Search results

  1. Chagu wa Malunde

    Kwa mujibu wa Montevideo convention on statehood, Mkataba wa uwekezaji wa DP batili na Bunge letu lina mapungufu makubwa

    Sisi Kama taifa ni sehemu ya mkataba wa Montevideo on the rights and duties of statehood. Ndio maana hata Zanzibar kama sehemu ya JMT haina balozi UN au haiwezi kuingia mikataba na nchi zingine. Dubai sio state, je ina mamlaka ya kuingia mikataba na nchi zingine? Jibu ni hapana. Maana sio...
  2. Chagu wa Malunde

    Joseph Selasini: CHADEMA ilipanga kuua vyama vingine kupitia UKAWA. Hatuwezi kurudia tena makosa ya kuungana nao

    "Muungano ule (UKAWA-2015) ulilenga kuviua vyama vingine na Chadema ndio ilikuwa namba moja kuvimaliza vyama vingine, NCCR Mageuzi haitarudia makosa yale" Joseph Selasini, Makamu M/kiti NCCR Mageuzi. Chanzo: Jambo TV
  3. Chagu wa Malunde

    Rais Samia Suluhu akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu ya Chamwino, Dodoma

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 11 Machi, 2023
  4. Chagu wa Malunde

    Uchaguzi 2025 rais Samia hana mpinzani. Je, Chadema hii inafaa kuww na wabunge hata wa huruma?

    Chadema inahitaji huruma kutoka kwa wananchi. Je, inastahili kuhurumiwa? Kuhurumiwa na wanachi ili ipate wabunge na wao wapate pesa za kula na kujikimu. Ila sio kutatua kero za wananchi. Chadema wamekubali kuwa rais Samia anastahili na anafaa kuwa rais. Sasa wanataka nini zaidi ya huruma ya...
  5. Chagu wa Malunde

    Wakulima wa Parachichi kupata fursa ya kuuza bidhaa hiyo katika soko la China

    Wakulima wa Parachichi kupata fursa ya kuuza bidhaa hiyo katika soko la China kufuatia uamuzi wa Kampuni kubwa ya ununuzi wa mazao ya Yihai Kerry ya China kuanza kununua parachichi kuanzia msimo ujao. Kampuni hiyo hivi sasa inaongoza kwa kununua Ufuta unaoingia katika soko la China kutokea...
  6. Chagu wa Malunde

    Mafuja asimikwa kuwa askofu wa AICT dayosisi ya pwani.

    https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/mafuja-asimikwa-kuwa-askofu-dayosisi-ya-pwani--4103110?s=09
  7. Chagu wa Malunde

    Rais Samia: Nawashukuru wote mlionitakia heri ya kuzaliwa na siha njema

    "Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijalia neema ya kutimiza miaka 63. Nawashukuru nyote kwa salamu zenu nyingi za upendo katika siku hii. Ahsanteni sana kwa dua za siha njema, umri mrefu na utendaji bora, ninapoendelea na jukumu hili la kulitumikia Taifa letu kusonga mbele zaidi," Rais Samia.
  8. Chagu wa Malunde

    2025 tumuunge mkono mama Samia. Kama kuna dukuduku la mapungufu tumweleze ashughulikie. Hakuna haja ya kuwa na makundi

    Ni vyema tukubali kuwa kazi inaendelea. Miradi mikakati inakwenda vizuri. Mfano daraja la Wami limekamilika. Sgr kipande cha Dar Moro kipo tayari na na kitaleta mabadiliko ya maisha kwa wananchi. Tumuunge mkono mama ili kazi iendelee. Hakuna haja ya kuwa na makundi na na kuleta kauzibe kwa mama...
  9. Chagu wa Malunde

    CHADEMA haina legitimacy ya kuokosoa Serikali hata kama kuna mapungufu ya kukabiliana na majanga. Kama Mbowe alitafuna bil 10 za chama. Hamfai kabisa

    Kama unadhambi ya ubadhirofu wa pesa za umma ambazo kama Chadema wasingelipwa ruzuku na kuzitafuna taifa lingenunua vifaa vya uokozi. Mlitafuna kama njugu pesa za umma. Nyie mna mikono gani mosafi kuilosoa serikali? Aliyemsafi ndio akosoe. Those with clean hands must come to Equity
  10. Chagu wa Malunde

    CHADEMA kubalini kuwa ACT wazalendo wameonyesha ukomavu wa kuwa chama dola. Mmlishaharibu kwa wananchi

    Hata TANU ilipokuwa inapambana ili kupigania uhuru wa Tanganyika ilihakiiisha kuwa na ofisi na matawi kila ofisi kila mkoa na kila wilaya. ACT Wazalendo wameonyesha kuwa wakipewa dhamana ya kuwa chama dola wanaweza kutumia vyema rasilimali za umma Ninyi mmekuwa kwenye siasa za Tanzania kwa...
  11. Chagu wa Malunde

    Upinzani umeridhika na utendaji kazi wa Rais Samia. 2025 ni kama kumsukuma mlevi. Njia nyeupe ili aendelee kuchapa kazi

    Kwa ujumla sisikii hata ile minog'ono kuwa kuwa serikali ya CCM chini ya mama Samia haitekelezi inavyotakiwa ilani ya CCM. Kazi inaendelea kupigwa kwa nguvu. Miundombinu inaimarishwa na bila ajizi kila kona ya Tanzania miradi ya kuimaridha miundo mbinu inaendelea. Sekta ya elimu ndio iko...
  12. Chagu wa Malunde

    Kazi inaendelea, kilichobaki ni kwenda na Rais Samia. 2025 ni kumuunga mkono kwa nguvu zote

    Kuanzia Kagera mpaka sasa alipo mkoani Kigoma mama anaendeleza Kazi moja tu kuwaletea maendeleo watanzanaia. Hospital ya rufaa Chato, Hospitali ya wilaya Kakonko, miradi ya maji, barabara na sasa hali ya uchumi imeimarika kwa kila Mtanzania. 2025 Twende na Rais Samia.
  13. Chagu wa Malunde

    Ni aibu kubwa kwa taifa lenye rasimali nyingi kama Tanzania kukomalia tozo za line za simu. Bora serikali ijikite kuchimba dhahabu ili kupata mapato.

    Karibu kila eneo la taifa letu limejaliwa kuwa na madini ya kila namna. Dhahabu ndio inapatikana kwa wingi kila mahala hapa nchini. Kama kuna baadhi ya kampuni za kigeni zina migodi ambayo uwekezaji wake haufiki hata bil 200 na wanachimba na kupata faida na pesa nyingi tu. Kwa nini huyu...
  14. Chagu wa Malunde

    Kwa mauaji yanayotokea vituo vya polisi kama vile polisi wamegeuka serial killers

    Nani anapenda kumzika ndugu yake ambaye amepoteza uhai kabla Mungu hajamuita. Mbaya zaidi wanaokuwa wamemuua hawachuliwa hatua kisheria. Kila siku kukicha tunasikia vyombo habari watuhumiwa kujinyonga selo za polisi katika mazingira ambayo tafakuri ikifanyika watu hawapati majibu. Tukio la...
Back
Top Bottom