Chadema Fukuza Joseph Selasini sasa hivi
Joseph Selasini alikuwa ni miongoni mwa Wanamageuzi 15 waliounda Kamati ya Kitaifa ya Mabadiliko ya Kikatiba, The National Convention for Construction and Reform (NCCR) mwaka 1991, wakiongozwa na Mzee Fundikira, Mtikila, Marando, Lwamwai na wengine...
Sote ni mashahidi dhidi ya kuweweseka kwa chama cha demokrasia na maendeleo, chadema baada ya mwanachama wake na nguli wa siasa za Tanzania, senior politician Joseph Selasini Shao, kupendeza kuundwa kwa kamati ya uchunguzi, kuchunguza ufisadi wa heche ndani ya chadema ili kujiridhisha na kujua...
Joseph Selasini alikuwa ni miongoni mwa Wanamageuzi 15 waliounda Kamati ya Kitaifa ya Mabadiliko ya Kikatiba, The National Convention for Construction and Reform (NCCR) mwaka 1991, wakiongozwa na Mzee Fundikira, Mtikila, Marando, Lwamwai na wengine.
Kwenye kamati hiyo akiwa na Mabere Marando...
Kuna hujuma kali sana inafanywa na mauaji kutaka kuisambaratisha CHADEMA. Hii inaonesha kabisa hawa watu sio kwamba wana nia ya kuiponya Tanzania
Wala hawajali mauaji waliyoyafanya Octoba 29
CHADEMA kuweni macho sana sana
Fukuza wote waliohongwa na kwa sasa hivi msitishe zoezi la kuwapokea...
Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joseph Selasini, amesema haiwezekani kukataa maridhiano bila kwanza kuwepo mchakato wa kuyafikia.
Amesema mchakato huo unapaswa kuwa na wajumbe, mwenyekiti na ajenda za kujadiliwa, ambapo pande zinazohusika zinaweza kukubaliana au...
Hi.GT
Nawashauri viongozi wangu wa Chadema. wajikite kufanya kazi na watu wenye mioyo siyo wenye njaa.
Chadema ni maarufu tayari haiitaji mtu yeyote maarufu kujitangaza nawashauri waachane na magarasa hata Halima mdee akirudi leo tupilia mbali.
Joseph selasini anajulikana kaenda NCCR mageuzi...
Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joseph Selasini, amekitaka chama hicho kutumia vyombo vyake vya ndani kuchunguza tuhuma za kifedha zinazowakabili baadhi ya viongozi wake, akisema hatua hiyo itasaidia kubaini ukweli, kuwasafisha watakaobainika kutokuwa na hatia na kuimarisha...
Ukimya wake una maana gani kisiasa baada ya kurejea Chadema akitokea NCCR-MAGEUZI, tofauti kabisa na makelele ya wanasiasa wengine wanao tangatanga kama vile mpayukaji Peter Msigwa, anae roporopoka tu kila uchwao angalau awatulize wasio muelewa kuhusu undumilakuwile wake kisiasa?
Ukimya wa...
Tusibiri vikao vya Chama vya kumsimika rasmi au tusibiri mapinduzi tukufu halafu tukutane mahakamani?
Kuna haja ya kukumbushana kidogo juu ya katiba ya chadema kuhusu nafasi ya mwenyekiti wa taifa au baada ya nafasi kujazwa?
haiwezekani mtu awekeze pesa, muda wake meingi na maisha yake yote...
Ni suala la muda tu kuanzia sasa, kwa hilo kutokea kulingana na uelekeo wa siasa za Tanzania na ombwe la uongozi linaloonekana wazi hasa ndani ya Chadema taifa.
Joseph Selasini anaingia Chadema kama moja miongoni mwa viongozi nguli na waandamizi wa chama hicho cha siasa, wanaokwenda kujitoa...
What real inspires Joseph Selasini to jet back to Chadema at this time? And who is behind his move? Is he a mole or trojan horse within Chadema circle?
Which opportunities did J.Selasini see within Chadema we didn't see them? Can we expect Chacha Wangwe scenarios within Chadema?
Can we expect...
Hili ni kokoro linasomba yeyote yule.
Maisha ya Ajabu sana. Leo hii Selasini aliyekaribishwa na Mbatia NCCR alimtimua Mbatia aaliyemkaribisha baada ya kutumiwa na TISS. Huyu pia alitumika kudhoofisha NCCR ya akina Mabere / Mrema miaka ya 1990s
Selasini ni bingwa wa siasa za majungu, unafiki na...
Anaandika Joseph Selasini, aliyekuwa mbunge wa Chadema katika jimbo la Rombo (2010-2020).
Mbowe anatia aibu.
Hao wafuasi wake waliimba kwamba uchaguzi wao ni mfano wa kuigwa. Kumbe dhamira ni yeye na genge lake kuendelea kuiatamia na kuiongoza Chadema kama familia.
Waliofungua hii kesi hata...
Wakuu,
Panazidi kuchangamka huko,
Baadhi ya vyama vya siasa nchini vimesema haviko tayari kususia uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu kwa kigezo cha marekebisho ya katiba mpya.
Haya yamebainishwa mkoani Morogoro na Makamu Mwenyekiti Taifa Chama cha NCCR Mageuzi Joseph...
Joseph Selasini, Makamu Mwenyekiti NCCR Mageuzi amesema kwamba ukiingia kwenye siasa hasa zile za upinzani jiandae kutoa zaidi kuliko kupokea, na wanasiasa wengi wamekuwa maskini kwa sababu ya kutoa.
Joseph Selasini wa NCCR-Mageuzi amesema kuna tabia imezuka ambayo yanaweza kuhatarisha tunu tulizonazo ikiwemo amani.
Amesema kwa sasa mtu akikosoa badala ya kuangalia hoja watu wanaangalia dini ya anayekosoa na dini ya anayekosolewa na kuleta hoja ya udini, suala ambalo si jema kwa ustawi wa...
"Muungano ule (UKAWA-2015) ulilenga kuviua vyama vingine na Chadema ndio ilikuwa namba moja kuvimaliza vyama vingine, NCCR Mageuzi haitarudia makosa yale"
Joseph Selasini, Makamu M/kiti NCCR Mageuzi.
Chanzo: Jambo TV
Baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe kusema chama chake hakihitaji ushirikiano au muungano na vyama vingine vya upinzani baadhi ya viongozi wa upinzani wamemshukia kama mwewe.
Selasini wa NCCR mageuzi amesema 2015 CHADEMA kupitia UKAWA ulikuwa na mkakati wa kuviuwa vyama vingine vya upinzani na...
Makamu Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, Bara, Joseph Selasinametoa ombi hilo katika Mahakama Kuu, Masjala kwa maelezo kuwa bado anakamilisha nyaraka za utetezi.
Katika ya msingi namba 184/2022, Mbatia anaiomba Mahakama itamke kuwa tuhuma alizozitoa Selasini dhidi yake ni za uongo, na hivyo imwamuru...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.