kuzaliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zimbabwe atangaza siku yake ya kuzaliwa kuwa sikukuu ya kitaifa

    Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa, ametangaza rasmi tarehe Septemba 15, ambayo ni siku yake ya kuzaliwa, kuwa sikukuu ya umma nchini humo. Sikukuu hiyo mpya inayojulikana kama Munhumutapa Day, imewekwa rasmi kwenye sheria za nchi kupitia Statutory Instrument 148 ya mwaka 2026. Tarehe hiyo...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnitakie heri ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu

    Mungu amenipa zawadi ya kuingia miaka 29 Juzi tu nilikua mtoto, leo nimekua mtu mzima. Sasa najiona nimekua mkubwa. Naombeni uzoefu wa 30s nianze kuzoea.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kuna watu kuzaliwa hapa duniani ilikuwa ni hasara kwa MUNGU na kwa binadamu. Watu kama Putin, Hiltler, Amin, Ayatollah nk hawakupaswa kuzaliwa

    siyo kila aliyazaliwa duniani ilikuwa ni mpango wa MUNGU .Hapana.ebu jiulize mtu anakuwa na roho kama ya simba unawezaje kusema ilikuwa ni mpango nwa MUNGU mtu huyo kuzaliwa duniani?kuna watu wanasumbua hapa ulimwenguni mpaka unajiulizwa siku wanaumbwa matumboni kwa mama zao Mungu alikuwa bize...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kiti Cha Urais Ndicho Kinacholindwa Kwa Jasho Na Damu Maana Ndio Nchi Yenyewe. Ukileta Ujuaji, Usaliti, Hujuma na undumila Kuwili Utajutaa Kuzaliwa

    Ndugu zangu Watanzania, Hata Hayati Baba Wa Taifa Amewahi kusema na kuandika katika kitabu chake cha Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania cha Mwaka 1994 ya kuwa Ukimtikisa Rais Wa Nchi unakuwa Umeitikisa Nchi yaani Huwezi kumtikisa Rais wa Nchi na Nchi ikabakia Salama. Unaweza kumtikisa...
  5. nadiegirlie

    JamiiForums Tanzania Binti/Mwanamke unapenda nini zaidi kwenye "ubinti/uanamke"wako na kama kuna next life ungependa tena kuzaliwa kama mwanamke?

    Nini kinachokufanya ujivunie kuwa mwanamke?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu anafuga nguruwe na ni mchafu wa kuzaliwa

    Baada ya kusogea na kuhamia nje ya mji kidogo nimeishi kwa amani na furaha sana , eneo langu ni almost kama heka moja hivi ,eneo nililojenga nyumba pako jirani na mtu mwingine, ujirani huo ndio source ya shida yangu kwa sasa. Jirani yangu kahamia almost mwaka sasa, aisee huyu mbena ni shida ...
  7. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Dr Nchimbi hasingekuwa TISS ilifaa atumbuliwe, Sasa kwa Sasa ukimtumbua TISS Wana wewe, Shooo, utajuta kuzaliwa watampa nchi hii.

    NAKWAMBIA hivi Dr Emanuel Nchimbi hasingekuwa TISS kwa KAULI yake dhidi ya katiba mpya kufaitiwa na kuwataka watu waitafte ili Hali wanao itafuta wanapewa kesi za ugaidi angekuwa katumbuliwa tayari. Ulinzi wake ni idara na usinior wake, magufuli hakumtaka huyu mtu hata yeye hamkutaka magufuli...
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania kuzaliwa kwa makundi mfano mafia Italy ilikuwa sababu kukosa haki kwenye serikali.

    Kichwa cha habari kinaweza kuwa tofauti na maelezo hapa. Ukiona serikali imeshindwa kufanya haki sasa inawaza kila mtu ni gaidi kwao. Hii history inaeleza nchi nyingi ambazo zimepitia serikali za ovyo na kugeuza haki kuwa ugaidi.
  9. Bei rahisi Electronicks

    JamiiForums Tanzania VIGEZO VYA KUPUTA CHETI CHA KUZALIWA

    ✅ VIGEZO VYA KUPATA CHETI CHA KUZALIWA 1-KADI YA CLINIC 2-PASPORT YA KUSAFIRIA 3-CHETI CHA DRS LA SABA 4-LIVING CERTIFICATE YA FORM FOUR 5-KITAMBULISHO CHA KUPIGIA KURA 6-KITAMBULISHO CHA KUPIGIA KURA AU CHA NIDA CHA MZAZI 7-TANGAZO LA UZAZI 8-CHETI CHA UBATIZO 9-BARUA YA UTAMBULISHO...
  10. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania PENTECOST birthday of the church, sikukuu ya kuzaliwa kwa ukristo na kanisa

