nyeupe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mama mzazi wa Damour aeleza kijana wake alivyochukiliwa na watu saba waliofika nyumbani kwao na Landcruiser Nyeupe

    Mama asimulia jinsi alivyoshuhudia kijana wake Damour Nyakairo akichukuliwa na watu saba waliofika nyumbani kwao na Landcruiser Nyeupe. Akizungumza na The Chanzo leo Mei 02, 2026, Lilian Swai ambaye ni mama mzazi wa Damour Nyakairo, ameeleza kuwa kijana wake amechukuliwa asubuhi ya leo na watu...
  2. Financial Analyst

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini watu wenye asili ya uweusi wanapendelea wadada wenye makebo makubwa ila vijana wa ngozi nyeupe wanapendelea wadada wenye maanabeli makubwa?

    Ni ishu ya DNA au tu mazoea. Maana huku kwetu wadada wenye makebo mapana ndio habari ya mjini ila wazungu ni mabinti wenye maanabeli mapana.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA kaamua kuita nyekundu ni nyekundu na si nyeupe au vinginenyo

    Akiongelea sakata la Lissu kuendelea kushikiliwa gerezani, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA katumia lugha kali kueleza udhaifu wa Bi. Mkubwa huku akirejea na matamshi yake ya jana kuhusu bei ya mafuta duniani. Hakika kaamua liwalo na liwe maana hajazunguka katika matamshi yake. Watu wamechoka...
  4. ADESIGN

    JamiiForums Tanzania Nauza kitanda inch 6×6 kirefu ni sofa bed nyeupe kikubwa 280,000

    Kwa mwenye uhitaji anipigie 0684101707, nimeweka picha hapo haijakamilika sina picha nyingi maana nilikifungua pindi tu nimejifungua, kitanda kina hali nzuri,
  5. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Watekaji wamekuwa wakitekeleza uhalifu kwa gari aina ya cruiser nyeupe na ndio wale wale tuliowaona kwenye video wakiuwa raia October 29

    Watekaji wamekuwa wakitekeleza uhalifu kwa gari aina ya cruiser nyeupe na ndio wale wale tuliowaona kwenye video wakiuwa raia October 29 Hii inaonesha kuwa watekaji ni vyombo vinavyoaminika kama vya usalama ndio wahusika
  6. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Day 3: Tunaelekea Ikulu. Jamani njooni, njia ni nyeupe na tupo wa kutosha hakuna wa kutuzuia. Chakula kitakuwepo

    Mlio dar maelfu ya wananchi wanaelekea kuchukua Ikulu yao jitokezeni kwa wingi tuchukue nyumba yetu kwa mafisadi.
  7. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Je, mfumbua mambo ndiye yeye mwenye kuisoma karatasi nyeupe ya siri 2025?

    Tulipata fununu huko JamiiForums na kuambiwa kama mambo yakiharibika kabisa basi pataitishwa baraza la siri la wazee na makachero wabobezi wenye siri za Taifa hili na ndani ya kikao hicho yatasemwa mengi mepesi na mazito baada ya hapo kachero wa siri ambaye amewahi kuwa katika vyumba vya siri...
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Goli la kibabe la Shomari Kapombe limesafisha njia nyeupe kwa Timu yetu ya Taifa kuelekea nusu fainali na hatimaye tutashinda.

    Hakika timu yetu imeendelea kujituma kwa bidii kupigania kombe la chan. Jana dakika za majeruhi Shomari Kapombe alipoga goli la kibabe na kuizamisha Maurtania. Pongezi kwa timu yetu....iendelee hivyohivyo. Wacheze kwa bidii na kujituma, ila waepuke makosa madogomadogo. Bila kumsahau Rais wetu...
  9. Setfree

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wakristo hawavai kanzu nyeupe saa ya kusali kama Yesu alivyofanya?

