prof. lipumba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Prof. Lipumba: Uchaguzi wa 2025 ulikuwa vurumai, CUF tulitegemea kupata walau majimbo 15

    Profesa Lipumba amesema kuwa chama cha wananchi CUF japokuwa hakikutarajia kushinda ngazi ya urais lakini kiliamini kingeweza kupata majimbo ya ubunge walau viti 15, lakini ilishindikana kutokana na uchaguzi mkuu kutokuwa huru na haki.
  2. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Prof. Lipumba: Kwa wastani wa vituo na idadi ya waliotajwa kupiga kura, isingewezakana kumaliza kwa siku moja

    Profesa Lipumba jana Machi 29, 2026 akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya ofisi ya CUF, jijini Dar es Salaam, alisema kuwa kwa wastani ilihitajika Dakika nne - tano kwa mtu mmoja kumaliza zoezi la kupiga kura. Kwa idadi ya vituo vya kupigia kura na idadi ya wapiga kura, kila kituo kilikuwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba akabidhi ofisi CUF, asema chanzo cha kuondolewa kwake ni hotuba aliyotoa Januari 27, 2026 aliyopendekeza kuwepo serikali ya mpito

    Hatimaye, Profesa Ibrahim Lipumba amekubali kung'olewa katika wadhifa wa uenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), huku akiacha maagizo matano kwa mwenyekiti mpya, Mirambo Yusuf, likiwemo kuhakikisha anasimamia nchi kupata Serikali ya mpito. Mbali na hilo, ameisisitiza upatikanaji wa Katiba mpya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bwege: Katika watu wabaya Siasa za nchini ni Prof. Lipumba, ni mtu wa system na dalali wa CCM

    Aliyekuwa Mbunge wa Kilwa Kusini na Kada wa chama cha ACT Wazalendo, Selemani Bungala almaarufu "BWEGE" amesema Profesa Ibrahim Lipumba ni moja Kati ya watu wabaya Katika siàsa za Tanzania Kwani yeye ndio aliyechangia kudumaza Chama cha wananchi CUF.
  5. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Prof. Lipumba: Tumeshajeruhiwa na Muungano wa Vyama vya Upinzani

    Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, amesema kuwa maridhiano ndani ya vyama vya upinzani yamekuwa yakileta madhara na kuwajeruhi, na kwamba wamejifunza kutokana na yaliyotokea kipindi cha nyuma. Akizungumza na Wanahabari Lipumba amesema kuwa kuna watu wanaotafuta...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Profesa Lipumba achaguliwa tena mwenyekiti CUF, aweka historia

    Matumaini na imani ya wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF), yamebaki vile vile kama ilivyokuwa miaka 25 iliyopita, baada ya kumchagua tena Profesa Ibrahim Lipumba kuwa mwenyekiti wao taifa. Profesa Lipumba anaukwaa wadhifa huo, baada ya kupata kura 216 katika uchaguzi wa ndani wa chama hicho...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba na wenzake waonesha tabasamu, MC Kissu alivyowaita vyama rafiki wa CCM huko Kwanza

    Kwenye maadhimisho ya kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru na kumbukumbu ya miaka 25 tangu kifo cha Mwl Nyerere uwanja wa CCM Kilumba Mwanza. Prof. Lipumba pamoja na viongozi wengine wa vyama vidogo vidogo vya upinzani nchini, wakiongozwa na Prof. Lipumba walionesha kutoa sura ya tabasamu pale...
  8. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: Napata wasiwasi kanuni zipi kutumika Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania(TCD), Profesa Ibrahim Lipumba amesema kuwa anapata wasiwasi kwamba uchaguzi wa serikali za mitaa, unaweza kuwa kama wa mwaka 2019 au utakua tofauti, kwa kuwa haijulikani utatumia kanuni zipi. Lipumba ametoa kauli hiyo leo Machi 11, 2024 wakati wa...
  9. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: Nina Matumaini Makubwa na Rais Samia, Chaguzi Zijazo Zitakuwa Huru na Haki!, Mambo ya 2019/2020 Yasijirudie!

    Wanabodi, Nimeanzisha mfululizo wa makala za Uso kwa Uso, au Face to Face Vox Pop, ambapo nikialikwa event yoyote, nitakuwa nafanya mahojiano mafupi ya face to face kupata Vox Pop ya baadhi ya washiriki wa event hiyo Face2Face ya leo ni c̅ M/Kiti CUF, Prof. Lipumba - "Nina Matumaini Makubwa na...
  10. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: Mkataba wa Bandari ni madudu, Chukua Chako Mapema?

