kisutu

 1. Influenza

  Dar: Mkandarasi ahukumiwa miaka saba jela kwa kujipatia Tsh. Milioni 116 kidanganyifu

  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu mkandarasi wa majengo, Alfred Ndeka (60) kifungo cha miaka saba jela baada ya kukutwa na hatia ya kujipatia Sh116 milioni kwa njia ya udanganyifu. Hukumu hiyo imetolewa leo Jumatano Februari 19 , 2020 na Hakimu mwandamizi, Vicky Mwaikambo baada ya...
 2. Erythrocyte

  Zitto Kabwe ni mgonjwa alazwa Marekani, madaktari wamtaka asisafiri

  Hii ni kwa mujibu wa mdhamini wake alipokuwa anaiambia Mahakama kisa cha Zitto kutokuwepo mahakamani leo ambapo kesi yake ya uchochezi imesomwa tena. ======== Heri Kimbita ambaye Mdhamini wa Zitto Kabwe, ameiambia Mahakama leo kwamba, Zitto Kabwe anaumwa na amelazwa huko Marekani. Madaktari...
 3. Return Of Undertaker

  Kisutu: Mahakama yatupilia mbali hoja za Meya wa Dar es Salaam kutaka asalie madarakani, yasema hoja za mwombaji hazina miguu ya kusimamia

  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema haiwezi kuzuia Meya wa DSM,Isaya Mwita kuondolewa kwenye nafasi yake kwa sababu hakuna uthibitisho wa uwepo wa kikao cha kumuondoa madarakani wala hasara atakayoipata endapo akiondolewa. Yasema mwombaji hajatoa sababu za msingi za kukidhi vigezo vitatu...
 4. pantheraleo

  Kisutu: Mahakama imewatia hatiani aliyekuwa Rais wa TFF, Jamal Malinzi na aliyekuwa katibu wake Mwesigwa, watakiwa kulipa laki 5 au kifungo cha mwaka1

  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewatia hatiani aliyekuwa Rais wa TFF, Jamal Malinzi na aliyekuwa katibu wake, Selestine Mwesigwa na kuwaachia huru aliyekuwa mhasibu wa TFF, Nsiande Mwanga na karani Flora Rauya. Malinzi ametiwa hatiani kwa kosa la kutengeneza nyaraka za uongo na mwenzake...
 5. GENTAMYCINE

  Jibu la Mbunge Halima Mdee kwa Hakimu Kisutu ni jibu letu wengine wengi tusiotaka upuuzi na ujinga kwa wanafiki wa mara kwa mara

  Popote alipo hivi sasa Mbunge Halima Mdee naomba atambue kuwa kuelekea Kuumaliza huu mwaka wa 2019 basi amekuwa ni ‘ Shujaa ‘ wangu hasa kwa Majibu yake Kuntu / Mujarab kabisa aliyoyatoa kwa Hakimu juu ya Kuulizwa Kwake kuwa ni lini ataoelewa na Yeye ( Mbunge Halima Mdee ) bila ya Kumchelewesha...
 6. Roving Journalist

  Kisutu, Dar: Hukumu ya Kesi namba 456 ya Jamhuri dhidi ya JamiiForums kutolewa Januari 22, 2020

  ===== UPDATE: Hakimu Simba ameshindwa kusoma hukumu Desemba 06, 2019 na hivyo hukumu hiyo itasomwa January 22, 2020 ==== Wakuu, Kesho, Desemba 06, 2019 kutakuwa na hukumu ya mojawapo ya kesi zilizofunguliwa na Jamhuri dhidi ya Mkurugenzi wa Jamii Media Co. Ltd na mwanahisa, Mike William...
 7. J

  Msanii Idris Sultan kupandishwa kizimbani, Mahakama ya Kisutu leo

  Kuna kila dalili kuwa yule mchekeshaji nguli Idris Sultan leo atapandishwa kizimbani katika Mahakama ya Kisutu Tetesi hizo zimesikika katika viunga vya Central ambapo watu wa karibu wa Idris wamejichimbia kufualia " yajayo" au kifuatacho kama wanavyopenda kusema watangazaji wa luningani...
 8. Zurie

  Kisutu, Dar: Soudy Brown, Shaffih Dauda, MC Luvanda na wengineo wafikishwa mahakamani, wapata dhamana

  Soudy Brown, Shaffih Dauda, MC Luvanda na wengine 4 waliokuwa wanashikiliwa na polisi kwa zaidi ya siku 7 wamefikishwa mahakama ya Kisutu leo Walishikiliwa kwa kumiliki na kurusha maudhui kupitia chaneli za YouTube ambazo hazijasajiliwa na TCRA. UPDATE: Soudy amepata dhamana Mahakama ya Kisutu...
 9. Roving Journalist

  Kesi namba 457: Mahakama yasema Maxence Melo na Micke William hawana Kesi ya kujibu! Yawaachia huru

  Kesi namba 457 (Jamhuri v Maxence Melo na mwenzake Micke William) inayohusu kampuni za CUSNA Investment na Ocean Link kudaiwa kukwepa kodi Bandarini Dar na kunyanyasa wafanyakazi wa kitanzania imeendelea leo Juni 01, 2018 katika Mahakama ya Mkazi, Kisutu. Akisoma shauri hilo Hakimu Godfrey...
Top