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Leo katika kanisa tunafanya kumbukumbu ya kushuka kwa roho mtakatifu ahadi ya Baba YESU KRISTO alisema kwamba wasitowaacha yatima nitawaleteen msaaidizi na atakapokuja huyo roho atawambia kweli, aliongeza kuwa lazima mimi niondoke ili...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Wilaya ya Micheweni – Pemba tunasumbuliwa kupata Vyeti vya Kuzaliwa, tunachoka kusubiri

    Sisi Wananchi wa Wilaya ya Micheweni, Mkoa wa Kaskazini Pemba tuna malalamimo juu ya upatikanaji wa Vyeti vya Kuzaliwa katika Ofisi ya Uwakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii, ukihitaji unasumbuliwa kuliko maelezo. Unaweza kufuatilia kwa muda wa mwaka mzima hujapata cheti cha mtoto wako...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini hatukuhudhuria Sherehe za kuzaliwa na kutawazwa kuwa Mfalme Mswati?

    “Ezulwini Palazzo” is the newest luxury and biggest tourism attraction infrastructure constructed by a company under Inyatsi Group after being contracted by the Eswatini Government. South African President Cyril Ramaphosa and other Heads of State within the Southern African Development...
  13. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Msisitizo! Hakuna kipaji (inborn ability), mtu huwa na uwezo wa kitu fulani baada ya kuzaliwa

    Wazungu walituaminisha kuwa Kuna watu huzaliwa wakiwa tayari na uwezo wa kufanya vitu fulani, mathalani, kucheza mpira, kuimba, n.k, ili tunaposhimdwa kufanya mambo fulani, turidhike kwa kuamini kuwa hatukuzaliwa na uwezo wa kutenda/kufanya mambo hayo. Ukweli ambao watu wengi hawaujui ni kuwa...
  14. Magayor Mongolian

    JamiiForums Tanzania Trump kasema ataenda mahakamani leo kushuhudia shauri la kupitisha sheria ya kubatilisha 'uraia wa kuzaliwa' nchini Marekani

    Mzuka wana jamvi ? Rais wa Marekani kasema Leo hasubiri kuona kwenye Tv Ofisini anataka kwenda live mahakamani kuangalia shauri la kufuta uraia wa kuzaliwa' nchini Marekani. Trump anadai hiyo ilikuwa Maalumu kwa ajili ya watoto wa watumwa enzi hizo Marekani na haipaswi kuwepo sasa , ameenda...
  15. Selwa

    JamiiForums Tanzania Nimeacha na mwanamke wangu, sasa anasema kajifungua mtoto wangu ila cheti cha kuzaliwa hataki nikione

    Bangudu
  16. S

    JamiiForums Tanzania KWELI Mtoto mchanga anaweza kuzaliwa na ugonjwa wa Malaria

    Wakuu nimeona hii huko X Je, inawezekana mtoto akazaliwa na Malaria?
  17. I

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa nimesahau kama leo ni kumbukizi ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mazinduzi (Februari 5)

    Chama kimekuwa na mambo ya kishenzishenzi kimeshapoteza heshima kuanzia vijijini hadi mijini. Chama kimekosa hoja za kisiasa na kuanza kuunda makundi ya wanamgambo yanayoua watu hovyo. Oktoba 29 haisahauliki. Anaesema tusiongelee akapimwe akili.
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO eRITA portal ina matatizo. Yatatuliwe haraka

    Tafadhari taarifa ziwafikie Hawa RITA Nini maana ya kuweka huduma ya kuomba cheti kwa njia ya mtandao kama mtu nimefanya maombii ya cheti cha kuzaliwa mwezi wa 12 mpaka sasa hakuna mibu ya aina yoyote tunapata tabu sana ukienda Ofisini shida tupu. Hakuna haja ya kuwa na eRITA portal
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli walishawahi kusherekea siku zao za kuzaliwa wakiwa madarakani?

    Nawakilisha ili tujiulize ni busara kuwapa wanawake madaraka makubwa kama Urais?
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe aongoza Watumishi TAMISEMI kupanda miti kuadhimisha Siku ya Kuzaliwa Rais Dkt. Samia

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM -TAMISEMI), Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amewaongoza viongozi na watumishi wa ofisi hiyo, kupanda miti katika viwanja vya OWM- TAMISEMI Mtumba, ikiwa ni ishara ya kumuunga mkono Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan...
Back
Top Bottom