wagombea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ndege JOHN

    Wagombea kugawa hela mbona inachukuliwa kawaida wakati NI rushwa ile

    Chama kisikae kimya kukemeea hii michezo wagombea unaambiwa usiku wanapita na kugawa 10000 kwa watu
  2. Ileje

    GE2025 Je Dorothy Temu anawania Ukuu wa Mkoa kama wagombea Urais wanawake waliomtangulia?

    Anna Mghwira aliwahi kugombea Urais wa JMT kupitia ACT Wazalendo mwaka 2015 na kushindwa. Baadaye aliteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa katika serikali ya CCM. Mwaka 2020 Queen Sendiga aligombea Urais kupitia ADC na kushindwa. Naye baadaye aliteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa katika serikali ya CCM. Je lengo la...
  3. C

    GE2025 Maagizo ya katibu wa Itikadi na Uenezi ccm kurudisha majina ya wagombea udiwani kupitia CCM nchi nzima hayajatekelezwa

    Jana katibu wa Itikadi na uenezi CCM Amos Makala aliongea na vyombo vya habari na kusema kuwa majina ya wagombea udiwani kupitia CCM nchi nzima yarudishwe yote ili yakapigiwe kura na wanachama naona agizo hili kwenye ikoa niliyopita halijatekelezwa kulikoni? Wadau huko kwenye mikoa yenu vipi...
  4. Just Pray

    GE2025 Wagombea ubunge, udiwani Segerea wakijinadi mbele ya wajumbe

    Wagombea Ubunge na udiwani katika Jimbo la Segerea kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Agosti 2, 2025 walipoitwa mbele ya wajumbe Kata ya Kiwalani kwa ajili ya kutambulishwa kabla ya kuwaomba kupigiwa kura Agosti 4, 2025. Jimbo hilo lina jumla ya wagombea saba.
  5. Just Pray

    GE2025 Majina ya wagombea udiwani kata za wilaya ya Uyui Tabora

    Akisoma Majina hayo Agosti 1, 2025 ofisini kwake Katibu wa Siasa na uenezi Ccm mkoa wa Tabora Ndugu Idd Moshi Mambo ameeleza kuwa haya ndio majina ambayo yamepitishwa na Chama cha mapinduzi Ccm kwa ajili ya Wajumbe wa Chama cha mapinduzi ngazi ya kata kuwapigia kura na kumchagua mmoja kuwa...
  6. Waufukweni

    GE2025 Wajumbe UWT wazuiwa kuuliza maswali kwa wagombea ubunge

    Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, John Mongela amezuia maswali kwa wagombea wa nafasi ya ubunge kundi la UWT. Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)) leo Jumamosi Agosti 2, 2025 wanafanya mkutano wa kuwachagua wabunge kupitia kundi hilo. Katika ukumbi...
  7. Just Pray

    GE2025 Majina ya wagombea udiwani wilaya ya Tabora mjini

    Katibu wa Siasa na uenezi Ccm mkoa wa Tabora Iddi Moshi Mambo ametaja orodha ya majina ya watia nia wa udiwani wilaya ya Tabora mjini. Mambo, ameeleza kuwa majina hayo yamepitishwa na Chama cha mapinduzi CCM kwa ajili ya Wajumbe wa Chama hicho ngazi ya kata kuwapigia kura na kumchagua mmoja...
  8. Just Pray

    GE2025 Majina ya wagombea udiwani wilaya ya Sikonge-Tabora

    Katibu wa Siasa na uenezi Ccm mkoa wa Tabora Iddi Moshi Mambo ametaja orodha ya majina ya watia nia wa udiwani wilaya ya Sikonge mkoani Tabora. Mambo, ameeleza kuwa majina hayo yamepitishwa na Chama cha mapinduzi CCM kwa ajili ya Wajumbe wa Chama hicho ngazi ya kata kuwapigia kura na kumchagua...
  9. Just Pray

    GE2025 Majina ya wagombea udiwani wilaya ya Urambo - Tabora

    Katibu wa Siasa na uenezi Ccm mkoa wa Tabora Iddi Moshi Mambo ametaja orodha ya majina ya watia nia wa udiwani wilaya ya Urambo mkoani Tabora. Mambo, ameeleza kuwa majina hayo yamepitishwa na Chama cha mapinduzi CCM kwa ajili ya Wajumbe wa Chama hicho ngazi ya kata kuwapigia kura na kumchagua...
  10. Just Pray

