Unakula Zako mitungu , unakutana na totozi , unashoboka nakumingo nae, mna enjoy mitungi na stories mbalimbali 🤔
Ila ukija hiyo sehemu mmekutana , ukiwa mzima , haujatia vitu mbavuni ,anakuogopa na hana mudi na wewe 😅
Sasa leo mtoto nimemtokea nimekula vitu vyangu , nikaamua kumfungukia...