Kazi inaendelea chini ya rais Samia. Mwaka 2025 hakuna mbadala wa kuendeleza kazi za taifa hili

Chagu wa Malunde

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
8,708
5,711
Mwenye macho haambiwi tazama
👇
20230527_010900.jpg
 
Mwenye macho haambiwi tazama
View attachment 2636086
Mkuu uwe unachagua maneno sahihi katika sentensi zako ili hoja yako iweze kubebea ujumbe bayana kwa hadhira uliyoikusudia. Nafikiri ungaliandika maneno, "mwaka 2025 hakuna kada yeyote ndani ya CCM anayeweza kuwa mbadala wa Samia kukiongoza chama hiki".

Huo ni ukweli kutokana na utamaduni, mila na desturi za CCM za Mwenyekiti Taifa akiwa katika kipindi chake cha kwanza cha uongozi kutoshindanishwa na kada mwingine. Lakini kusema kuwa hakuna mtu ndani ya taifa hili anayeweza kuwa mbadala wa Rais SSH ili kuendeleza kazi za taifa hili ni kuwakosea adabu Watanzania.
 
Back
Top Bottom