CHADEMA kubalini kuwa ACT wazalendo wameonyesha ukomavu wa kuwa chama dola. Mmlishaharibu kwa wananchi

Chagu wa Malunde

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
8,708
5,711
Hata TANU ilipokuwa inapambana ili kupigania uhuru wa Tanganyika ilihakiiisha kuwa na ofisi na matawi kila ofisi kila mkoa na kila wilaya.

ACT Wazalendo wameonyesha kuwa wakipewa dhamana ya kuwa chama dola wanaweza kutumia vyema rasilimali za umma

Ninyi mmekuwa kwenye siasa za Tanzania kwa zaidi ya miaka 28 lakini pamoja na kupata ruzuku,.michango na hata bakshishi hamjajenga hata ofisi ya makao makuu.

Kama hamna uaminifu kwa kidogo je kikubwa mtaweza kukituza?
 
JamiiForums609891976.jpg
 
mleta mada, siku zote kinachoongea no DATA na sio blahblahb kama unavyofikiria wewe!

Na ukomavu wa chama haujengwi kwa nadharia uliyokuja nayo tu tambua hilo.

Nilitaka kukupa nondo zaidi lakini naona uelewa wako ni mfupu sana!
 
Back
Top Bottom