mwana ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Emanuel Nchimbi Vs Tundu Antipas Lissu. Nitaondoka na Tundu Lissu japokua Emanuel ni mwana CCM mwenzangu atanisamehe

    CCM wakimsimamisha Emanuel na Lissu nafasi ya urais nitaondoka na Lissu sio Emma japokua mwana ccm mwenzangu nina sababu za msingi kama tatu. Emanuel ni mtu mwenye misimamo Ila ni mtu muoga hawezi kutoka kusimamia anachokiamini mpaka mwisho. Walivyomkata Lowasaa 2015 yeye na sophia simba ndo...
  2. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Nataka kumuamini Nchimbi, lakini nimepoteza imani na mwana CCM yeyote

    All odds zinaonesha Nchimbi is not satisfied na Behavior za Boss wake na anapoipeleka nchi na namna nchi inavyoendeshwa kwa level za darasa la saba. Nikimnukuu Nchimbi, “ Ni Ujinga nchi yenu moja mkawa mnagombana kwa vyama, pia alisisitiza utumishi sio lazima uwe CCM, hivyo kaeni mjenge nchi...
  3. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kigezo kikubwa kuwa Mwana CCM mzuri ni kwanza lazima ukubali kuliwa

    Yes , lazima ukubali kuliwa ubongo. Ukiwa na Ubongo huwezi kupata vyeo au nafasi flani flani. Lazima kwanza uliwe Ubongo. Msikilizwe Msigwa msikilize PM utagundua bongos zao zimeliwa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ewe mwana CCM umeshindwa kupinga yanayoendele basi tambua unajenga chuki kwa Watanzania

    Kama wewe ni mwana CCM na umeshindwa kupinga yanayoendelea, Chuki waliyonayo Watanzania ni kubwa sana, kuna siku wataanza kuingia ndani ya nyumba zenu
  5. covid 19

    JamiiForums Tanzania Hivi kuwa mwana CCM na mpenda haki, mpiga ufisadi, na mzalendo wa kwelikweli kabisa kutoka moyoni ni kosa linalostahili kutekwa?

    Kuna mambo yanafurahisa sana wakuu.. Yaani kosa la yule jamaa ni kuwa mkweli na kuwa mzalendo kwa chama chake na taifa... serious kabisa kama taifa lenye vyombo vya dola, mahakama, serikali na watu wenye akili timamu kabisa kabisa tumeamua kuacha na kukaa kimya. Ni aibu sana kwa vyombo vyetu...
  6. Criss

    JamiiForums Tanzania Mwana CCM jitafakari

    Yawezekana wewe ni mstaafu , uliyewahi kulitumikia Taifa kwa moyo wako wote. Yawezekana bado upo kwenye madaraka na bado unazitii order zote nakukiombea mema chama chako kiendelee kutawala. Yawezekana wewe ni mwanachama wa kawaida unaeshiriki kupambana kuwabagaza wapinzani kwa uwezo wako wote...
  7. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Ndugu Polepole, kumbuka kuwa Mwana CCM kumpinga mgombea wa CCM, unaitwa USALITI

    Ukweli waweza kuwa mchungu, lakini ndio ukweli hata kama hatuupendi. Na ukweli mchungu mojawapo kwa Balozi Polepole na wenzake, ni kuwa Dr. Samia ndio mgombea wetu wa urais. Mwalimu alituasa wana CCM, kuwa akishapatikana mgombea wa CCM, wana CCM wote lazima tumtetee. Katiba ya CCM imeenda mbali...
  8. econonist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kumbe INEC imechukukua orodha ya wapiga kura kutoka NIDA?

    Kwa kweli nilishangaa sana pale Tume ya Uchaguzi ilipotangaza ya kwamba wapiga kura waliojiandikisha ni milioni 37 na ushee. Nikashangaa Sana. Ila Leo nimegundua ya kwamba INEC imechukua takwimu au orodha ya watu waliopo kwenye mfumo wa NIDA na kuwafanya kwamba ndio wapiga kura wa uchaguzi...
  9. RUKUKU BOY

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama mwana CCM sipendi Lissu kuwa gerezani

    Mimi ni kada mtiifu wa chama Cha mapinduzi. Sio muumini wa kuandika sana humu, ila napenda kutoa ya moyoni. Sifurahishwi kabisa nchi kwenda kwenye uchaguzi uku kiongozi mkubwa wa upinzani yupo gerezani. Viongozi wangu ata mataifa rafiki wanatucheka kabisa. Hii imesababisha uchaguzi wa mwaka huu...
  10. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Msigwa kama unashangaa waTanzania kutojaza uwanja ongea na mwana CCM mwenzako mwamposa aujaze uwanja.

