kukutana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stability

    JamiiForums Tanzania Hadi leo waafrika lukuki wanajiuliza kazi kubwa iliyokuwa inamfanya biggy kukutana na viongozi wa juu afrika ni ipi?

    jamaaa alikuwa muwekezaji kama dangote au alikuwa ni mtu wa tenda na supply za kimataifa?
  2. Stability

    JamiiForums Tanzania Kuwa muwazi haujawahi kukutana na demu anaitwa Zai alafu awe good girl😆

    Wengi wao ni chocolate kala, wanapenda vijora sana, na style zao za kuvaaa ni za kubana kiuno maana wanavaa tu underware nyepesi sana ila kuyatepeta makebo yao
  3. Stability

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kukutana na mdada anaitwa "KOKU" au "NATASHA" alafu awe ametulia😁

    Alafu koku lazima awe mweusi mrefu kiasi sio mnene ,ila natasha wengi wao ni weupe alafu wana makebo makubwa koku ni wana maneno mengi saanaa, alafu natasha ni mabingwa wa vizinga
  4. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Uchawi kwenye ujenzi wa majumba upo, umeshawahi kukutana nao?

    Kule kijijini kwetu Singida ukijenga nyumba nzuri, lazima ujipange kweli kweli kama ni mlonzi basi loga sana, kama ni mcha Mungu basi omba sana. Unaweza maliza nyumba yako na ukadanja ukaiacha, husda ni hatari kule.
  5. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Lissu ataka kukutana na Mashahidi wake watatu kabla ya kuendelea na kesi

    Katika hatua ya kuendelea kwa kesi ya uhaini inayomkabili Mhe. Tundu Lissu, Mahakama Kuu imeendelea na hatua ya re-examination ya shahidi wa upande wa utetezi, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche. Baada ya Jaji Ndunguru kumweleza Mhe. Lissu kuwa bado ana mashahidi watatu na kwamba...
  6. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Moshi Manispaa BILA kuhamishwa, kuna kila dalili (CCM) kukutana na changamoto kubwa zaidi katika Uchaguzi Mkuu 2030

    Bila kuchukua hatua stahiki dhidi ya uongozi wa Mkurugenzi wa Moshi Manispaa, kuna kila dalili kwamba Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaweza kukutana na changamoto kubwa zaidi katika uchaguzi wa mwaka 2030, kutokana na malalamiko yanayoongezeka kila siku, kutoka kwa wananchi,viongozi, CCM na...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Umewahi kukutana na changamoto gani ulipowakuta wahudumu wa afya hasa manesi wapo kwenye maongezi yaliyonoga?

    Umewahi kukutana na changamoto gani ulipowakuta wahudumu wa afya hasa manesi wapo kwenye maongezi yaliyonoga?
  8. O

    JamiiForums Tanzania Asasi za kiraia -SADC zaomba SADC pannel of elders kufanya ziara na kukutana na wadau nchini Tanzania katika juhudi za kukwamua mkwamo wa kisiasa

    Asasi za Kiraia (CSOs) zipatazo Hamsini (50) zimesaini tamko la kuomba SADC Pannel of Elders kuja nchini Tanzania kukutana na kufanya mazungumzo na wadau mbalimbali waKIwemo Serikali ,Vyama vya Siasa,viongozi wakuu wastaafu,viongozi wa dini,Asasi za Kiraia kama sehemu ya juhudi za kutatua...
  9. Brother Depo

    JamiiForums Tanzania Netanyahu Kukutana na Trump Ikulu ya Marekani Siku ya Jumanne Tarehe 28. Neyanyahu Anakuja na Operation Endgame

    Mbabe wa vita jabali nguli mwamba Benjamini Netanyahu Bibi mwanzoni MWA wiki ijayo siku ya jumanne atakutana na Trump huko marekani kwenye ikulu ya marekani. Natanyahu anatarajiwa kuja na operation mpya aliyoiita Kwa jina la "Operation Endgame", hii Kwa watoto wa uswahili tunaiita kata funua...
  10. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Umewahi kukutana na mtu anajibu text message>short, mpaka unashindwa kuendelea!?