    GE2025 Majina ya wagombea udiwani wilaya ya Kaliua-Tabora

    Katibu wa Siasa na uenezi Ccm mkoa wa Tabora Iddi Moshi Mambo ametaja orodha ya majina ya watia nia wa udiwani wilaya ya Kaliua mkoani Tabora. Mambo, ameeleza kuwa majina hayo yamepitishwa na Chama cha mapinduzi CCM kwa ajili ya Wajumbe wa Chama hicho ngazi ya kata kuwapigia kura na kumchagua...
  11. Just Pray

    GE2025 Majina ya wagombea udiwani wilaya ya Nzega-Tabora

    wa Siasa na uenezi Ccm mkoa wa Tabora Iddi Moshi Mambo ametaja orodha ya majina ya watia nia wa udiwani wilaya ya Nzega mkoani Tabora. Mambo, ameeleza kuwa majina hayo yamepitishwa na Chama cha mapinduzi CCM kwa ajili ya Wajumbe wa Chama hicho ngazi ya kata kuwapigia kura na kumchagua mmoja...
  12. nyamadoke75

    GE2025 Kilimanjaro: Mwenyekiti CCM Hai ampigia debe Saasisha Mafuwe huku akiwabeza wengine hawana uwezo

    Wananchi katika jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro wamemlalamikia mwenyekiti Wanguba Maganda kwa kuonesha mapenzi ya wazi kwa mgombea Saasisha Mafuwe huku akiwabena wengine hawana uwezo
  13. tonicimmobility

    Makalla: Wagombea wote wa udiwani CCM wapigiwe kura za maoni

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa agizo kwa makatibu wa mikoa wote nchini kuhakikisha wagombea wote wa nafasi za udiwani waliokuwa kwenye orodha ya awali wanarejeshwa kwa ajili ya kupigiwa kura za maoni kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Taarifa hiyo imetolewa siku ya Ijumaa na CPA Amos...
  14. Nkobe

    Mimi Raia wa kawaida najiuliza, kamati kuu ya CCM ndio inateua wagombea wa ubunge, lakini kamati hiyo hiyo ndio inatakiwa kuhojiwa na Bunge

    Kama kichwa cha habari kisemavyo, hata kama wewe una IQ ndogo utajiuliza. CCM ndio chama tawala tangu uhuru, bila shaka kwa namna wanavyowapiga rungu wapinzani, ni wazi kuwa wabunge walioteuliwa na watawala ndio watarudi bungeni kwa wingi. Moja ya kazi ya mbunge ni kuisimamia na kuihoji...
  15. DuaZaMama

    GE2025 Kagera: Watia nia CCM wakitoa burudani kwa wajumbe

    Wakuu ==== Watia Nia kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Kagera wakitoa burudani Kwa Wajumbe ukiwa ni mchakao wa ndani wa Chama hicho na uchaguzi unatarijiwa kufanyika siku ya Jumatatu Agosti 4, 2025.
  16. Mwanongwa

    Mbeya :Viongozi wa Ccm Wilaya ya Rungwe acheni kuwapambani baadhi ya wagombea

    Aliyekuwa Mhe Diwani kata ya Mpombo -na Mwenyekiti WA Halmashauri ya Busokelo wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya anayejulikana Kwa Jina la Anyosisye Njobelo ameamua kutumia hongo ili Jina lake lirudi. Baada ya kukatwa Anarudishwa Kwa kutumia mlango Wa nyuma Kwa Kuhonga kisa eti yeye anajinasibu...
  17. L

    Rais Samia ametenda haki katika uteuzi wa wagombea Ubunge

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na jemedari wetu kipenzi cha Watanzania, Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hassan — mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini, na nuru ya wanyonge. Ameonyesha kujawa...
  18. Just Pray

    GE2025 Kada wa CCM Simiyu alalamikia mchakato wa kuteua wagombea, asema bila haki tutapata wabunge ambao si wazuri

    Wakuu Aliyekuwa mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Meatu mkoani Simiyu kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Godfrey Sitta Sukari, akitoa malalamiko yake dhidi ya viongozi wa Chama Mkoa na Wilaya akidai kuhusika kwao kuvuruga zoezi la uteuzi wa wagombea mkoani hapo.
  19. R

    Toa neno moja kwa wajumbe wa CCM kuelekea uchaguzi wa wagombea ubunge na Udiwani 2025 ndani ya CCM

    Kwangu mimi wale pesa kura wapeleke kwa mtu sahihi .
  20. Parabolic

    GE2025 Uteuzi wa wagombea umekuza au umekanyaga demokrasia ndani ya CCM?

    Kufuatia Chama Cha Mapinduzi (CCM), kutoa orodha ya watia nia waliopita kuwa nia Ubunge hatua ya awali katika Majimbo mbalimbali Tanzania Bara na Zanzibar, kumekuwa na sura tofauti za maoni kuhusu demokrasia ndani ya chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025, huku pia...
Back
Top Bottom