Paul Kishindo (1952 – December 1, 2020) was a Malawian sociologist, professor of Rural Sociology and former Dean of Social Science at University of Malawi Chancellor College Dr. Kishindo is well known in Malawi and internationally for his work on rural sociology in Malawi.
Ulimwengu wa mapenzi una vitu vingi sana!, ila ufundi na stadi kazi ndio tamu na asali ya ulimwengu huu!.
Nilijipatia mtoto fulani hivi kipotabo mweupe kidogo na umbile changamano!, siku hii ndio ilikuwa siku yakwanza kuonana baada yakufahamiana kwa muda fulani.. naweza kusema ilikuwa ni...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anatarajiwa Kutua kwa kishindo kikuu Mkoani Songwe Hapo kesho .
Ambapo Rais wetu Mpendwa na Moyo wa Taifa letu anatarajiwa Kupokelewa na Mamia ya Viongozi wa Dini...
Baada ya kipindi kirefu cha CHADEMA kufungiwa kufanya shughuli za kisiasa, hatimaye leo umefanyika mkutano mkubwa jijini Arusha ukiongozwa na Lema na Boniface Jaco
Nyomi ya watu ilikuwa si ya kawaida, hali ya hewa na mazingira vilikuwa vizuri sana, na mwitikio wa wananchi umeonyesha wazi kuwa...
Habari ndugu zangu.
Wale wapenz na members wangu wado penda kufatilia therd zangu sasa ivi nabanwa sana n mda ivyo sipo online uku mda mrefu masomo yanaendelea Kila siku na Kila mda.
Operesheni maalum inayoendeshwa na UVCCM mkoa wa Kagera, iliyopewa jina la Vijana Daka Fursa na Samia [VIDAFUSA] imeanza kwa kishindo katika wilaya ya Kyerwa jana tarehe 20 Februari 2026 kwa kupitia makundi ya vijana walionufaika na mikopo ya halmashauri ya 10% kwa kusikiliza mafanikio na...
Kwa kweli kama ni hivi inaweza badili kabisa the dynamics za geopolitics za middle east. Rais wa UAE na Mtawala wa Abu-Dhabi Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan alikuwa mtawala thabiti dhidi ya Siasa Kali za Kiislamu na Muslim Brotherhood, Aliwapigania Wayahudi waishi kwa Amani Dubai, alijitahidi...
Niseme wazi. Hata wakati wa utawala wa chama kimoja, ilikuwa nadra kwa mgombea urais kushinda karibia aslimia mia. Hii ilitokea hata wakati ambapo mgombea husika alikuwa akigombea na kivuli kama ilivyokuwa kwa Mwalimu Julius Nyerere na waliofuatia kabla ya kuanzisha mfumo wa vyama vingi ambao...
Katika historia ya Tanzania hakuna mtu ambaye amewahi kushinda urais kwa asilimia 97.6 za kura zote zilizopigwa.
Na katika hiyo hiyo historia yetu, hakuna mtu ambaye amewahi kuchaguliwa kwa kura nyingi sana zaidi yako wewe.
Umechaguliwa kwa kura zaidi ya milioni 31. Idadi hiyo ni takriban...
Mbinu zilizotumika kwenye "uchaguzi" wa mwaka 2020 ndizo walizopanga kuzitumia pia mwaka 2025. Lakini safari hii liliwakuta jambo ikabidi wabadili gea angani.
Mwaka 2020 wasimamizi wa vituo waliletewa matokeo ya bandia na ARO Kata wakati upigaji wa kura halali ukiendelea. Hizo kura za mchongo...
Hakika ya ushindi wa namna hii ni kwamba, ushindi huo hauwezi kumwondolea mshindi huyo hofu ya kwamba naye anaweza kuondolewa kwa kishindo
Hofu ya kulazimisha ushindi huwapokonya washindi bandia waliopo madarakani imani ya wapiga kura. Hivyo basi, washindi bandia hujitahidi kujijengea imani kwa...
Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa Awamu ya Saba wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Shwrehe za kuapishwa kwake zimefanyia Dodoma hii leo 03/Nov/2025
amani
awamu
dodoma
fursa
hii
kishindo
kumpongeza
mtukufu
raia
rais
saba
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
suluhu
tanzania
uapisho wa viongozi
upendo
ushindi
utulivu
wenye
Hongera mama Samia kwa ushindi hata kabla ya uchaguzi. Kwa vile watanzania wote wanakupenda kiasi kuwa tayari kutoa uhai wako kwa ajili yako, hapakuwa na haja ya kukuchosha na kukuaibisha kwa uchaguzi ambao uliishashinda hata kabla ya kufa Magufuli kwa vile wewe ni chaguo la Mungu.
Wanabiharamulo na wananchi wote wa Mkoa wa Kagera mnaalikwa kushiriki kwa wingi katika mkutano mkubwa wa hadhara tarehe 6/9/2025 katika Uwanja wa Mpira wa CCM Biharamulo Mjini.
Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emanueli John Nchimbi, atapanda jukwaani...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema chama hicho tayari kimejipanga kushinda kwa kishindo katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread...
Hivi wao wangendelea na mpango wao wa kuwafanya watu wao watiki, halafu Lissu aendelee kufanya harakati za NO REFORMS NO ELECTION, kwani kingetokea nini?
Kishindo cha Lissu kimeifanya CCM nzima ichanganyikiwe na kukanganyikiwa.
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Karagwe kimetangaza matokeo rasmi ya kura za maoni za kumpata mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Karagwe kupitia CCM, kufuatia uchaguzi uliofanyika tarehe 04 Agosti 2025.
Katika matokeo hayo, Ndugu Innocent Lugha Bashungwa ameibuka mshindi kwa kupata kura 7,902...
Hatimaye Nape kawasha Moto huko Mtama katika kata 19 kati ya 20 matokeo ni haya
1. Nape kura 3,160
2. Nahonyo kura 1,545
3. Chilumba 824
4. Jemadari Saidi 358
Uchaguzi wa 2010 CHADEMA ilipata matokeo mazuri sababu CCM ya wakati huo ilikuwa imepoteza imani kwa wananchi. Na kulikuwa na mpasuko na makundi makubwa.
Mwaka huu kwa CHADEMA hii ambayo inakubalika na huu mparaganyiko ndani ya CCM CHADEMA wangeshinda kwa kishindo na kupata viti vingi zaidi ya CCM
Nimetafakari sana nimeona kwa maslahi ya Yanga, bora nimuunge mkono mama Samia Suluhu Hassan ili kuendeleza wimbi la mateso kwa watani wetu. Wana Yanga kipindi mnafanya maamuzi fikirieni timu yenu.
#NOREFORMS_NO_ELECTION
Asante.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.