    Basi, Haaland ni mmoja wao😆🤣.
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Othman Masoud ulipaswa kukutana na Warioba kabla ya Maridhiano yenu na CCM, unachokifanya ni kujikosha tu, hutaaminika tena

    Ushafunga mkataba wa kiduwanzi na Shetani eti leo ndio unakuja kuona Wazee Tushakustukia.
  12. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Orodha ya changamoto ulizowahi kukutana nazo TRA

    Wakuu samahani naomba mtu yeyote aliyewahi kukutana na changamoto yoyote katika suala lolote linalohusiana na Huduma za TRA aandike hapa,itapendeza zaidi ukifafanua ugumu ulikuwa wapi,? Zaidi naangazia katika malipo ya kodi,kujaza compliance,kutoa mzigo bandarini,kupitisha mzigo mpakani,nk...
  13. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Naomba orodha za changamoto ulizowahi kukutana nazo wakati ukifuatilia huduma TRA

    Wakuu samahani naomba mtu yeyote aliyewahi kukutana na changamoto yoyote katika suala lolote linalohusiana na Huduma za TRA aandike hapa,itapendeza zaidi ukifafanua ugumu ulikuwa wapi,? Zaidi naangazia katika malipo ya kodi,kujaza compliance,kutoa mzigo bandarini,kupitisha mzigo mpakani,nk...
  14. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Makaburi gani mazuri kwa kuzikia ndugu Dar bila kukutana na usumbufu?

    Habarini za jioni, asubuhi na mchana kwa walio huko mawindoni. Nimewiwa kuuliza hili swali maana hivi majuzi nilifululiza kuzika ndugu na marafiki. Katika kuchimba kaburi nimekutana na changamoto nyingi sana. Wakati wa kuchimba, wengine wanakutana na mifupa, wengine wanakutana na mafuvu...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kukutana na Mpenzi/ Mchumba mwenye Chale nyingi kwenye Mwili wake? Nini kilikushangaza? Ulichukuliaje?

    Binafsi BushDokta naamini ktk tiba ya mizizi na mimea kama ilivyokuwa hapo kale. Kamwe siamini ktk ushirikina au mambo ya mauza uza. Mwaka fulani nilikutana na Msichana Mrembo mzuri anavutia, Mpole, na tabia njema shape kama loote( kwa wale mnaopenda mitulinga). Kilichonishangaza ni wingi wa...
  16. britanicca

    JamiiForums Tanzania Melo aendelea kuonesha mfano kwa kukutana na watu mbalimbali, hapa kaamua waje school of law

    Anaandika Max Mello “Leo, Juni 11, 2026 nimepata ugeni wa vijana kutoka Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania (Law School) Walionitembelea ofisini kutaka kujifunza masuala mbalimbali Tumekuwa na wakati mzuri na kushirikishana masuala Mbalimbali huku wakipata kujua shughuli...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Umewahi kukutana na tukio la kuagiza kitu mtandao halafu ulicholetewa ni tofauti na ulichoagiza?

    Mimi niliwahi kuagiza nguo Kariakoo ilikuwa suti niliiona mtandaoni. Itoshe kusema nilichokiona nikakiagiza na nilicholetewa ni vitu viwili tofauti. Ile nguo ikabidi niigawe hata sikuivaa na ilikuwa ni ya tukio. Mpaka leo siwezi kuagiza nguo mtandaoni mpaka nikajihakikishie mwenyewe. Majibu ya...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Leo hii Trump anaomba kukutana na Ayatollah Mojtaba: Kongole Iran

    Raisi Trump amesema anataka kukutana na Ayatollah Mojtaba ili wayamalize😂.. Aise dunia inaenda kasi, kuanzia tumewavuruga, mpaka kuomba kukutana na Mjuba mwenyewe, tutaona mengi sana. Tulimcheka Mrusi anapelekeshwa na Ukraine. Leo hii supa pawa wa wamarekani wa kwa mtogole anaomba poo🤣 Aibu....
  19. R

    JamiiForums Tanzania Niliomba Diaspora kukutana na Trump, nikasema kama haiwezekani kwa Trump, basi kutana na Ted Cruz. Leo Likokola na Liberatus wamekutana na Ted Cruz

    Inawezekama kabisa ikawa coincidence lakini angalau wazo langu lilikuwa linashabihiana na Likolola na Liberatis Mwangombe. Leo wamekutana naye Ted Cruz. It was an honor to meet with Senator @tedcruz alongside members of the Tanzanian community in Texas. During our brief meeting, we thanked...
  20. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Package ya kiongozi bora hapa tanzania ifanyiwe reforms. Awe anajua masuala ya kijamii,ngaz ya jamii yanavyotatuliwa.

    Wqkuu salama? Ni imani yangu tuko vizuri kwa namna yake. Wale wanaokutana na magumu kama ilivyo utofaut kat yetu, niwatie moyo! Nawaombea mpate salama, afua na siha iliyo njema mbeleni. Taifa linapitia mambo mengi sana yanayozua sitofahamu. Mfululizo wa maswali kulingana na matukio kadhaa...
Back
Top Bottom