  11. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba kumbe angalipo

    Amesikika Prof. Lipumba: Kumbe wapinzani ni CUF ya kwake na kwamba CDM si mali kitu.. Kwanini mtu asimwelewe Dkt. Mollel?
  12. C

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba apata ajali, gari yake yapinduka na kuharibika

    BREAKING: PROF LIPUMBA APATA AJALI "Gari yake imepinduka na imeharibika vibaya..." Taarifa zaidi zitakujia hivi punde ======= Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amepata ajali eneo la Nangurukuru mkoani Lindi saa moja usiku jana Jumatano baada ya gari alilokuwa anasafiria kupinduka...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba hajui Siasa. Risasi 16 alizopigwa Lissu ni Mtaji wa kisiasa wa kumpeleka Ikulu kama Kifungo cha Mzee Mandela kilivyompeleka Ikulu!

    Kuna wakati Prof Lipumba alipigwa Kwenye harakati za kisiasa anafungwa pop mikononi, kila alipokwenda alikuwa anautanguliza ule mkono Watu wauone na hakuna aliyemlaumu. Kifungo cha mzee Mandela gerezani lilikuwa mtaji na sifa kuu ya yeye Kuchaguliwa kuwa Rais wa SA. Ni ama Prof Lipumba hajui...
  14. comte

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: Tundu Lissu aliniwekea pingamizi nisigombee urais 2020 kwa sababu za hovyo kabisa

  15. comte

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: Kuna vyama vina sera za kutongoza mademu

    Prof. Lipumba: Hitimisho, baraza kuu linatoa wito kwa watanzania pamoja na waandishi wa habari kujiunga na chama cha CUF chenye lengo la kujenga nchi yenye haki sawa na furaha kwa wananchi wote. Kitakachotumia rasilimali za nchi yetu kukuza uchumi unaoongeza ajira utakaowapa na kuwanufaisha...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ni lini John Cheyo na Prof. Lipumba watafanya mikutano ya hadhara?

    Imebidi niulize ili labda kama kuna anayejua ratiba ya Mikutano ya hadhara ya Wanasiasa hawa na vyama vyao atueleze. Mchumi Lipumba na Bwana Mapesa ni wanasiasa wakongwe mno, bila shaka wataitumia fursa hii ya mikutano ya hadhara ili kuimarisha vyama vyao.
  17. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba (PhD), Mwenyekiti CUF, 1999-2022!

    Hongera sana Full Professor in Econometrics Ibrahim Lipumba (PhD) kwa kuongoza chama kwa Miaka 23. Hili ni la kupigiwa mfano duniani kote. Hakika tuna mengi ya kujifunza kwako. NB: Naambatanisha na tasnifu (PhD Thesis) yake ya shahada ya Uzamivu.
  18. Replica

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa kishindo bungeni 2020, Lipumba adai yalikuwa maandalizi ya kubadili katiba aliyepo aendelee

    Prof. Ibrahim Lipumba leo ameuelezea uchaguzi wa 2020 akiwa kwenye mkutano ulioandaliwa na TCD. Lipumba ametolea mfano Pemba ambako CCM walikuwa hawapati viti lakini 2020 wakabeba viti 12 ilhali Tanzania bara kati ya viti 214 upinzani uliambulia viti viwili pekee mpaka Unyanyembe wakaja na...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba aikataa Kamati ya Prof. Mukandala. Asema hakuna mjumbe aliyesema mchakato wa Katiba usubiri hadi mwaka 2025

    Huyu ni miongoni mwa Wajumbe walioteuliwa na Rais chini ya Rwekaza Mukandala, Anaitwa Haruna Lipumba ambaye ni Mwenyekiti wa CUF. Jionee mwenyewe "Mimi nilikuwa mjumbe kwenye mkutano uliofanyika Dodoma na hakuna mjumbe hata mmoja aliyesema mchakato wa katiba usubiri hadi mwaka 2025. Baraza...
  20. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Namkumbuka: Juma "Babu" Duni Haji 1995

    MWENYEKITI WA TAIFA ACT WAZALENDO JUMA ‘’BABU’’ DUNI HAJI: NINAVYOMKUMBUKA Kuna kitu katika haiba nzima ya wanasiasa walio katika upinzani Zanzibar ambacho ni tabu kukieleza kwa maneno haya yetu ya kawaida. Kuna picha kila nikiiangalia machozi yananilenga. Ismail Jussa yuko kwenye...
Back
Top Bottom