"Suala la bodaboda ni kero kubwa sana na hasa katika utumiaji wa sheria za barabara, mimi ni mtetetezi mkubwa sana wa bodaboda lakini matumizi yao kwenye barabara yanakatisha tamaa lazima muwe na mkakati maalum wa kudhibiti ajali wanazozifanya na lazima muwe na sheria kali za kuwadhibiti na hata...
Leo Bungeni Waitara alikuwa anajenga hoja ya swali la nyongeza lakini kabla hajamaliza hoja yake Naibu Spika akamwamuru na kusema "Kaa Chini".
Kitendo cha Naibu Spika kumtolea lugha ya kaa chini siyo lugha ya kiungwana na hii inaonyesha ubabe wa Naibu Spika.
Unapokuwa Bungeni unatakiwa...
Leo 30/08/2023 kuna Mbunge Mwanamke simfahamu jina lake, nilikuwa namuona kaketi nyuma wakati Nape anawasilisha kutokea kwenye "podium", amevaa "evening dress" ya kifua wazi bungeni.
Ni aibu kwa Bunge letu ikiwa wabunge hata "dress codes" hawaelewi, wawe wanakwenda wabobezi wa mitindo...
NAIBU Spika Mussa Azan Zungu ameitaka serikali kupitia Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kudhibiti kelele hasa za muziki katika makazi ya watu ambazo zimegeuka kero kwa wakazi.
“Wazee wengi wanateseka na makelele ambayo hayana udhibiti (control). Tuwaombe NEMC mchukue...
Nikiri kwanza kwamba, baada ya uchaguzi mkuu uliopita 2020, morale ya kufuatilia siasa za nchi hii imeshuka sana kwangu, ukiachia mbali kufuatilia bunge lenyewe. Namna siasa zinavyotafsiriwa na kufanywa kwenye nchi hii, haitii raha kabisa, kama tunakuwa wakweli wa dhamira zetu.
Tunamuomba tu...
Tumemsikia Naibu Spika, Mussa Zungu, akielezea kuhusu tozo zilizolalamikiwa Sana na wananchi, hadi Serikali ikasalimu amri na kuahidi kuzipunguza tozo hizo kuanzia tarehe 1 mwezi ujayo.
Katika maelezo yake alidai eti wananchi wanachujua ni kuilalamikia Serikali kuhusu tozo wanazotoza kwenye...
Amesema aligundua kuwa anapofanya miamala Serikali huchukua pesa kidogo kuliko bank au makampuni ya simu.
Ametaka Serikali ifanye utafiti kuona kama kiwango wanachokata kiko sahihi au kunahitajika mabadiliko.
Pia soma:Naibu Spika ashauri Serikali kudhibiti makato ya Mabenki na Kampuni za Simu...
Bado hawajamaliza,
Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Azzan Zungu, amemtaka Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe.Nape Nnauye, kuona namna watakavyoweza kushirikiana na Wizara ya Fedha, kuja na mfumo thabiti utakachochea ongezeko la mapato ya serikali kupitia matumizi...
Kwa heshima na taadhima ninalazimika kuuliza:
Ni miye peke yangu nisiyemwelewa huyu ndugu ambaye anafahamika kama mwasisi kindaki ndaki wa tozo?
"Gateway ya internet kuwa nje maana yake nini?" Nani aliipeleka huko? Inarudishwa vipi hiyo nchini?
Au kwa nini anaumia mno makqmpuni ya simu...
Hoja ya Zungu kwa wenye akili watafikiria vizuri na kuisupport, serikali imekua ikipoteza mapato kupitia bando. Sasa hivi matumizi makubwa yamehama kutoka kwenye voicecall na kuwa kwenye bando.
Hivyo ninaomba kwa wale wenye akili waunge mkono wazo Hilo la serikali kwa kufikiria na kuja na tozo...
Preamble:
Fikiria una nyumba 1000, zote zina huduma ya umeme na fiber. Zote zina matumizi ya kawaida ya umeme na fiber.
Kwa kawaida gharama ya umeme iko chini kushinda fiber. Nyumba moja inaweza kutumia 20,000/= kwa mwezi kwenye umeme. Kwenye fiber kifurushi cha 50,000/= unlimited kwa mwezi...
Baada ya Serikali kutangaza kufuta baadhi ya Tozo za miamala ya Kieletroniki, Naibu Spika Mussa Zungu amesema Serikali iangalie namna ya kupunguza makato yanayokatwa na Mabenki na Kampuni za Simu kwasababu yanazidi Tozo zinazochukuliwa na Serikali.
Zungu amesema wananchi wengi hawatazami mapato...
Aliyekuwa Diwani wa Wadi ya Sirikwa (MCA) Alfred Mutai amenyakua kiti cha ubunge cha Kuresoi Kaskazini katika uchaguzi uliofanyika Jumanne, Agosti 9.
Mutai, ambaye alikuwa akiwania Ubunge kwa tiketi ya Chama cha UDA, amepata kura 25,365, na kumshinda mshindani wake wa karibu, aliyekuwa Naibu...
Mgombea pekee wa nafasi ya Unaibu Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Azzan Zungu (Mbunge wa Ilala) amepata 98.33% ya Kura zilizopigwa
Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amesema kati ya Wabunge 301 waliopiga Kura, 296 wamepiga Kura za Ndiyo, 3 wamepiga Kura ya Hapana na Kura mbili zimeharibika...
Bunge limesema zoezi la uteuzi limekamilika, na hadi kufikia muda huo Chama kimoja (CCM) ndicho kimewasilisha jina la Mgombea nafasi ya Naibu Spika iliyo wazi baada ya Dkt. Tulia Ackson kujiuzulu na kuchaguliwa kuwa Spika wa Bunge.
Jina la Mgombea litawasilishwa mbele wa Wapiga Kura kesho...
Kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichokutana leo katika ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM Dodoma chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Samia Suluhu Hassan kimempitisha Mbunge wa Ilala Mussa Zungu kuwa Mgombea wa Kiti Cha Naibu Spika wa Bunge la Tanzania.
Nafasi hii imekuwa wazi baada...
Mbunge wa Maswa Mashariki, Stanslaus Nyongo amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Unaibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM.
Akizungumza leo Jumapili Februari 6, 2022 mara baada ya kuchukua fomu hiyo Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nyongo amesema ameamua...
Kila Chama chenye Uwakilishi Bungeni kinachokusudia kushiriki, kinashauriwa kuanza mchakato wa kumpata Mgombea miongoni mwa Wabunge wake
Jina la Mgombea linapaswa kuwasilishwa kwa Msimamizi wa Uchaguzi kabla ya Saa 10:00 Jioni, Februari 10
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.