey Sitta amedai kuwa Katibu wa CCM Wilaya ya Meatu, Mkoa wa Simiyu, Naboth Manyonyi amenunuliwa na mfanyabiashara mkubwa ambaye amekua akisumbua kwa kugawa hela mchana na usiku na kukigawa Chama na matokeo yake 'tutaingia vita ya sisi kwa sisi' na kuwapa wapinzani nafasi.
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Abbas Tarimba ashiriki hafla ya kugawa futari kwa Wananchi wa Kata ya Mzimuni waliofunga mwezi huu wa Ramadhan na Kwarezima

    Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Mhe. Abbas Tarimba ameshiriki hafla ya kugawa vitu mbalimbali kwa ajili ya futari kwa Wananchi waliofunga mwezi huu wa Ramadhan na Kwarezima iliyoandaliwa na Diwani wa Kata ya Mzimuni Mhe. Manfred Lyoto. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi...
  18. -ArkadHill

    JamiiForums Tanzania Naona sasa uchawa umezidi hapa nchini. Nashauri serikali ya CCM ianze kugawa tuzo za machawa

    Kulikua na haja gani mheshimiwa chawa kuvaa nguo ya aina hii? Hakika Anko Magu alituingiza choo cha kike.
  19. ngara23

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kugawa chakula usiku wa manane kwenye harusi haufai

    Nimehudhuria harusi ya jamaa yangu hadi muda huu saa 5 hatujala, Kwenye kuomba mchango wanapiga simu hadi kero, tukihidhuria harusi tule japo kuku, mnatupa viporo usiku saa 7 Wapo wanatuomba zawadi na kushindanisha Yanga na Simba, kututaja majina na mambo mengine ya kijinga Wametupa bia Nazo...
  20. Mributz

    JamiiForums Tanzania Friji zinauzwa bei nafuu

    350k 0718909429 Dsm
Back
Top Bottom