    WaTanzania wanaisusia timu ya Taifa, na wewe kama msemaji wa serikali unashangaa huelewi shida ni nini? Kama mmeshindwa kujaza uwanja ongea na mwana CCM mwenzenu mwamposa awasaidie kujaza huo uwanja mashabiki anao wa kujaza kwa mkapa na uhuru kwa mpigo Apereke kondoo wake wakaiombee timu ya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania CCM wametufikisha hapa, Tangazo la kuzuwia maandamano ya wananchi wakifurahia pindi anapokufa mwana ccm litataanza kutolewa soon

    Tayari tumefika kubaya na hakuelezeki kabisa Haya yote yanajiri ni kwa sababu tu, CCM mmekosa huruma, mmekosa utu, mnazurumu, mnateka na kuuwa watu peupe pe na bila aibu Wananchi wataanzia wapi kuwaona kuwa nyinyi ni binadamu wenzao Kifo??? Wananchi wanaandamana kufanya sherehe? Kufurahia...
  12. figganigga

    JamiiForums Tanzania Sala ya Mwana CCM katili pale anapotaka kufa

    Wana-CCM wote wanaaomuombea Mabaya Lissu, inapofika siku ya kifo wanakuwa wapole kama wananyolewa. Wanajuta sana.. Pamoja na Ukwasi wao na kutunga Sheria zinazowalinda wanapofanya ufisadi lakini saa ya kifo ikifika wanajuta. Dakika ya kifo wanasema, "Roho yangu imezimika, siku zangu...
  13. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Tumchambue Rostam Aziz, ni mjamaa mwana CCM kweli?

    Billionea Rostam Aziz 'kada' wa CCM Moja ya misingi ya Imani ya mwana CCM ni kwamba : Binadamu wote ni sawa Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake jamaa na kujitegemea ndiyo njia pekee ya kujenga jamii ya watu walio sawa na huru Pamoja na Imani hizi ambazo ni...
  14. funaku

    JamiiForums Tanzania Kwani PolePole alianza kuwa mwana CCM Lini?

    Wenye CCM Yao wameanza kuhoji Je huyu aneyejiita mwana CCM aliyesema ameshashika vyeo vikubwa ndani ya CCM. JE ni lini alijiunga na ÇCM? Je ni kweli anataka tumuamini eti anaijua katiba,mienendo na tamaduni za CCM Kuliko wengine?
  15. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuna Mwana CCM alitaka kufungua shauri kupinga fomu moja ya uchaguzi wa kugombea rais CCM. Aliishia wapi?

    Mwenye taarifa atujuze Malisa atinga kortini kupinga Samia kuwa mgombea urais
  16. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia, Nakushauri (Mimi kama Mwana CCM Mwenzako) tuahirishe Uchaguzi ili Tufanye Mabadiliko ya Katiba na Sheria

    Kama uchaguzi utafanyika hiyo Mwezi Oktoba,madhara ya kisiasa,kiuchumi na kidiplomasia yatatokea kama ifuatavyo; 1. Mvurugano ndani ya CCM utakuwa wa wazi na mkubwa sana, 2. Uhasama baina ya vyama vya upinzani na CCM utaongezeka, 3.Uzalishaji wa mali ndani ya nchi utazorota na huduma kwa umma...
  17. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Bagonza: Jioni hii nimepokea ujumbe huu kutoka kwa Mwana CCM, Nao wanataka Reforms

    KAMA HUYU NI MWANA CCM, wako wana CCM wangapi wa namna hii? Ukurasa wangu hupokea maoni mengi kutoka pande zote za sarafu, CCM, Wapinzani, Wasio na Vyama kama mimi, Maadui zangu na marafiki zangu. Jioni hii nimepokea ujumbe huu kutoka Mwana CCM. Nauleta kama nilivyoupokea na mwisho nitaweka...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Mwana CCM na mkewe akitoka kwenye mkutano wa halmashauri kuu yao apata ajali na kufariki hapohapo eneo la mji wa Mitumba - Dodoma

    Bila shaka alikuwa mmoja wa wajumbe wa mkutano wa Halmshauri kuu ya CCM ambako mwenyekiti wao Bi Chura Kiziwi alitoa kauli tata kuhusu Gwajima na blindly polisi wakiwa - facilitate "wasiojulikana" wameanza kufanya vitu vyao Wameanza kufyatuka mmoja mmoja. Kama una mfahamu, wajulishe ndugu zake...
  19. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Siamini kama kweli huyu ni mwana ccm

    Wasalaam Hii nchi ni ngumu sana kila mtu analalamika, nani wakutuokoa?
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania Joseph Sinde Warioba, mwana CCM pekee ambaye amegoma kumpongeza Wasira kwa nafasi ya umakamu CCM?

    Ni Wasira ndiye alimuondoa Warioba katika ubunge wa Bunda, walipelekana mpaka mahakama ya rufani. Sijamsikia Warioba akitoa hata pongezi, kulikoni!? N. B: Ni Wilaya ya Bunda ambayo imetoa Makamu wa Mwenyekiti CCM Taifa, Waziri Mkuu, nadhani(hata Mwenyekiti wa CCM taifa, Julius Kambarage...
Back
Top Bottom