Saili za utumishi kufanyika UDOM ni upendeleo mkubwa, si sawa

Abraham Lincolnn

JF-Expert Member
Apr 12, 2018
2,515
4,230
Habari wakuu,

Kwa muda sasa hawa sekretariet ya utumishi wa umma imekuwa ikiendeshwa kwa makosa mengi sana ambayo baadhi yamekuwa yakilalamikiwa na hata kuzungumziwa katika vyombo vya uwakilishi na wala hatukuona hatua zikichukuliwa zaidi ya majibu ya "tutalifanyia kazi"

Kati ya hayo naomba kuzungumzia hili la saili za utumishi kufanyikia UDOM. Kwa mtazamo wangu naona hili si sawa, Kwani mazingira, ukaribu na uzoefu ni dhahiri kuwa utawafavor zaidi wanafunzi wa pale pale. Ni sawa na timu ya nyumbani kucheza katika uwanja wa nyumbani.Ina maana utumishi wamekosa kabisa miundombinu na sehemu ya kufanyia sahili?

Tunafahamu kwamba mmeshindwa kufanyia sahili mikoani au kikanda na kuwalazimu wanafunzi kutumia gharama kubwa ili kufanikisha saili zenu, Lakini pamoja na hilo, Ndiyo mkafanyie saili UDOM? Wale wanaofanya practical wanafahamu changamoto zinazokuwepo wakati mwingine vifaa kama Computer hufeli na kupelekea kushindwa saili zao, Lakini kwa mwanafunzi wa pale tayari anafahamu mazingira na anafahamu Computer za kukwepa au kutumia wakati wa practical huku wageni hawajui lolote na kupelekea kushindwa saili zao.

Nadhani ifike wakati waziri husika awajibike, Malalamiko yamekuwa mengi bila utatuzi huku vijana wakiendelea kuumia mitaani kwa kukosa ajira kwa sababu zisizokuwa na msingi.

Labda kama kuna mkakati maalum ya kuifanyia promotion UDOM kwa upendeleo maalum, Vinginevyo si sawa.

82add301661b6f19cc0e5fb3ae77ef218fe6c131ec61169923d90137da2a45f5_broken_computer_med.jpg
 
Juzi tumeletewa vijana waluofaulu usaili kwa ajili ya ajira mpya (UHANDISI) kati ya 9/14 wametoka UDOM
 
Habari wakuu,

Kwa muda sasa hawa sekretariet ya utumishi wa umma imekuwa ikiendeshwa kwa makosa mengi sana ambayo baadhi yamekuwa yakilalamikiwa na hata kuzungumziwa katika vyombo vya uwakilishi na wala hatukuona hatua zikichukuliwa zaidi ya majibu ya "tutalifanyia kazi"

Kati ya hayo naomba kuzungumzia hili la saili za utumishi kufanyikia UDOM. Kwa mtazamo wangu naona hili si sawa, Kwani mazingira, ukaribu na uzoefu ni dhahiri kuwa utawafavor zaidi wanafunzi wa pale pale. Ni sawa na timu ya nyumbani kucheza katika uwanja wa nyumbani.Ina maana utumishi wamekosa kabisa miundombinu na sehemu ya kufanyia sahili?

Tunafahamu kwamba mmeshindwa kufanyia sahili mikoani au kikanda na kuwalazimu wanafunzi kutumia gharama kubwa ili kufanikisha saili zenu, Lakini pamoja na hilo, Ndiyo mkafanyie saili UDOM? Wale wanaofanya practical wanafahamu changamoto zinazokuwepo wakati mwingine vifaa kama Computer hufeli na kupelekea kushindwa saili zao, Lakini kwa mwanafunzi wa pale tayari anafahamu mazingira na anafahamu Computer za kukwepa au kutumia wakati wa practical huku wageni hawajui lolote na kupelekea kushindwa saili zao.

Nadhani ifike wakati waziri husika awajibike, Malalamiko yamekuwa mengi bila utatuzi huku vijana wakiendelea kuumia mitaani kwa kukosa ajira kwa sababu zisizokuwa na msingi.

Labda kama kuna mkakati maalum ya kuifanyia promotion UDOM kwa upendeleo maalum, Vinginevyo si sawa.

View attachment 2610633
Mkuu una hoja usikilizwe....vijana wa udom wanatupiga sana bao...moja ya sababu pepa zinafnyiwa kwenye mazingira wanayoyaelewa vzr sana na baadhi ya wasimamizi wa mitihani ni walimu wao
 
Hii personal views. Udom chuo cha SERIKALI kipo makao makuu. Its cheaper sana. Easy to monitor. Napia udom sio chuo simple. GPA Ya udom ni ngumu sana kupata high marks. hustle la students wa udom. Ni tofauti la vyuo vingi sana. Ni kama boarding school. Amini hata leo. Weka paper la course yoyote ya udom kokote. Student watatokka pale. Na mostly ni watu wa familia duni. Other universities they just cant compete.
 
Ukweli machungu mkuu na kuna watu watakushambulia
 
Back
Top Bottom