    Kwanini Wakristo hawavai kanzu nyeupe saa ya kusali kama Yesu alivyofanya? Yesu aliishi katika jamii ya Wayahudi iliyokuwa na mila na desturi za mavazi. Katika mazingira hayo, kuvaa mavazi meupe ya aina ya kanzu ilionekana kuwa ni ishara ya usafi, utakatifu, heshima na ibada. Hata hivyo...
  10. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Chuma bado nyeupe hii, inatakiwa ishindiliwe zaidi.

    Oi bongo dasalama
  11. B

    JamiiForums Tanzania Nyama ya bata ni nyama nyekundu au nyeupe?

    Vipi kuhusu faida zake za kiafya ukiachilia hizi za kwenye google. Mzoefu wa nyama ya bata please funguka
  12. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa Arusha wazuri sana kuwatoa out, hawafeki maisha, wanagonga "nyeupe" kwa uhuru sio visavana, hawana tabia za kumkomoa mtoaji

    Pisi kibao za Dsm na mikoa mingi ukizitoa out huwa ni kama umempa mtoto atm card atumie kwa siku moja, matumizi yao yapo rafu na kikomoaji kununua vinywaji ghali na mavyakula ya bei hadi vya kupeleka nyumbani, atawaita pia marafiki zake ambao ni wazoefu wa kudandia out za wenzao na ni makonkodi...
  13. Mumlii

    JamiiForums Tanzania Natafuta karanga,

    Kwa bei ya wakulima nitazipata maeneo gani? Nko ushirombo
  14. kinywanyuku

    JamiiForums Tanzania Usafishaji wa pochi nyeupe ukoje

    Habari wauza pochi na mikoba zile pochi na mikoba white huwa unasafisha kwa kutumia nini zisipoteze ubora wake
  15. Suip

    JamiiForums Tanzania Kuuliza sio ujinga,hizi kokoto nyeusi na nyeupe?

    Naomba kuuliza wadau wa ujenzI kuna hii kitu,nadhani ni kokoto iliyozungushwa kuzunguka msingi wa nyumba,naona ni kama kokoto nyeusi na nyeupe au ni kokoto imepuliziwa rangi nyeupe na nyeusi? Nawasilisha kwa anayejua hii kitu.
  16. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Simba ianze kutumia zaidi jezi nyeupe maana bado hazijachafuliwa

    Kuna kitu nimekiona msimu huu katika performance ya mchezaji mmoja mmoja wa Simba kimenifikirisha sana. Katika michezo miwili ya msimu huu ambayo naikumbuka mpaka sasa Simba wakivaa jezi nyeupe, huu mchezo wa leo dhidi ya Coastal Union na ule wa Costantine kule Algeria, performance ya mchezaji...
  17. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Joseph Oleshangay: Kuna watu wanataka Kuvunja Chama ili kumtengenezea Samia Njia Nyeupe Ya Ikulu

    Anaandika Wakili Joseph oleshangay freemanmbowetz anaashiria maridhiano yalikwama Kwa sababu ya negative energy kutoka Chadema “team Lissu” Kwa sehemu kubwa ya hotuba ya freemanmbowetz , suluhuSamia is just a pure soul. Anasema wamenunua ofisi 1.6b kutokana na maridhiano wakapewa ruzuku. Ila...
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Njia nyeupe kwa Ezekia Wenje makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa

    ikiwa hali ya kisiasa nchini na mipango mikakati kuelekea uchaguzi mkuu 2025 itakwenda kama ambavyo iko hivi sasa, basi ni dhahiri mgombea makamu Mwenyekiti Chadema taifa atabaki Ezekia Wenje pekee.. Je, ni ishara ya pumzi mpya, fikra mpya, mawazo mapya, harakati mpya na zama za hayati Chacha...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Trump njia ni nyeupe, Biden na Harris wanaenda kuangukia pua, Waliyataka wenyewe hawana pa kulalamika

    Ni baadhi ya vitu mbavyo Biden na Harris sambamba na Democrats wamevifanya vitavyomsafishia njia Trump. Mfumuko wa bei, Maisha yamekuwa ghali zaidi kipindi cha Biden na Harris Hakuna kitu kinawaumiza wamarekani middle class na class za chini zaidi kama mfumuko wa bei. Mafuta, umeme...
Back
Top Bottom