Kenya 2022 Je, ni Mawaziri wangapi wa Kenya waliopita bila kupingwa?

Kenya 2022 General Election

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,650
218,126
Kwenye Uchaguzi unaoendelea Nchini Kenya kuna jambo la kujifunza, kila mwenye haki ya kugombea na aliyetimiza vigezo ameachwa agombee , ashinde ama ashindwe mwenyewe.

Mpaka sasa sijasikia mgombea yeyote aliyepita bila kupingwa, wala sijasikia Wagombea waliotekwa , kupigwa ama kuporwa fomu, wala sijasikia Mamlaka ya kudhibiti rushwa ikimsingizia mgombea yoyote kesi ya uongo Kama ilivyotokea jimbo la Bumbuli, Mtama na Rwangwa 2020.

Hii ni kwa uchache, ambako Wagombea wa Upinzani walishughulikiwa kinyama, Akiwemo Suleiman Methew aliyegombea ubunge kupitia Chadema, ambaye alikamatwa ndani ya ofisi ya Mkurugenzi wakati wa kuhakiki fomu zake na kupewa kesi ya uongo ili NAPE NNAUYE APITE BILA KUPINGWA, hii ilikuwa aibu kubwa sana kwa Tanzania.

Wala Kenya haikuzima mitandao ya simu wala internet , KAMA ILIVYOZIMWA TANZANIA KWENYE UCHAGUZI WA 2020 na kulazimisha wananchi kutumia VPN (Wabarikiwe wazungu waliotuwekea VPN)

Nauliza tena ni Wagombea wangapi wa Kenya walioondolewa kugombea uongozi kwa sababu walikosea kujaza fomu , kama walivyoondolewa wagombea wa Chadema Tanzania 2020 ?

Mungu ibariki Jamhuri ya Watu wa Kenya.

JamiiForums1140732688.jpg
 
ila marehemu alikuwa na roho mbaya jamani na alikuwa hajiamini yaani huku kambini tulikuwa hatupumui yaani walichukua vijana wa jkt wakawapeleka zanzibar kuwa polisi wa mda,jeshini baadhi ya makamanda wakavaa kiraia wakaingia mtaani yaani kwa ulinzi ule nilisema hali ni tete
 
Kwenye Uchaguzi unaoendelea Nchini Kenya kuna jambo la kujifunza, kila mwenye haki ya kugombea na aliyetimiza vigezo ameachwa agombee , ashinde ama ashindwe mwenyewe.

Mpaka sasa sijasikia mgombea yeyote aliyepita bila kupingwa, wala sijasikia Wagombea waliotekwa , kupigwa ama kuporwa fomu, wala sijasikia Mamlaka ya kudhibiti rushwa ikimsingizia mgombea yoyote kesi ya uongo Kama ilivyotokea jimbo la Bumbuli, Mtama na Rwangwa 2020.

Hii ni kwa uchache, ambako Wagombea wa Upinzani walishughulikiwa kinyama, Akiwemo Suleiman Methew aliyegombea ubunge kupitia Chadema, ambaye alikamatwa ndani ya ofisi ya Mkurugenzi wakati wa kuhakiki fomu zake na kupewa kesi ya uongo ili NAPE NNAUYE APITE BILA KUPINGWA, hii ilikuwa aibu kubwa sana kwa Tanzania.

Wala Kenya haikuzima mitandao ya simu wala internet , KAMA ILIVYOZIMWA TANZANIA KWENYE UCHAGUZI WA 2020 na kulazimisha wananchi kutumia VPN (Wabarikiwe wazungu waliotuwekea VPN)

Nauliza tena ni Wagombea wangapi wa Kenya walioondolewa kugombea uongozi kwa sababu walikosea kujaza fomu , kama walivyoondolewa wagombea wa Chadema Tanzania 2020 ?

Mungu ibariki Jamhuri ya Watu wa Kenya.

View attachment 2319930
Kuna wapuuzi humu wamekuwa wakisema " Wananchi hawataki Katiba mpya, wanataka maendeleo"

Unawezaje PATA maendeleo kama Sanduku la kura haliheshimiwi?

IPO haja ya kuendelea kulinganisha Kenya yenye Katiba mpya na Tz yenye Katiba yenye viraka!!!
 
Wakili wa Chadema aliyewasaidia akina Lema kukimbilia Canada Wajackoya kaambulia kura elfu Kumi hadi sasa kwenye kura za uraisi
 
Kwenye Uchaguzi unaoendelea Nchini Kenya kuna jambo la kujifunza, kila mwenye haki ya kugombea na aliyetimiza vigezo ameachwa agombee , ashinde ama ashindwe mwenyewe.

Mpaka sasa sijasikia mgombea yeyote aliyepita bila kupingwa, wala sijasikia Wagombea waliotekwa , kupigwa ama kuporwa fomu, wala sijasikia Mamlaka ya kudhibiti rushwa ikimsingizia mgombea yoyote kesi ya uongo Kama ilivyotokea jimbo la Bumbuli, Mtama na Rwangwa 2020.

Hii ni kwa uchache, ambako Wagombea wa Upinzani walishughulikiwa kinyama, Akiwemo Suleiman Methew aliyegombea ubunge kupitia Chadema, ambaye alikamatwa ndani ya ofisi ya Mkurugenzi wakati wa kuhakiki fomu zake na kupewa kesi ya uongo ili NAPE NNAUYE APITE BILA KUPINGWA, hii ilikuwa aibu kubwa sana kwa Tanzania.

Wala Kenya haikuzima mitandao ya simu wala internet , KAMA ILIVYOZIMWA TANZANIA KWENYE UCHAGUZI WA 2020 na kulazimisha wananchi kutumia VPN (Wabarikiwe wazungu waliotuwekea VPN)

Nauliza tena ni Wagombea wangapi wa Kenya walioondolewa kugombea uongozi kwa sababu walikosea kujaza fomu , kama walivyoondolewa wagombea wa Chadema Tanzania 2020 ?

Mungu ibariki Jamhuri ya Watu wa Kenya.

View attachment 2319930
Unajua kinachowafaidisha CCM ni nini katika chaguzi mbalimbali nchi hii ni umimi wa sisi raia

Mfano wewe tu mleta mada umeandika kwa kuwaelezea chadema tu ndio kama vile walikatwa peke yao kwenye uchaguzi ule

Yaani kifupi umezungumzia madhira kwa chadema na sio kwa uchaguzi wote kwa wale walionyimwa haki zao

Kwa namna hii wale viumbe CCM wataendelea sana kutawala hii nchi hadi pale ubinafsi(Ujinga) utakapopungua katika jamii

Tatzo vyama tu vya upinzani hawaaminiani na kila chama kinajiona wao ndio wanastahili kuonekana wana akili timamu kuliko wenzao

Ndugu CCM haiwezi kuondoka madarakani kwa kila chama kujipambania chenyewe

Tujiandae tu na kusikiliza vilio vya watu wakilia kuibiwa kura ila kwa akili hizi CCM inakwenda kushinda tena 2025 hata wakiweka mwembe ugombee.
 
Back
Top Bottom